Deograsius Andrew🇹🇿 Profile picture
May 8 15 tweets 5 min read Twitter logo Read on Twitter
#Leo_katika_Takwimu.

NCHI 10 DUNIANI ZENYE MAMILIONEA WENGI DUNIANI. (Kwa ulinganisho wa dola za kimarekani)

Uzi

Nambari 1 itakushangaza.

RETWEET. 👇🏿👇🏿👇🏿 Image
Kuna zaidi ya milionea 56.1 duniani. Na kwenye hii orodha inahusisha nchi kumi za juu zenye milionea wengi duniani. Nikiwa namaanisha wale watu binafsi wenye utajili wa zaidi ya dola milioni moja. (Tsh Bil 2.3)

Follow @Deodravis shuka nayo 👇🏿
10. KOREA KUSINI

➡Idadi ya watu Milioni 51.6
📌Milionea 1,290,000 Image
9. ITALIA

➡Idadi ya watu milioni 60.2
📌Milionea 1,413,000 Image
8. AUSTRALIA

➡Idadi ya watu Milioni 26.3
📌 Milionea 2,177,000 Image
7. CANADA

➡Idadi ya watu 38.6 milion
📌Milionea 2,291,000 Image
6. UJERUMANI

➡Idadi ya watu 84.3 milioni
📌Milionea 2,683,000 Image
Please follow

@Deodravis @Deodravis @Deodravis

Show love and follow me @Deodravis
5. UFARANSA.

➡Idadi ya watu 65.5 milioni
📌Milionea 2,796,000 Image
4. MUUNGANO WA KIFALME (UK)

➡Idadi ya watu 68.9 milioni
📌Milionea 2,849,000 Image
3. JAPAN.

➡Idadi ya watu 125.4 milioni
📌Milionea 3,366,000 Image
2. UCHINA.

➡Idadi ya watu 1.45 bilioni 💥
📌Milionea 6,190,000 Image
1. MAREKANI (USA)

➡Idadi ya watu 336.5 milioni
📌Milionea 24,480,000 💥 Image
Unataka kujua pia kuhusu Tanzania

Rank kidunia sijaipata ila
Ni ya Saba kwa Afrika ikiwa👇🏿

➡Idadi ya watu zaidi ya Milioni 60
📌Milionea 2,400 Image
MWISHO WA UZI.

Tafadhali RETWEET.

Show love and follow me

@Deodravis

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Deograsius Andrew🇹🇿

Deograsius Andrew🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Deodravis

May 9
SIRI KUBWA 5 AMBAZO BENKI HAWAWEZI KUKWAAMBIA UKIENDA KUOMBA MKOPO NA JINSI YA KUZIEPUKA.

UZI.

Usijidanganye kama mkopo ni msaada kama huyajui haya. Utajikuta unalipa hela kubwa zaidi na ile uliyopaswa kulipa.

Fanya kuretweet tuelimishe wengi leo. 👇🏿 Image
Benki wahuni sana. Aliwahi sema @Makubi_Pol mtaalam sana wa masuaa haya. Leo ngoja na mimi nikupe ujuzi wangu kidogo kwenye hili.

Kuna mambo ambayo hawawezi kukwambia na huwa yanakuwepo kwenye nakala zao ila hawatokuambia na huwezi jua bila kuwa makini. Ila leo tutafahamishana.
Kabla hatujaendelea naomba unifollow

@Deodravis @Deodravis

Nami nitakufollow back. 🙏🏿

Zifuatazo ni siri kubwa 5 ambazo benki hawawezi kukwambia unaopoenda kuomba mkopo.!
Read 17 tweets
May 8
TOP 10 OLDEST CONSTITUTIONS IN THE WORLD.

Thread. 👇🏿

RETWEET Image
10. CONSTITUTION OF CANADA.

📅 Retified date: July 1, 1867
🗒 Last amended: 1982
📝 Author(s): Canadian Confederatiom
💼 Government type: Federal Parliamentary Constitutional Monarchy. Image
9. CONSTITUTION ACT OF THE KINGDOM OF DENMARK.

📅 Retified: June 5, 1849
🗒Last Amended: June 5 1953
📝 Author: D.G Monrad & O lehmann
💼 Government Type: Unitary Parliamentary Constitutional Monarchy. Image
Read 14 tweets
May 6
ANGUKO LA DOLA (Fedha) NA MAANA YAKE KWENYE UCHUMI WA MATAIFA YA AFRIKA.

UZI.

Zilianza kama hadithi na mabishano. Wapo waliosema itatokea, wengine haitatokea, ila kwa sasa Dola ya kimarekani ipo kwenye hatari kubwa ya kuangushwa kama fedha yenye Nguvu ulimwenguni

RETWEET. 👇🏿 Image
Moja ya matajiri wakubwa duniani na mmiliki wa makampuni ya Tesla, Space X na Mtandao maarufu wa twitter Elon Musk amenukuliwa hivi karibuni akisema "Anguko la dola haliepukiki kutokana na kutumika kama silaha na marekani" kauli hii iliibua hulka kuwa huenda dola inakwenda kudoda
Kama bado haujanifollow basi nikuombe ufanye hivo sasa

Follow @Deodravis @Deodravis

Nami nitafollow back

Tuendelee 👇🏿
Read 21 tweets
Apr 30
FAHAMU KAZI MTANDAO ZENYE KIPATO KIZURI UNAZOWEZA KUZIFANYA KWA SIMU YAKO TU.

UZI.

Imenichukua mda wa zaidi ya miezi miwili kuandaa makala hii. Na kufanya utafiti juu ya kazi hizi na nimekuja na baadhi tu ya kazi ambazo zinaweza kukupa kipato cha ziada kwenye simu yako. Image
Inafahamika kuwa tatizo la ajira limekuwa sugu sana. Leo nikupe suluhu na nitaorodhesha pia tovuti zinazoweza kukujuza zaidi.

TAHADHALI.
👉🏿Hii haimaanishi nimezifanya hizi zote nimefanya tu tafiti na zinasadifu.
👉🏿 Fedha za mitandaoni zinautapeli hivyo kuwa nazo makini.

👇🏿👇🏿
Zifuatazo ni kazi ambazo zinaweza kukupa kipato kupitia simu yako tu ya mkononi. Muhimu Bando tu.

Kama bado hujanifollow nifollow sasa

@Deodravis @Deodravis
Read 20 tweets
Apr 29
USHAURI ADHIMU.

"NI MUHIMU KUFANYA KITU KWA KIASI"

UZI.

Ushauri huu huenda usiupate popote pale. Ila leo nitakupa bureee kabisa.
👉🏿 Najua umewasikia jopo la wataalamu wa masuala ya kijamii na afya wanavyotahadhalisha matumizi ya vitu mbalimbali.

"RETWEET RETWEET" 👇🏿 Image
Wanatutahadhalisha dhidi ya kila kitu. Utasikia
👉🏿 Usile wanga utapata kitambi.
👉🏿Usinywe soda utapata kisukali sjui presha.
👉🏿 Mara usinywe energy utaharibu kizazi.
👉🏿 Usile nyama ya nyekundu itakuletea anaemia.
👉🏿 Ooh usinywe pombe utapata kisukali au utakuwa maskini.

N.K N.K
Hayo na mengine kedekede.
Sasa nikwambie kitu brother and sister.

👉🏿Ukiwasikiliza hawa jamaa utajikuta kila kitu unafanya ama unakula kina madhara. 😂

👉🏿 How comes nitaishi bila kula vitu vya sukari, Wanga nk

Hii bhana ni Uongo. Ila tushauriane tu kuwa👇🏿
Read 7 tweets
Apr 28
MAMBO 12 AMBAYO YATAFANYA UISHI KWA AMANI NA KUKUEPUSHA NA MATATIZO YA AKILI.

UZI

Kama vile tumbo linavyohitaji chakula ili mwili upate nguvu, basi ubongo huhitaji utulivu na moyo huhitaji amani na vyote hivi kwa pamoja huleta amani ya maisha. Leo tutaangazia mambo 12 .👇🏿 Image
Kabla hatujaendelea basi kama hujanifollow nikuombe ufanye fanya hivo sasa.

NIFOLLOW

@Deodravis @Deodravis @Deodravis

Nami ntakufollow back.

Tuendelee 👇🏿
Ili ubongo wako uimalike na uishi kwa amani unahitaji kufanya mambo yafuatayo.

1. ISHI MAISHA MEMA.

Epuka kujiingiza katika uhalifu. Dhuruma, wizi, udanganyifu ama ugomvi. Hali ambayo itafanya ubongo wako ukumbwe na msongo mkubwa wa mawazo na kukufanya uishi maisha ya uoga.
Read 16 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(