⚠️ BREAKING NEWS:
Tunazitambulisha Rasmi Huduma
Zitakazokuwa Zinatolewa na
Makazi General & Car Dealers
Nchini Tanzania.
... Na Kwa Kuanza tu Tumeanza na
Mikoa Mitano.
Je ni Huduma Gani?
Na Mikoa Hiyo Mitano ni Ipi?
Ungana Nasi 👇
Makazi General & Car Dealers ni
Commercial Real Estate Agency
Yenye Makao Makuu Yake Jijini
Mwanza.
Tumejipanga Kuondoa Kero na Changamoto Zote Zinazojitokeza Wakati wa Kununua / Kuuza /Kupangisha Nyumba, Apartment, Office, Hostel, Magodown Viwanja NK.
Huduma Zifuatazo Uta👇
Zipata Kwa Uwazi na Ushirikiano wa Hali ya Juu.
Kupitia Simu Yako ya Mkononi Tu.
✅{a} Kupanga au Kupangisha Nyumba, Apartment's, Office, Hostel,Flemu za Biashara, Kumbi za Sherehe au Godown.
Bila Kuathili Shughuli Zako za Kila Siku.
Ndani ya Muda Mfupi Sana. 👇