Tanzania is a land of immense potential—lush farmlands, vast mineral wealth, and natural gas reserves that could power a brighter future. Yet, under the Chama Cha Mapinduzi (CCM), which has ruled for 60 years, millions are trapped in poverty, farmers are exploited, and our resources benefit the few
THREAD
Operation Maji Maji is about changing that. Over two weeks, I’ve met farmers, families, and youth, hearing their struggles and amplifying their voices as we prepare for the October 2025 elections.
In Tabora on July 2, I stood where liberation heroes once fought, now home to tobacco farmers who generated $500 million in 2024 but live in poverty due to unstable markets and neglect. Tabora is part of a “Poverty Belt” alongside regions like Kigoma and Geita, where 26 million Tanzanians—nearly half our population—survive on less than $0.70 a day. On July 3 in Inyonga, I highlighted how poverty has surged since 2020, despite our Constitution’s mandate to eradicate it. CCM boasts of grand projects but offers no proof of lives improved.
In Namanyere, Nkasi, on July 4, I confronted a darker wound: police brutality. From a man tortured to death in Geita to a trader murdered in Mtwara, our institutions, meant to protect, betray us. Agencies like the Tanzania Forest Service, armed beyond reason, violate our constitutional rights to life and freedom from torture. In Rungwe on July 6, tea farmers shared their despair: exports have crashed from 37,000 tons in 2019 to 15,000 in 2024, earning just $19 million. Farmers get a mere 10% of the global price—$0.13 per kg against $1.40—while Kenya’s farmers receive 60%.
On July 7 in Mbarali, I met communities stripped of their land for conservation, echoing my fight as an MP to reclaim Kapunga village from privatization. In Songea on July 8, I revisited my 2007 resolution that exposed exploitative mining contracts. Despite some gains, CCM’s failure to tap our 2 billion tons of iron ore and 1.2 billion tons of coal squanders billions. That same day in Namtumbo, sesame farmers, who could drive a $2 billion industry, are crushed by taxes exceeding legal limits.
In Namasakata, Tunduru, on July 9, farmers described elephants destroying crops and lives, a crisis fueled by CCM’s expansion of wildlife reserves to half our land. On July 10 in Tunduru Kaskazini, I exposed the theft of $5.6 million in compensation owed for land taken for a power line. In Tandahimba on July 11, cashew farmers, producing a record 528,000 tons in 2024, receive a fraction of their promised earnings, burdened by 34% levies.
In Mtwara on July 13, I mourned a region powering 65% of Tanzania’s electricity with gas yet left off the national grid. Mtwara could be East Africa’s gas hub, but CCM’s inaction stifles it. Finally, on July 14 in Lindi, I decried the stalled $42 billion LNG project, which could generate $5–10 billion annually and thousands of jobs, yet languishes after 11 years.
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Leo inazinduliwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Shabaha ya Dira ni kuwa na Pato la Taifa la USD 1 trillion ambapo pato la mtu mmoja liwe wastani wa USD 7,000 kwa mwaka kutoka USD 1,200 za sasa.
Hii maana yake ni kuwa Uchumi wetu (GDP) inapaswa kukua mara 13. Inawezekana, lakini katika Taifa lililo na mshikamano, lisilo na ubaguzi na lenye demokrasia. Msingi wa hayo ni HAKI.
Kazi kubwa inapaswa kufanywa kwa NIDHAMU ya hali ya juu sana kufikia shabaha hiyo. Taifa lenye jamii ya uchawa uchawa haiwezi kuwa na nidhamu ya kufikia malengo tajwa.
THREAD
Nidhamu ya kazi inahitajika kwa kila sekta
KILIMO: Kasi ya ukuaji wa Uchumi itapaswa kuongozwa na sekta ya Kilimo, kikue kwa kasi ya 8-10% kwa mwaka. Tunapaswa kuweka nguvu kubwa katika TIJA kwenye Kilimo, angalau tuongeze mavuno mara mbili (doubling) ya sasa katika kila Ekari ya mazao ya Kilimo. Nina mfano napenda kuutoa, wa zao la Pamba, ambapo ilhali mkulima wa Tanzania anapata kilo 250 - 300 kwa kila ekari ya Pamba, mkulima wa Benin anapata kilo 800 na mkulima wa Burkinafaso anapata kilo 1500. Hali ni mbaya zaidi kwenye Mahindi na Mpunga ambapo wakulima wetu wanapata gunia chache zaidi kutoka kila ekari 1!
Dira ya 2050 itafikiwa iwapo tutakuwa na nidhamu kwenye TIJA!
VIWANDA NA MADINI: Ni lazima tuongeze ajira kwa kuhakikisha mnyororo wa viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi unafungamanishwa na sekta yetu ya kilimo. Ni lazima kuongeza tija ya mazao yetu ili yasiuzwe yakiwa ghafi. Zamani niliwahi kuandika ningeanza na nini kati ya Reli ya SGR na Mgodi wetu wa Mchuchuma na Liganga. Ni jambo zuri tumejenga Reli ya SGR, lakini zaidi ya 75% ya fedha zilizotumika kwenye ujenzi huo zimekwenda nje ya nchi (Japan na Uturuki) kununua chuma na mataruma, ilhali chuma tunacho mchuchuma na Liganga Njombe na Ruvuma, mabehewa ya SGR yamekuja, lakini makochi na viti havijatengenezwa na mkonge wa Tanga wala Pamba ya Simiyu, ama ngozi ya mifugo yetu, tumeendelea kuuza ngozi ghafi, katani ghafi na pamba ghafi. Tuna hifadhi ya Dhahabu, Almasi na Shaba, na tuna Hifadhi ya Madini Adimu Duniani (Rare Earth Metals).
Dira ya 2050 itafikiwa iwapo tutakuwa na nidhamu katika usimamizi wa rasilimali madini na kuhakikisha sekta ya viwanda inaongeza thamani ya bidhaa za kilimo, madini na uvuvi.
1/8 Dar imeendelea kuwa Mkoa unaochangia sehemu kubwa ya Pato la Taifa (GDP) Tanzania (maana:thamani ya bidhaa na Huduma zote zinazozalishwa nchini ndani ya Mwaka). Kwa mujibu wa Taarifa ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa Mwaka 2020, Dar es Salaam ilichangia 17.1% ya GDP ya Tanzania
2/8 Mikoa 9 inayofuatia Dar es Salaam Kwa kuchangia Pato la Taifa ni;
1.Mwanza - 7.4%
2.Mbeya - 5.6%
3.Shinyanga ( ikijumuisha Mkoa wa Simiyu) - 5.1%
4.Morogoro - 4.8%
5.Arusha - 4.7%
6.Tanga - 4.7%
7.Kilimanjaro - 4.5%
8.Geita - 4.4%
9.Ruvuma - 3.8%
3/8 Mikoa 10 inayofutia Kundi la 10 ya Juu Kwa kuchangia Pato la Taifa ni; 10. Mara - 3.7% 11. Tabora - 3.6% 12. Manyara - 3.4% 13. Iringa - 3.1% 14. Dodoma - 3.1% 15. Kigoma - 2.8% 16. Mtwara - 2.6% 17. Kagera - 2.5% 18. Rukwa - 2.2% 19. Lindi - 1.9%