StephanoMsuya Profile picture
🇹🇿Young Devt practitioner/Young Pan Africanist,Passonate in supporting young farmers in Agriculture sector
Mar 17, 2023 5 tweets 3 min read
Miaka miwili Bila #JPM
#RIPMagufuli
UZI 👇
Kumkumbuka JPM sio kwamba tunahamasisha mabaya yake kama binadamu bali ni kukumbuka nia na mazuri yake aliyoyafanya kwa Taifa letu, hasa wengine tukiwa tumeshuhudia TAWALA tofauti tofauti nakujua aina ya UONGOZI ambao utasaidia.... Taifa kukua katika Ulimwengu wenye Ubinafsi wa kimaslahi.

Umwamba ni ile hali ya kuwa umefariki na bado unajadiliwa, Uongozi wa watu unaendana na huduma kwa walio masikini na wahitaji zaidi mbele ya wanyonyaji na wahuni wanaojifichia kwenye unyang'anyi wa rasilimali za nchi.....