How to get URL link on X (Twitter) App
Huenda tunaitazama Niger kama nchi ambayo inapitia wakati mgumu kisiasa, hasa baada ya viongozi wa kijeshi wakiongozwa na jenerali Abdourahmane Tchiani kufanya mapinduzi na kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum hali iliyoleta migogoro mikubwa hasa kimataifa.
Namshukuru Mungu kazi ile mimi binafsi ilinilipa sana na nilikua napata hela ya ziada. Kwani nilikua nanunua simu used kwa wanachuo waliofulia kisha nazipost mtandaoni iwe ni au facebook market place. Basi mteja akiona kule anakupigia mnakutana unamuuziajiji.com
Tanzania ina jumla ya Wakazi zaidi ya Milioni 60 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022. Kati yao zaidi ya milioni 40 ni walio chini ya miaka 40 . lakini pia idadi ya watanzania wasio na ajira rasmi ni kubwa mno zaidi ya nusu ya watanzania wote. Na hili ni tatizo kubwa mno.
Nimeamua niseme kitu nanyi, Enyi wenye upeo wa siasa na sheria maana kwenye hili sakata lililoshika hatamu ninyi ndio hodari.
Mkutano unaoisha hapo jana wa wakuu wa muungano wa kijeshi ulimwenguni NATO. unaohusisha wingi wa nchi za Ulaya na Marekani. Ulitegemewa kuleta matumaini mapya kwa Rais Zelensky juu ya ombi la UKRAINE kujiunga NATO pindi mgogoro wake na Urusi utakapokoma.
Mapema jana Wegner walikua wamechachamaa kuelekea Moscow yaliko makao makuu ya nchi hiyo ya kisovieti. Kiongozi wa kundi hilo alisema wazi kuwa lengo lao si kuipindua serikali ya Putin V.
Mapema kabisa asubuhi ya ijumaa moja mwaka 2021. Nimelala Hostel pale Campus mlimani (block extension room 220). Ilikua mishale ya saa mbili kasoro simu yangu iliashiria kupokea ujumbe mfupi wa maandishi (SMS). Nilijawa uvivu kidogo kuifuata simu kwani ilikua mbali.

Kama una kawaida ya kuweka fedha zako kwenye kibubu, Sjui umejichimbia mahali fulani polini huko, pengine umeziweka chumba cha siri nyumbani basi ipo siku itakula kwako.
Sitaki kunyanyuka nipige makofi peke yangu. Nimeamua kuwashirikisha wenzangu, Angalau ninyi mtaninyeshea pakavu pangu. Na hili litakaa sawia sawilia.

Sasa sahizi kwenye masuala haya ya sasa. Tunapoanza kuleta uzanzibari nk. Kidogo inafikirisha.
Mwezi Machi 2023, zilisikika tetesi kuwa timu ya wataalam huru na wachambuzi toka fitch wa masuala ya ufafanuzi kwenye uwezo wa nchi hizi wa soko la kifedha na kukopa, kukopesheka kwa nchi yetu.
Kati ya wizara ambazo zinapigwa mawe nchini basi wizara ya fedha inaongoza. Kwa sababu ndio wanasimamia sera za kodi, Wanakusanya mapato, Ndio wakopaji, Ndio walipa madeni, hivyo lawama dhidi yao haziepukiki.
Kwa ufupi sana baada ya kuwepo kwamjadala na mvutano mkubwa sana kati ya wale wanaosema bandari imeuzwa na wale wanaopigia chapuo faida za serikali kuingia makubaliano na State of Dubai ili kuendesha bandari ( Intercontinental agreement ) nimefanikiwa kupitia MOU hii ๐๐ฟ
Ndoto ya kila mtu ni kufanikiwa. lakini nikuambie tu kuwa ni vigumu kufanikiwa kama huna tabia hizi nitakazo zieleza leo.
Ulipoumbwa ulimwengu, Ikaumbwa Afrika, Ikaumbwa Tanzania ikapambwa ikapambika, ndani yake Iliumbwa Njombe. Moja ya mikoa nadhifu sana kuwahi kutokea. Je unataka kujua zaidi kuhusu mkoa huu basi shuka na uzi huu mpaka mwisho. ๐๐ฟ
Malalamiko ya kodi yaliyoibuka na wafanyabiashara ni ya msingi sana katika kuboresha mfumo mzima wa kodi na urahisi wake kati ya walipaji na wakusanyaji @TRATanzania. Sasa wakati serikali imesema wazi kuwa watalimaliza kwa mazungumzo siku ya jumatano natumai litaisha
Kwanza kama umewahi pita maeneo ya morogoro njia hii inayokwenda Ifakara au kule Ulanga ama Wale waliowahi kufika Ruvuma, maeneo ya Mbinga nk sio wageni na miti hii.
Benki wahuni sana. Aliwahi sema @Makubi_Pol mtaalam sana wa masuaa haya. Leo ngoja na mimi nikupe ujuzi wangu kidogo kwenye hili.
Kuna zaidi ya milionea 56.1 duniani. Na kwenye hii orodha inahusisha nchi kumi za juu zenye milionea wengi duniani. Nikiwa namaanisha wale watu binafsi wenye utajili wa zaidi ya dola milioni moja. (Tsh Bil 2.3)