Cypher Smith Rowe β˜…πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Profile picture
πŸ‡ΉπŸ‡ΏContemporary Visual & Creative Artist πŸ‡ΉπŸ‡Ώ|Mchoraji|Winner Best illustrations Artist 22&23 Wahovyo AwardsπŸ†| @arsenalβšͺοΈπŸ”΄| Astrophysics| Astronomer||
Sep 9, 2023 β€’ 9 tweets β€’ 7 min read
𝐉𝐄 π–π€π„ππ‘π€ππˆπ€ 𝐖𝐀 πŠπ–π„ππ˜π„ ππˆππ‹πˆπ€ π–π€π‹πˆπŠπ”π–π€ 𝐍𝐀 πŒπ”πŽππ„πŠπ€ππŽ π”ππˆ...!!?*

Pengine hili swali hujawahi kujiuliza tangu ukiwa mdogo juu ya muonekano wa wale unaowasoma kwenye Biblia walikuwa weupe kama wazungu au walikuwa weupe kama waarabu au walikuwa kama wachina au pengine walikuwa weusi kama wakazi wa afrika ya Leo.

Ni aghalabu sana (seldom) mtu kuwaza laiti hawa walikuwa weusi kama wakazi wa afrika ya leo kutokana na vile elimu tunayopewa tangu utotoni na vile mahubiri yalivyo makanisani, hivyo muda wote tumekuwa tukifikiria tu *"..aaaah hawa lazima watakuwa wazungu tu au kama waarabu wa leo..."*

Ili hili liweze kueleweka ni sharti ujue dunia ya leo si lazima iwe vile ilivyokuwa zamani. Mwaka 1800 sidhani kama wangoni walifikiria ifikapo mwaka 1900 watakuwa kusini mwa Tanzania, sidhani wamasai wa Kenya walidhania kama watasambaa hadi kaskazini mwa Zambia
Image Maana yake kadri muda unavyokwenda na ndivyo mambo hubadilika. Watu huhama, huzaliana baina ya makabila na makabila, jamii huvamiwa, hutokomezwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe nk nk

Hivyo ukitaka kufikiria dunia ya zamani basi na akili yako ihame na iwaze huku ukitazamia mabadiliko ya watu, nyanja (seasons) na matukio.

Kabla ya kwenda mbali sana hebu tutazamie juu ya wale wanadamu wa kwanza kabisa kuumbwa duniani walikuwaje?

Kwa upande wa wataalam wa zamadamu (Archaelogy and Anthropology) wanasema mwanadamu wa kwanza aliitwa Zinjathropus hili neno zinjathropus ni kilatini na kwa kiswahili maana yake MTU MWEUSI

Naam, hicho walichokibaini wanazuoni wa zamadamu hakipo mbali na maelezo ya wanazuoni wa elimu ya viumbe hai (Microbiologists) nao wanasema kulingana na Mpangilio wa mifumo ya mwanadamu haiwezekani mtu wa kwanza kuishi duniani asiwe mtu mweusi na kigezo kimojawapo wanachokitoa ni uwepo wa melanin kwenye ngozi na viungo vya mtu mweusi.

Melanin ( C¹⁸-H¹⁰-N²-O⁴) ndicho kinachofanya ngozi yetu iweke utando(layer) mweusi unaozuia mwanga wa jua usiharibu mwili na kusababisha saratani, melanin husababisha mtu akionja ladha ya kitu iwe vile kile kitu kinavyokuwa, mtu akicheza muziki iwe vile mdundo ulivyo, kuongeza uwezo wa kubuni mambo na nk. Kiumbe aliye na uwingi wa melanin anaweza kuzaa kiumbe asiwe na uwingi wa melanin lakini kiumbe asiwe na uwingi wa melanin hawezi asilani kuzaa mtoto akiwa na melanin
Image
Jan 6, 2023 β€’ 8 tweets β€’ 2 min read
ASILI YA YESU SIO WEUPE
Kilichotokea Hapa Wazungu kutulisha Uwongo! Kama haitoshi Jews ambao ndio Waliishi na Bado ni Jamii aliyotokea Yeshua walikataa Kumuita Yeshua Mungu, ndipo Yeshua akasema β€œSijaja Kutengua Taurat au Manabii Bali kulitimiza” na mpaka Leo Wayahudi hawamtambui Yesu Kama Mungu Bali ni Mtu tu tena Nabii na Wanawadespise wakristo na kuwaita Waabudu Masanamu, hawakatai kuwa aliishi Nazareti na Kwenda Jerusalem Bali wanampinga kwakuwa Waisrael ni nature Yao kupinga kitu ambacho wanakifahamu/na Wanamjua Mungu kuliko Mtu yeyote UlimwenguniπŸ™ŒπŸ»
Jan 5, 2023 β€’ 12 tweets β€’ 4 min read
CHUMA ASILI YAKE SIO DUNIANI
Unaweza ukaona sio serious lakini CHUMA inasemekana asili yake sio hapa duniani, inaonekana Chuma kimetokea Space kikatua Duniani.

Najua wengi mnajiuliza kama siyo ya Duniani mbona Kiini cha Dunia ni Chuma tena cha moto mno. Well tutafika huko Chuma kinapatikana kwa Wingi kwenye tabaka la juu la ardhi,japokuwa hata hiko kiini cha Dunia bado inadhaniwa kuwa ni chuma/kimecompose chuma.

Chuma ni Muhimu sana hapa duniani. Nitagusa Agano la kale, Qur’an na Archeology kidogo ili twende Sawaa.
Nov 11, 2022 β€’ 13 tweets β€’ 3 min read
JINI CHEKETU NI NANI??

Huyu ni miongoni mwa mashetani hatari kabisa wanaotumiwa na kupendwa sana na wanga,jini huyu muhasi hutumiwa na wanga kwa kutumwa kwa mtu fulani ili amsababishie mambo yake yawe magumu,huwasaidia kuwapitisha wanga katika pembe za nyumba na kuingia ndani Kuwanga, Kila ukianza Jambo linaishia njiani bila Mafanikio basi ujue Jini Cheketu ndio Mtaalamu wa Mambo. Ukiona ndoa yako haieleweki Migogoro mingi basi ujue ni jini huyu(sio Mahusiano ya Mpenzi ni Mume&Mke)

Mtu akikutumia Jini huyu na likafanikiwa Kukuingia basi Heshima yako
Nov 10, 2022 β€’ 4 tweets β€’ 1 min read
VIBWENGO/ELVES
kwanza Muhimu kufahamu kuwa Kuna Malaika na Majini(Hawa hatuwaoni mpaka siku ya kufa). Vibwengo ni aina ya Mashetani wanaotokana na Majini. Vibwengo vina ukubwa wa 4'10" hadi 5'8" inadaiwa vibwengo ni vigumu kufahamu jinsia zao. Ila wakizeeka wanakuwa na Busara. Image Na mtu anaweza kuishi na jamii hiyo aidha kwa kujua au kutokujua. Wakati mwengine mashetani haya yanaweza kujidhihirisha dhahran kwa mtu na ukavishuhudia kabisa kwa macho. Mara nyingi wanapenda kujionesha wakiwa watu wafupi sana na waliojaa. Maumbo ambayo wanapenda kujionesha Image
Nov 9, 2022 β€’ 7 tweets β€’ 3 min read
MJUE JINI EFREET";

Jini Efreet ndiye Aliyemwambia Nabii Suleiman kuwa Atamletea Kiti cha ufalme cha Malkia Balkisi kutoka Ethiopia Mpaka Jerusalem kwa Kufumba na Kufumbua Kiti kishafika.. Efreet ni Jini mwenye Nguvu sana Image Huyu Jinni Ili uweze Kumwita Unatakiwa utumie Black Magic,ila akifika tu ujue kukufuru ni kama kupepesa macho lazima atakufanya ukufuru.

Na jini hili ukiliita linakuja linaweza kujitokeza au lisijitokeze. Na huo ni mchezo wake,na ukimwita hutakiwi kuonesha uoga maana Image