I simplify tech so you can monetize it. Turning tools into income, ideas into action. Solopreneur | Tech Content Creator| Building @Nisapoti_Africa
Jun 15, 2023 β’ 21 tweets β’ 3 min read
Nimeona hii mhe @mwigulunchemba1 na serikali wanataka kuTax matangazo, influencers, actually hata content creators n.k.
Nitatoa uchambuzi na ushauri wangu kwa uzoefu wangu ONLINE, je hiki kitu kinawezekana?.
Faida na hasara zake ni nini?
Tufanyeje?
Cc @Nnauye_Nape
UZI π§΅
1/15 Kwanza ni-declare Interest, MI ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc.
May 7, 2023 β’ 20 tweets β’ 4 min read
Mwaka jana mwezi wa 3 nilirudishwa nyuma sana Nilikua na michuzi yangu kama $2k+ kwa PayPal yangu. Ikafungwa
Michongo mingi ya Online, PayPal Ina umuhimu sana.
8/100
Mchongo mwingine Ambao #ChatGPT inaweza kukusaidia ni Kuandika Ebook.
ChatGPT inaweza andika Ebook mwanzo mwisho angalia hii video niliandika ebook. vm.tiktok.com/ZMYkNdBa6/
β Weka Prompt uliza ChatGPT ikupe Matatizo wanayokumbana nayo watu X
βUliza Ebook title ideas
βIambie chatgpt iandike Chapters
βKwa kila chapter iandike sections kadhaa
βAndika explanation kwa kila Chapter na section.
β Copy , Edit na kutype Ebook yako kwa Google docs
β Tengeneza ebook cover
β Publish @gumroad au @payhip
β Promote kwa social media zako. UZA.
Feb 16, 2023 β’ 19 tweets β’ 13 min read
#ChatGPT imefikia Users million 100 toka ianzishwe
Leo nitakufunza michongo 100 online ambayo unaweza tumia ukiwa na ChatGPT.
Nina hakika huwezi kosa 10,000 tzs au zaidi kwa siku.
Unatakiwa kuwa na smartphone/ipad/tablet/PC na ujue kiingereza kidogo tu.
Shuka na huu UZI π§΅
β€Chatgpt ni nini?
Hii ni chatbot AI inayowasiliana na binadamu na Ina uwezo wa kuleta OUTPUTS kuzingana na maulizo (Prompts) ambazo binadamu ataipa