Miaka miwili Bila #JPM #RIPMagufuli
UZI 👇
Kumkumbuka JPM sio kwamba tunahamasisha mabaya yake kama binadamu bali ni kukumbuka nia na mazuri yake aliyoyafanya kwa Taifa letu, hasa wengine tukiwa tumeshuhudia TAWALA tofauti tofauti nakujua aina ya UONGOZI ambao utasaidia....
Taifa kukua katika Ulimwengu wenye Ubinafsi wa kimaslahi.
Umwamba ni ile hali ya kuwa umefariki na bado unajadiliwa, Uongozi wa watu unaendana na huduma kwa walio masikini na wahitaji zaidi mbele ya wanyonyaji na wahuni wanaojifichia kwenye unyang'anyi wa rasilimali za nchi.....
Msoviet Kim Jong-Il aliwahi kusema kuwa yeye ni kielelezo cha kukosolewa Duniani kote, aliamini kujadiliwa kwake kulimaanisha kuwa yupo upande sahihi katika kulinda maslahi ya nchi na kuwaletea maendeleo wananchi wake...
Hii inamaanisha pia kuwa ili Taifa kwenda mbele.....
inahitajika serikali inayowalinda walio wengi kiuchumi na kuhamasisha walio wachache kiuchumi kushiriki katika kunyanyua kundi la masikini na wahitaji.
Demokrasia safi sio tu kukusanya rasilimali kwa wahitaji na kuwapa washindani wako....
#JPM anaongelewa huku duniani wakati hayupo zaidi kuliko hata alivyokuwa Hai, huu ndio Umwamba. #PumzikaJPM
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh