Gwatz Profile picture
System Administrator | Networking | Web Pentesting
Dec 20, 2021 14 tweets 5 min read
Shuka na hii THREAD Utajifunza kitu kuhusu Computer Yako ..
..Nilikutana dada Mmoja Maongezi yalikua kama hivi..

Her: Sory, me nina computer lakin natumia na Rafiki yangu ,lakin nataka vitu vyangu hasivione Ila mie nivione vya kwake Je inawezekana...?
Me: Yeah ni Rahisi tu .. Before sijanza kushusha Nondo click 👉
"Retweet" & "Like"
Ok,Tayari 👍 ..
Let's Go!..

👉Hatua ya Kwanza nikuongeza Account ya user mwingine Kwa click shortcut key [ Window + E ] au Double click "This Pc" kufunga Explorer ...
Dec 16, 2021 6 tweets 4 min read
Hizi ni Njia Rahisi kabisa Unazotakiwa kutumia Google Kutafuta Taarifa Unazozihitaji na Utunze Muda Wako ..

👉site: Hutumika Kutafuta Taarifa katika tovuti Fulani Kwa Mfano unataka Kutafuta " Marketing Director " Kwenye Bank ya NMB utaenda kweny Google search bar ... Na utaandika marketing director site:nmb.com then utapiga Enter results zako zitahusu Marketing Director Tu ..

👉Plus(+) ni alama inatumika kuongeza neno au maneno kweny site Yako unayotaka yawepo katika majibu Yako ,Kwa Mfano unahitaji Kutafuta Google ...
Dec 6, 2021 4 tweets 3 min read
Hizi Hapa Windows Commands Unazotakiwa Kuzijua .
👉 whoami -> Hutumika Kucheki Account ulipo katika computer
👉dir -> inatumika kulist file pamoja na Directories/Folders
👉cd ->maan yake ni current directory hivyo humika Kucheki upo katika directory gan
👉cd .. -> inatumika Kurudi Hatua Moja Nyuma,mfn c: windows\system32> cd .. ina maan utarudi Hatua Moja Nyuma na utakuwa katika folder la windows ie c: windows>
👉cd [folders] -> inatumika kuingia katika folder lingine kwamfano upo katika local disk C ie c>cd Users then hit [Enter] then utakuwa ndani
Sep 25, 2021 8 tweets 4 min read
Je Wew Kati ya Wale Wanasumbuka Kutatua Tatizo hili (Recovery | code error 0xc000000e) Kwenye Computer Yako ?...

Basi hapa Ni Sehemu Sahihi ya Kujifunza Kutatua Tatizo hili 👇🏼 Kwa njia Nyepesi ... Image 👉Kwanza kabisa tuzijue Sababu zinazosababisha ili tatizo kutokea kwenye Computer Yako ...
1. Kufutika au kuharibika kwa boot file kwenye Local disk C ..
2. Viruses /Malicious softwares
Oky hizi Ni baadhi ya Sababu zinazoweza kuleta hili tatizo ...
Sep 12, 2021 13 tweets 5 min read
Jifunze Jinsi Ya Kuzijua Wireless Network (Wi- Fi ) Kwenye Computer Yako ...

Hii Njia Itakusaidia Kuonyesha Wi-Fi Zote Ambazo Umewahai Kujiunga ...

Ukijuia Hii Njia Ni Haina Haja Ya kumeza Password Ya Wi-Fi ...

Wale Waze Wavitonga Kazi Kwenu 😂😂.... 👉Hatua ya Kwanza tunaenda Kutype [cmd ] kweny Win Search bar ,Cheki Upande wa Kulia juu ya Win Search bar Utaona Kama Picha inavyoonesha then Run as Administrator ... Image