NCHI 10 DUNIANI ZENYE MAMILIONEA WENGI DUNIANI. (Kwa ulinganisho wa dola za kimarekani)
Uzi
Nambari 1 itakushangaza.
RETWEET. ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Kuna zaidi ya milionea 56.1 duniani. Na kwenye hii orodha inahusisha nchi kumi za juu zenye milionea wengi duniani. Nikiwa namaanisha wale watu binafsi wenye utajili wa zaidi ya dola milioni moja. (Tsh Bil 2.3)
Huenda tunaitazama Niger kama nchi ambayo inapitia wakati mgumu kisiasa, hasa baada ya viongozi wa kijeshi wakiongozwa na jenerali Abdourahmane Tchiani kufanya mapinduzi na kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum hali iliyoleta migogoro mikubwa hasa kimataifa.
Tunaarifiwa kuwa baada tu ya mapinduzi hayo Julai mwaka huu. Kumezuka mgogoro ukanda wa Afrika ya magharibi huku nchi jirani za Burkinafaso,na Mali zikionesha wazi kuunga mkono mapinduzi hayo wakati nchi wanachama wa ECOWAS wakiongozwa na Nigeria wakitaka kuingilia kati.
Mwaka 2020 kipindi nasoma degree pale Udsm nilikua nafanya biashara ya kuuza simu used online hasa kwenye mda wangu wa ziada ili kujipatia hela ya ziada maana boom lilikua halitoshi.
Please RT.
Namshukuru Mungu kazi ile mimi binafsi ilinilipa sana na nilikua napata hela ya ziada. Kwani nilikua nanunua simu used kwa wanachuo waliofulia kisha nazipost mtandaoni iwe ni au facebook market place. Basi mteja akiona kule anakupigia mnakutana unamuuziajiji.com
So nikinunua 150k nikauza 190k inakua ni faida 40k. So siku biashara ilikubali ilikua nauza mpaka simu 4 au 5 kwa siku za weekend au mbili kwa siku za kati kati ya wiki.
Biashara yangu ilikua tu fresh mpaka ikamvutia mwanangu mmoja anaitwa Ginimbi (Jina lake halisi nalificha)
SULUHISHO LA KWANZA LA KUDUMU LA TATIZO LA AJIRA TANZANIA.
Tukumbuke kuwa ukosefu wa ajira unasababisha
1. Msongo wa mawazo. 2. Unapalilia umaskini 3. Unapunguza kujiamini kwa vijana wengi ๐๐ฟ
Leo nimekuja na wazo lenye suluhu ya kudumu.
Na Deograsius Andrew.
#Thread
Tanzania ina jumla ya Wakazi zaidi ya Milioni 60 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022. Kati yao zaidi ya milioni 40 ni walio chini ya miaka 40 . lakini pia idadi ya watanzania wasio na ajira rasmi ni kubwa mno zaidi ya nusu ya watanzania wote. Na hili ni tatizo kubwa mno.
Leo nimekuja na wazo ambalo huenda serikali wakilichukua tutapata suluhu ya hili tatizo bila hata kutumia nguvu.
Kuna kitu kinaitwa sera ambazo huzipa uhai sekta binafsi. Yaani wale watanzania wenye mitaji wapewe unafuu wawekeze fedha zao katika uzalishaji zaidi.
ZILE NDOTO ZA UKRAINE KUJIUNGA NATO ZIMEZIMA GHAFLA. ๐
Hii ni baada ya NATO kuonesha bado hawajaridhia maombi ya Rais Zelensky.!
Kwanini.? Basi shuka nao๐๐ฟ
UZI.(Siasa za magharibi)
๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Tafadhali RT.
(Picha kwa hisani ya GETTY images BBC)
Mkutano unaoisha hapo jana wa wakuu wa muungano wa kijeshi ulimwenguni NATO. unaohusisha wingi wa nchi za Ulaya na Marekani. Ulitegemewa kuleta matumaini mapya kwa Rais Zelensky juu ya ombi la UKRAINE kujiunga NATO pindi mgogoro wake na Urusi utakapokoma.
Lakini hali imekua tofauti baada ya kiongozi wa umoja huo Bw. Jens Stoltenberg kusema kuwa watakubali ombi hilo ikiwa washirika wote watakubali kuwa Ukraine imekidhi vigezo vya kuungana na umoja huo. Hali hii imeonesha kumkasirisha sana Rais Zelensky ambae alipiga paa la meza. ๐๐ฟ
Baada ya kiongozi wa Wegner Bw. Yevgeny Prigozhin kutangaza kusimamisha vikosi kuelekea Moscow na kurudi Rostov kuendelea na plan ya mwanzo dhini ya Ukraine. Hapa kuna Funzo kubwa sana kwa nchi yoyote duniani.
Please RT.
Mapema jana Wegner walikua wamechachamaa kuelekea Moscow yaliko makao makuu ya nchi hiyo ya kisovieti. Kiongozi wa kundi hilo alisema wazi kuwa lengo lao si kuipindua serikali ya Putin V.
Bali walikua wanawalenga maafisa ambao ni washauri wa Raisi Putin V kwa kile Alichokidai wamempotosha Putin dhidi ya Uvamizi huko Ukraine. Ikumbukwe kundi hili ndilo lililo mstari wa mbele kabisa katika operation ya kitaifa huko Ukraine.