UDADISI Profile picture
@ChambiChachage https://t.co/BZqAR0JVah https://t.co/qQZcPRprHP https://t.co/cQXpCqm7Er https://t.co/gcXPvKMZhp https://t.co/uPw1wmI9A8
Sep 30, 2023 8 tweets 4 min read
1/ Hili suala la marehemu Profesa Hezekia Kamuzora na Nobeli naona linaibua mjadala na/au mshangao kila likiletwa mtandaoni (mfano:rejea - @JamiiForums),hivyo nami @Udadisi naomba niongezee vitu vichache tu kama sehemu ya @Ufafanuzi kwenye uzi ufuatao🧵🪡: jamiiforums.com/threads/mtanza…
2/ Mdogo wake marehemu Profesa Hezekia Kamuzora,kwa jina Israel Kamuzora,alielezea kwa kina kanisani kwetu @chuokikuusda mwezi uliopita kuhusu wasifu wa huyu kaka yake na suala hilo la kinyang'anyiro cha Tuzo ya Nobel;sikiliza hapo kuanzia muda huu 1:25:17
Jul 9, 2023 12 tweets 6 min read
1/ Chachage S.L. Chachage (8 Januari 1955 - 9 Julai 2006) @HAKIARDHI #ProfesaSeithyChachage #Kumbukizi https://t.co/ZYcYCxPNRGhakiardhi.or.tz/sites/default/…
2/ Chachage S.L. Chachage (8 Januari 1955 - 9 Julai 2006) @HAKIARDHI #ProfesaSeithyChachage #Kumbukizi https://t.co/ZctQeWJIxvhakiardhi.or.tz/sites/default/…
Jun 29, 2023 7 tweets 2 min read
#Marxism #AFestivalOfSocialistIdeas https://t.co/wYRYlI3HJfsocialistworker.co.uk/wp-content/upl…
Apr 28, 2023 9 tweets 6 min read
1/As the debate on @tonyalfredk’s article👇🏿 rages on within+without the gates+fences(yes,nowadays there is a fence)of @UdsmOfficial let me just share an anecdote in this thread🧵to partly—yes,partially—affirm that I share most of his opinions/sentiments:

thechanzo.com/2023/04/24/uni… 2/I was shocked my co-author was not listed👉🏿“This is to inform the University Community and the general public that…The Appointments Committee has as well on 18th November,2021 approved promotions of the following members of the academic staff from Lecturer to Senior Lecturer”.
Apr 13, 2023 10 tweets 11 min read
#MjadalaMubashara Kuhamasisha Uandishi Bunifu: Nini Kifanyike? Fuatilia hapa: #TuzoNyerere #UandishiBunifu @tuzonyerere Image #MjadalaMubashara Kuhamasisha Uandishi Bunifu: Nini Kifanyike? Fuatilia hapa: #TuzoNyerere #UandishiBunifu @tuzonyerere Image
Apr 13, 2023 7 tweets 3 min read
Kutoka kushoto mtunzi wa ‘Aliyeonja Pepo’,Farouk Topan;wa ‘Sauti ya Dhiki’,Abdilatif Abdalla,wa ‘And Home was Kariakoo’,M.G. Vassanji(mwisho-kulia);mfasiri wa ‘Paradise’/‘Peponi’,@IdaHadjivayanis(katikati-nyuma)+wajumbe 3 wa Kamati ya #TuzoNyerere @tuzonyerere ya #UandishiBunifu. Image
Apr 6, 2023 17 tweets 13 min read
"The Solomon Mahlangu Campus (SMC) initially started in April, 1979 as an educational facility for the African National Congress (ANC) of South Africa being known as ANC School, Mazimbu"-conas.sua.ac.tz/historical-sit… Image "Following the execution of a famous ANC freedom fighter, Solomon Kalushi Mahlangu by the then apartheid regime in South Africa, the ANC School was renamed Solomon Mahlangu Freedom College (SOMAFCO) in honor of the freedom fighter’s contribution to the liberation struggles"-Ibid. Image
Dec 24, 2022 8 tweets 4 min read
1/This is partly why it’s so important to read Karim F.Hirji’s book on Walter Rodney’s book ‘How Europe Underdeveloped Africa(#HEUA)’if one truly wants to understand the historical/political and ideological/intellectual context upon which Rodney wrote HEUA awaazmagazine.com/volume-18/issu… 2/
Nov 13, 2022 6 tweets 4 min read
Mwalimu,without prejudice to your core argument,I beg to differ about the claim that is all that you learn cf.the history of the teaching of history at the University of Dar es Salaam and its influence on the teaching of history in schools in #Tanzania,re:nzdl.org/cgi-bin/librar… @SwahiliBible re:
Nov 3, 2022 15 tweets 12 min read
Oct 30, 2022 4 tweets 2 min read
Oct 29, 2022 6 tweets 5 min read
@bwaya huu mjadala unaoendelea kwenye majibu ya hii twiti unafanana na ule wa akina @ItsKamala na panzi.Hili somo la jiografia ya dunia hufundishwa duniani kote.Ndiyo maana Wachina na wengineo wanatujua pengine kuliko tunavyojijua.Ila naona watu wanakandia uwanda mpana🗺🌍🌎🌏🌐.
Oct 28, 2022 15 tweets 5 min read
#KutokaMakavazini:Huyo ndiyo #LucyLameck,kwa muda mrefu nimetamani sana kuandika #biografia yake ya kihistoria na kisiasa ila sina nguvu tena,natumai jopo hili litaungana siku moja kuiandika—@aikande @venusnyota @vicensiashule @Es_Taa🙏🏿 (Chanzo cha picha:spiegel.de/geschichte/umb…).
Sep 10, 2022 15 tweets 4 min read
Since the deaths of global figures—especially those whose legacies divide opinions—tend to make us revisit history,in this thread I am posting links to videos from the main Imperial source of the British Empire taken in real time in the 1950s in its then beloved colony in Africa.
Apr 2, 2022 5 tweets 4 min read
If you want them to be able to learn #English well,unmute their tongues first by letting them be taught in a #language they use often,#Swahili—Ukitaka waweze kujifunza #Kiingereza vizuri,fungulia kwanza ndimi zao kwa kuruhusu wafundishwe kwa #lugha wanayoitumia sana,#Kiswahili.🗣
Apr 2, 2022 4 tweets 2 min read
Hoja kuu ya kutumia Kiswahili kama Lugha ya Kufundishia(LYK)siyo kuwepo au kutokuwepo kwa misamiati mizito—hiyo yaweza hata kuwa ya Kiarabu,Kichina,Kiingereza,Kilatini,Kigiriki au hata Kipare—kilicho muhimu,na hii ndiyo hoja kuu,ni #MAWASILIANO,mwalimu na mwanafunzi #wawasiliane.
Feb 22, 2022 4 tweets 1 min read
To ban a journalist rather than the media house is to shift—indirectly—the ‘burden’ of censorship from the state to the editors.

Kumfungia mwanahabari/mwandishi wa habari badala ya chombo cha habari ni kuhamisha tu—kiaina—‘mzigo’ wa kudhibiti kutoka kwa dola kwenda kwa wahariri.
Jan 17, 2022 6 tweets 2 min read
Jan 17, 2022 6 tweets 2 min read
Of course,it hardly makes sense why one would leave ‘Africa’ to do African Studies in Europe/North America,but that’s the twin tragedy of having a lot of materials on Africa/Africans stored in the West/Global North and Eurocentric disciplines still taught in African universities.
Jun 27, 2021 26 tweets 27 min read
@seif_abalhassan @maishatz @MabalaMakengeza @mkuki Inasikitisha, hao vijana wa leo wasome zaidi kuhusu huu mjadala wa zaidi ya miaka 40 sasa badala ya kuwalisha maneno wahadhiri, wachapishaji, walimu na watafiti ambao wameyatafiti na kuyajadili nchini na nje:

1/ udadisi.com/an-english-tea… @seif_abalhassan @maishatz @MabalaMakengeza @mkuki 2/ udadisi.com/teaching-in-sw…