1/ Hili suala la marehemu Profesa Hezekia Kamuzora na Nobeli naona linaibua mjadala na/au mshangao kila likiletwa mtandaoni (mfano:rejea - @JamiiForums),hivyo nami @Udadisi naomba niongezee vitu vichache tu kama sehemu ya @Ufafanuzi kwenye uzi ufuatao🧵🪡: jamiiforums.com/threads/mtanza…
2/ Mdogo wake marehemu Profesa Hezekia Kamuzora,kwa jina Israel Kamuzora,alielezea kwa kina kanisani kwetu @chuokikuusda mwezi uliopita kuhusu wasifu wa huyu kaka yake na suala hilo la kinyang'anyiro cha Tuzo ya Nobel;sikiliza hapo kuanzia muda huu 1:25:17
@chuokikuusda 3/ Katika hubiri hilo Israel Kamuzora anasema,"nenda kagugo,anaitwa Profesa Hezekiah Kamuzora".
Uki-google vizuri utaona taarifa hii: ambayo chanzo chake ni:Zephania Ubwani.“The Prize for a Tanzanian Chemist?”Sunday Nation,Nairobi,Kenya (February 12,1984). cdn.centerforinquiry.org/wp-content/upl…
1/As the debate on @tonyalfredk’s article👇🏿 rages on within+without the gates+fences(yes,nowadays there is a fence)of @UdsmOfficial let me just share an anecdote in this thread🧵to partly—yes,partially—affirm that I share most of his opinions/sentiments:
2/I was shocked my co-author was not listed👉🏿“This is to inform the University Community and the general public that…The Appointments Committee has as well on 18th November,2021 approved promotions of the following members of the academic staff from Lecturer to Senior Lecturer”.
3/As an enraged member of “the general public”,I felt the urge to write an article on one of the reasons why my co-author was not promoted then,I even started drafting it on WhatsApp👇🏿and you may see why @tonyalfredk’s recent article on #UDSM@TheChanzo has ‘triggered’ my memory.
Kutoka kushoto mtunzi wa ‘Aliyeonja Pepo’,Farouk Topan;wa ‘Sauti ya Dhiki’,Abdilatif Abdalla,wa ‘And Home was Kariakoo’,M.G. Vassanji(mwisho-kulia);mfasiri wa ‘Paradise’/‘Peponi’,@IdaHadjivayanis(katikati-nyuma)+wajumbe 3 wa Kamati ya #TuzoNyerere@tuzonyerere ya #UandishiBunifu.