➤Kutumia #ChatGPT ingia hapa [ chat.openai.com] kisha sign up au Login kama tayari una account.
#ChatGPT inatumia NLP (Natural Language Processing) kuelewa ulizo ama INPUT ambayo user anaweka. Kisha inakuletea OUTPUTS ama majibu sawia na ulizo lako.
➤So basically kinachofanyika hapa unaiuliza #ChatGPT , mfumo unadadavua ulizo lako, Unapewa majibu hadi convo itakapoisha.
→Nisianze tantalila nyingi hebu tuanze kuona me natumiaje ChatGPT kupata liTen na zaidi kila siku.
Chukua Pen na karatasi/notebook andika.
1/100.
KUFANYA CODING/ PROGRAMMING.
Kutumia #ChatGPT huhitaji kuwa na Degree ya IT, CS au software development kutengeneza APPS, WEBSITES, WEBAPPS, APIs n.k #ChatGPT inaweza kutengeneza
→Apps
→Chrome extension
→Games
→Chatbots
→Saas
→Automation tools, n.k
→Mfano: Nimeuliza #ChatGPT kuniandikia code ya pokemon App.
Nachukua hii code na-paste kwa code editor kama @vscode na @AtomEditor then nastiest, nitaboresha kulingana na matakwa yangu.
→ndani ya Dakika moja tu nimepata Code.
2/100
KUTENGENEZA HOOKS ZA TWITTER
→Ukitaka kuTweet ili uende Viral, Hook au Kichwa cha Tweet na thread yako kina-matter kuliko kitu chochote.
→Sasa #ChatGPT inarahisisha hili angalia mfano hapo chini.
→ Unapataje Maokoto(in @Nyonyoma1 voice) hapa?
→ Ukipost Threads hasa za Kizungu zenye Hooks kali ni rahisi kupata impressions, kupata views, leads na kuuza Services au products zako.
→Nenda apo kwa Twitter yako click search, kisha angalia trending keywords, Fatilia tweets zinatrend kisha tumia #ChatGPT kuunda tweets.
Copywriting ni skill muhimu sana kama unataka kuuza Services au products hata skill yoyote online
Inawezekana wewe sio guru kama @NyandaAmosi kwenye Copywriting.
Tumia ChatGPT kupata Tips/Contents za kuongeza kwenye Copy yako
Mfano:
4/100
Tumia #ChatGPT kukuza YouTube channel yako.
Chatgpt inaweza
→Tengeneza Thumbnails titles
→kutengeneza scripts ya youtube[chagua video yenye videos nyingi youtube, click dots tatu, chukua script paste kwa CHATGPT, ambia iandike script upya. Tengeneza video upload]
5/100
Tumia CHATGPT kama SEO Consultant.
Kama wewe sio expert wa SEO kama @RednetCompany na unataka website yako iwe optimized ili mtu akiSearch Google iwe Kati ya top 10 sites pale juu. Tumia #ChatGPT
Angalia mfano wa prompt nimetumia hapo chini.
Natengeneza Site ya watu wasiokula Nyama [vegans). Sasa Keywords zipi nitumie ili ipate traffics au watu wakisearch kwa search engine iwe Kati ya sites 10 za mwanzo.
Angalia
6/100
Tengeneza OUTPUTS kwa format ya Table.
Hii binafsi naitumia sana kama contents creator. #ChatGPT inaweza kuleta OUTPUTS kwa table format na ndio OUTPUTS bora zaidi inayopanga contents vizuri.
Angalia mfano apo
7/100
Tengeneza NFT PROJECT yako.
Kama wewe ni Mtu wa crypto kama @NNgailo , @MaujanjaCrypto@MaujanjaNFTs n.k
Unaweza tengeneza Unique NFTs Characters na kuzipa usecases kisha uuze kwa marketplace kama @SolSeaNFT na #Opeansea
Tengeneza PROMPTS za characters na ChatGPT, paste kwa @midjourney_ai kisha tengeneza characters.
Mfano
Retweet ili iwafikie wengi.
Part 02 itaendelea baada ya Retweets 100
Pia nina Full Tutorial ya MchongoGPT unaweza nunua kwa kuClick link hii. wa.link/jrp04q
Kesho nitakuwa kwa clubhouse session ya @4irhubAfrica
Nitaelekeza michongo mingi kuhusu AI. nitaelekeza AI tool nyingi utakazo tumia kupata pesa Online
8/100
Mchongo mwingine Ambao #ChatGPT inaweza kukusaidia ni Kuandika Ebook.
ChatGPT inaweza andika Ebook mwanzo mwisho angalia hii video niliandika ebook. vm.tiktok.com/ZMYkNdBa6/
→ Weka Prompt uliza ChatGPT ikupe Matatizo wanayokumbana nayo watu X
→Uliza Ebook title ideas
→Iambie chatgpt iandike Chapters
→Kwa kila chapter iandike sections kadhaa
→Andika explanation kwa kila Chapter na section.
→ Copy , Edit na kutype Ebook yako kwa Google docs
→ Tengeneza ebook cover
→ Publish @gumroad au @payhip
→ Promote kwa social media zako. UZA.
9/100
Automate Tweets zako kutumia TweetGPT chrome extension
→ kama unatumia PC nenda search TWEETGPT chrome extension. Download, kisha Pin
→ Login Twitter account yako itakuletea option ya kuTweet kwa TweetGPT inayotumia API za @OpenAI
Check apo