|travel agent & tour operator| social influencer| athlete| online saler|story teller|
Feb 1, 2023 • 16 tweets • 4 min read
Samantha lewthwaite " white widow" mwanamke anayesumbua mamlaka za kijajusi duniani.
most wanted
Uziiiii✍️✍️✍️
Samantha lewthwaite alizawa December 1983 huko Northern Ireland UK, aliishi na wazazi wake Hadi pale walipotarakiana mwa 1994.
Baada ya wazazi wake kutengana, sasa Samantha ikwa anapenda kutumia muda wake mwingi Kwa jirani yake ambapo akaanza kujifunza Dini
Jan 31, 2023 • 10 tweets • 3 min read
Christiano Ronaldo hawezi kusahau wema wa Albert Fantrau.
Uziii.. ✍️✍️
Albert Fantrau ni rafiki wa Cristiano Ronaldo, Wana urafiki wa karibu, ambao huchukuliwa kama marafiki bora ambao wamefahamiana tangu umri mdogo.
Walicheza mpira wa miguu pamoja huko Ureno, ambayo pia ndio namna walivyokutana na kuwa marafiki wa karibu mpaka leo.
Jan 31, 2023 • 11 tweets • 3 min read
Wa marekani weusi ambao Vifo vyao vilisababishwa na ubaguzi wa rangi.
"Black lives matter"
Uziii..✍️✍️ 1. George Floyd, aliyekuwa na umri wa miaka 46-alikuwa anafanya kazi ya ulinzi katika mgahawa mmoja wa Minneapolis,
alifuatwa na polisi ambao walikuwa wanamtafuta mshukiwa wa mashtaka ya kughushi.
siku ya Ijumaa Mei, 25.
Jan 29, 2023 • 10 tweets • 2 min read
Ota benga, muafrika aliyefungiwa na kuishi kwenye bustani ya wanyama Pori huko marekani.
kindly retweet and follow me
Uziiii....✍️✍️✍️
Ota Benga alikua raia kutokea Kongo
Alikamatwa Machi 1904 na mfanyabiashara wa Marekani Samuel Verner kutoka kule ambako kulikuwa kunafahamika kama Congo ya Ubelgiji.
Umri wake haujulikani, pengine alikuwa na miaka 12 au 13
Jan 29, 2023 • 12 tweets • 3 min read
"Yeye sio mzito ni ndungu yangu"
Alisema.
Mtoto huyu aliyembeba mdogoake aliyefariki wakati wa vita ya 2 ya dunia, alimliza mwanajeshi wa kijapani.
Hadi Leo picha hii inatumika kama alama ya Umoja Japan.
Uziiii✍️✍️✍️
Wakati Marekani ilipofanya shambulio la nyuklia kwenye miji ya Hiroshima na Nagasaki nchini Japani mwaka wa 1945, sehemu kubwa ya miji hii iliharibiwa.
Ijapokuwa kulikua na baadhi ya vituo vya matibabu vilisalia.
Jan 26, 2023 • 14 tweets • 4 min read
Bradley Lowery mtoto huyu wa Miaka 6 shabiki wa klabu ya Sunderland, aliyegusa mioyo ya mashabiki na watu wengi duniani.
Hadi kuchangiwa zaidi £1 million.
uziii✍️✍️✍️
Bradley Lowery aligusa mioyo ya mamia na maelfu ya watu alipoanzisha urafiki namchezaji wa surndaland Jermain Defoe
baada ya miezi 18 ya kuzaliwa kwake akagundulika anaugonjwa wa neuroblastoma (saratani).