Ni saa tisa mchana hivi Ijumaa moja nzuri ya mwezi October mwaka 2009.
Jua kali kiasi linawaka lakini ni kama hatulisikii kwa sababu ya mazingira mazuri na mandhari ya kupendeza katika mgodi huu wa dhahabu wa BULYANHULU wenyewe wanaita BULY (BULI).....
Miti mizuri na maua na mpangilio mzuri wa njia nk. Mimi na wenzangu wawili tumemaliza majukumu yetu ya siku hiyo mapema na tumekwishapata kibali maalumu cha kwenda underground (chini ya ardhi) kuona na kujifunza zaidi kuhusu shughuli za uchimbaji wa dhahabu....
Jul 26, 2022 ā¢ 14 tweets ā¢ 3 min read
KILA SIKU UNAJIULIZA MBONA NDUGU HAWANITEMEBELEI KAMA zamaniš
Umeenda semina Dodoma, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Chamwino shukia St.Gasparā¦ā¦
Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki home wanakuja ulipokaa, wanakushika kichwani kukusalimia. Wakubwa kidogo wanakuja wanapiga magoti "shikamoo baba mkubwa!"ā¦ā¦
Jul 26, 2022 ā¢ 9 tweets ā¢ 2 min read
Wengi itakuwa bado miaka miwili, mitatu au minne kabla ya kutimiza miaka 30. Natambua kuwa kuna waliokwisha fikisha na kuna uwezekano kuna walio nyuma kidogo.
Kama katika umri ulionao sasa kuna mtu anakuambia wewe bado ni mdogo/, basi huyo mtu hakupendi na anakulemaza kiakiliā¦
Kua! Acha utoto! Mambo yafuatayo kwa vigezo vya kibinadamu mwenye akili timamu, mtu mwerevu lazima uwe ushayatimiza.
1) Kuweka misingi ya kifamilia:
Katika umri huo unatakiwa uwe umeoa, umechumbia au uko katika uhusiano wenye kueleweka unaelekea kwenye kujenga familiaā¦..
Jul 24, 2022 ā¢ 5 tweets ā¢ 1 min read
Wale waliokuwa wakimzuia Daudi asiende kupigana na Goliath na kudharau uwezo wake ndio waliokuwa wa kwanza kumshangilia na kusema kuwa ni ndugu yao baada ya yeye kumpiga Goliath.
Wale waliokuwa wa kwanza kumzuia Bathromayo yule kipofu na kumkemea asiende kwa Yesu kwaajili ya Uponyaji wake ndio waliokuwa wa kwanza kumtia moyo kwa kusema INUKA JIPE MOYO ANAKUITA
(Marko 10:49)
Jul 17, 2022 ā¢ 20 tweets ā¢ 4 min read
Unachoenda kukisoma hapa muda si mrefu kinaweza kubadilisha maisha yako milele.
Mwombe Mungu akupe akili ya kuelewa usomapo. ā¦ā¦#Thread
So nimekuwa nikifanya utafiti wa safari za kibiashara za makampuni makubwa duniani. Nimejifunza mengi sana. Nakutana na vijana wengi wanataka kujenga biashara ziwe kubwa na ninapojaribu kuwashauri kuwa wanahitaji kujifunza mambo kwa kina na kuwa tayari kupambana
Jun 27, 2022 ā¢ 17 tweets ā¢ 3 min read
Nimekuwa nikikutana na vijana mbali mbali everyday kuongea nao kuhusu biashara na ujasiriamali Vijana wengi wanadhani mafanikio ni kama kutuma 'SMS'. Kwamba unatype tu kidogo kisha unabonyeza SEND afu tayari. Ndo maana wamekuwa WALEVI WA BETTING.š
Ukweli ni kwamba mafanikio hasa katika biashara na ujasiriamali yanahitaji kupata MAARIFA sahihi ya kitu unachotaka kufanya. Kujiamini ni kuzuri lakini kudhani kuwa kujiamini kwako ndo kutaleta mpenyo kibiashara bila kuwa na maarifa sahihi ni kujitengenezea kachumbari ya disaster
Jun 26, 2022 ā¢ 24 tweets ā¢ 4 min read
Sisi watu weusi ni wavivu kwenye KUTAFITI vitu. Hivyo mtu mweusi amebaki na GENERAL KNOWLEDGE tu ya mambo yote muhimu. Mfano kuhusu uchumi, michezo, utawala, uongozi, biashara na uwekezaji, afya, hata mambo ya imani, mtu mweusi amebaki na GENERAL KNOWLEDGE tu.
Ufahamu wa jumla jumla tu. Hajui vitu in deep sababu hataki kujisumbua na kufanya utafiti. Mara nyingi general knowledge ina mchango mdogo sana kwenye mafanikio yako na wakati mwingine ina-mislead. Inapotosha.
Jiulize hivi mambo unayoyajua kuhusu maisha nani hayajui,
Jun 24, 2022 ā¢ 8 tweets ā¢ 2 min read
UNA NIDHAMU SAHIHI YA KAZI?
Ukisikiliza mtu anayetaka kuanza biashara huwa hawazi sana kuhusu kazi anawaza tu ATAFANYA hivi atafanya na hivi halafu wateja watakuja halafu atanunua gari halafu ataenda Ulayaš.
Bila kujua utahisi wewe ni jembe kweli kweli kumbe una DELUSION. (Kama hujui maana ya hili neno Google tu utaelewa vizuri zaidi. Please do.) Yes watu wengi huanza na DELUSION. Mwisho kifo cha mende! Jichunguze kisha uone nini huwezi ili uajiri watu wanaokiweza uwalipe
Jun 24, 2022 ā¢ 7 tweets ā¢ 2 min read
Kila wakati unawindwa, usichoke kua karibu na Mungu my dia
Nisikilize hapa..
Wachumba wawili walipanga kufunga ndoa baada ya uchumba wao wa muda mrefu, basi walienda kwa Mchungaji wao ili awaombee.
Basi mchungaji akiwa kwenye maombi alionyeshwa mtu fulani akileta zawadi mbaya na ilipofunguliwa tu wakafa hapo hapo. Mchungaji aliwapa taalifa izo wale wachumba, akawaambia waombe usiku na mchana ili MUNGU aangamize ilo tego.
Jun 21, 2022 ā¢ 10 tweets ā¢ 2 min read
Usisome makala hii ili kujifurahishaāļø
Unakuta mtu ameajiriwa au amejiajiri miaka inaenda hajui kwa nini hapigi hatua kipato hakikui lakini yupo tu hatafuti maarifa ya jinsi gani ya kutumia muda wake wa ziada kutengeneza kipato hata mara mbili ya mshahara wakeā¦.
Wengine wanafanya hivyo na wanapiga hatua kubwa hadi wengine wanafikiria sasa kuachana na ajira, unashituka kuacha Ajira Yes kuacha watu wanaacha ,Ni muhimu kujifunza haya mambo. Siasa hazitaisha. Angalia your life. Ukifika 40 years uwe very established.
Jun 21, 2022 ā¢ 11 tweets ā¢ 3 min read
Unatumiaje muda wako asubuhi hadi jioni. Una ratiba au kiholela tu.
Sikia
Kuna fursa nyingi tu za biashara zipo kila siku. Usipofanya kisa bado "unajipanga" it's up to you. Richard Branson (kama humjui Google kidogo) aliwahi kusema Kama mtu akikushirikisha fursa.....š
halafu huna hakika kama waweza kuifanya basi SEMA NDIYO KWANZA kisha utajifunza jinsi ya kuifanya huko mbele ya safari".
So fursa zipo nyingi. Usipofanya maisha hayakusubiri wewe. Life must go on. Watu lazima wasafiri, wale, wavae, watume na kupokea pesa, wasuke na kunyoa....
Jun 20, 2022 ā¢ 6 tweets ā¢ 2 min read
UNAPENDA KUFANYA BIASHARA #LAKINI NI MANGAPI KATIKA HAYA UNAYAJUA KUHUSU BIASHARA?
Makala yangu mojawapo ilieleza AINA za biashara kuwa kuna biashara za aina mbili:
1. Zile zenye uwezo wa kukupa fedha tu 2. Zile zenye uwezo wa kukufanikisha kiuchumi ...
Nilifundisha tena kuhusu MITAJI. Nikasema hakuna mtaji mkubwa wala mdogo yaani hakuna biashara ya mtaji mdogo. Kila biashara ina mtaji kulingana na mahitaji yake na nature ya hiyo biashara. Na pia mtaji wa kwanza siyo pesa bali mawazo yako kichwani.
Jun 19, 2022 ā¢ 24 tweets ā¢ 4 min read
Nimeandika makala hii Ina elimu ambayo Hautafundishwa darasani
Miezi kadhaa imepita nilifuatwa na binti mmoja na kaka mmoja. Ni watu Wenye ushawishi mkubwa kwa vijana hapa TWITTER "celebrities". Wote walikuwa na mawazo ya biashara na walitaka niwe "mentors" wao. Nikawaambia sawa
Lakini kabla sijaanza "mentorship" program hii, naomba kila mmoja wenu aandike hilo wazo katika "business plan" na atengeneze mfano au "demo" itokanayo na hilo wazo, kisha atafute angalau wateja 2 ndio tuanze "mentorship". Waliondoka moja kwa moja hawakurudi tena.
Jun 16, 2022 ā¢ 9 tweets ā¢ 3 min read
HATA USIPO NIELEWA LEO IPO SIKU UTAELEWA TU.
Kuna mahali huwezi kufika kiuchumi kwa kufanya kazi tu kwa bidii. Bidii yako ni muhimu lakini siyo ticket PEKEE ya kukupeleka katika mafanikio makubwa kiuchumi. Kuna vingine vingi nje ya bidii. Unyenyekevu na kujishushaā¦.
Kujifunza vitu vipya ili ujae maarifa...
Ku-take risks mapema..
Kujifungamanisha kiroho (success is spiritual)... Kuwa na washauri (mentors)... nk.
Hebu jipime kama umeshaanza kuwa na hivyo vitu in your lifeā¦..
Jun 15, 2022 ā¢ 13 tweets ā¢ 3 min read
JIFUNZIE HAPA LEO
Kuna dada mmoja kutoka MOSHI (Kilimanjaro) alikuja DM akasema anataka kuanzisha mgahawa wa vyakula mbali mbali vya asili. Wazo zuri kabisa. Dr Badi Nahitaji Ushauri Mzee Wangu,Kwanza swali la kwanza kumuuliza lilikuwa UNAJUA KUPIKA?.....
Akasema ndiyo lakini sitaweza kupika peke yangu vyakula vyote hivyo wakati nafungua biashara.
Ushauri kwake ukawa: nafikiri usianze na kufungua mgahawa huko naona ni mbali sana. Kwa nini usianze kupika kidogo tu nyumbani kwako ambapo...
Jun 14, 2022 ā¢ 9 tweets ā¢ 2 min read
Morning Motivationāļø
Katika vitu nilivyojenga tabia ya kufanya kila asubuhi kimojawapo ni kawaida ya kuliangalia jua wakati linapochomoza. Sunrise! Na kuvuta pumzi ndefu katika mapafu yangu na kushukuru kuwa I'M ALIVE TO SEE ANOTHER SUNRISEā¦ā¦.
Na utakubaliana na mimi kuwa hakuna siku jua #limegoma kuchomoza. Every morning jua lina show up kazini. Halitegi wala halichelewi wala halilalamiki kwa nini sehemu nyingine limezibwa na mawingu na sehemu zingine limezibwa na milima mirefu mpaka linachelewa kuonekanaā¦..
Jun 13, 2022 ā¢ 13 tweets ā¢ 2 min read
JIFUNZE KUPITIA MAMA HUYU ALIEJIFUNGUA MAPACHA (soma)š„ŗš°
Mama mjamzito alitoka nyumbani akaingia msituni kuchota maji kisimani, mara ghafla akaanza kujisikia maumivu sehemu za kiuno akaamua asogee kwenye kivuliā¦..
Maumivu yalizidi kuongezeka na akaja kugundua kuwa ni uchungu na tayari alikuwa amefikia kujifungua. Aliangalia labda kuna mtu karibu aweze kumsaidia kwa bahati mbaya hakuona hivyo katandika chini nguo aliyo kuwa amefanya kama kata kichwani na kuanza kujifunguaā¦.
Jun 13, 2022 ā¢ 18 tweets ā¢ 3 min read
NI MHIMU SANA SOMAš
Ukimchukua mtu ukamfundisha kwa muda wa miezi 12 tu mambo muhimu kuhusu mafanikio kama vile kufanya kazi kwa bidii, kutokata tamaa, kuwa mkweli, kuwa mwaminifu, kutofuja pesa na kuwa na matumizi ya kiuwekezaji, kuwa na malengo, kuwa na ndoto kubwa........
Hushangai wasomi wengi waliokuwa wanasoma topic mbili mbele na kutandika "A" kibao na kufungana namba za kwanza mpaka tatu kwenye matokeo ya mitihani wengi hawajulikani walipo na asilimia kubwa wanategenea KUPEWA ajira na siyo KUTENGENEZA ajira?...
Jun 6, 2022 ā¢ 24 tweets ā¢ 4 min read
Kama huna mpango wa kufanya biashara au hutaki kufika mbali kibiashara Usisome #Thread itakuboa
Utasikia watu wakisema "dah huyo jamaa ana akili ya biashara sana" au "yule dada ana akili ya kibiashara sana". Au "huyu jamaa hana kabisa akili ya kibiashara....
Hii AKILI YA KIBIASHARA ni nini hasa? Well, Business Acumen ni uwezo wa mtu kufanya maamuzi ya HARAKA na YALIYO SAHIHI kibiashara Yaani maamuzi yake yanakuwa ya haraka (not slow) na wakati huo huo yanakuwa maamuzi sahihi. Mpaka hapa utagundua ni watu wachache wana uwezo huo. ..
Jun 4, 2022 ā¢ 7 tweets ā¢ 2 min read
Ukitaka kujenga maisha mazuri ya #baadaye halafu unataka uyajenge ukiwa umerelax na ukiwa "comfortable" basi unachojenga siyo maisha ya baadaye. (Kama hunielewi ngoja hiyo baadaye ikifika utaelewa tu) Jitie kichwa Ngumu eti hujitambuiā¦.
Business Empires na lasting success katika field yoyote iwe siasa au diplomasia, ministry, biashara au uwekezaji, michezo na burudani, mahusiano na familia nk haijengeki mpaka ukubali kwanza maisha yako yawe UNCOMFORTABLE a lot!ā¦ā¦.
Ukiwa katika changamoto nyingi na huoni wa kukusaidia kabisa... basi jua ndivyo ilivyopaswa kuwa.. yaani kuna kitu Mungu aliweka kwenye kichwa chako anataka ukitumie vizuri. Na ukitii hiyo sauti utajishangaa kuwa kumbe una solution nyingi balaaā¦.
Kwamba kumbe wewe ni creative kuliko ulivyofikiri. Kwamba kumbe wewe una mpaka majibu ya changamoto za wengine wengi tu, na kumbe wewe mshauri na mtia moyo wa wengi waliojikatia tamaa sababu ya umasikini na magonjwa makubwa kuliko wewe sema nivile umekilemeza hicho kichwaā¦.