SULTAN MNYALU🇹🇿🇹🇿 Profile picture
Uzi••Thread••StoriTamu••Caring•• Loving••CreativeScript••Content•• Media influencer••Counselor•• Funny Charming••From Iringa~Tanzania
Jul 9, 2024 27 tweets 6 min read
SIKUMPENDA, NILIMTAMANI TU ILA ALIKUFA KWAAJILI YANGU!
———Uzi time 🧵
Mwanzoni sikumpenda kutoka moyoni, nilimpenda kwa kuwa tu alikuwa mrembo haswa..kwa kifupi nilimtamani tu...yaani nilitegemea akinivulia nguo zake tukashiriki tendo hamu yangu itaisha na nitaachana naye! 👇 Image KUKUTA NAE KAMA UTANI

Back then katika mihangaiko ya maisha, nikiwa nasota na nimepigika kweli. Si unajua ile umehitimu chuo kupata kazi ilivyo kazi? Sikuwa hata na uelekeo wa maisha! Nikapita kwenye kampuni fulani ambayo nilikuwa nimetuma maombi ya kazi ili nijishikishe hapo..
Sep 10, 2020 25 tweets 5 min read
SIKUMPENDA, NILIMTAMANI ILA ALIKUFA KWAAJILI YANGU

Part 4
Nisameheni wadau kwa kuchelewesha, majukumu mengi.

Ilipoishia.
Tuliishia pale Chausiku amekuja kugonga mlango eti anaomba chumvi!

Nikarudi ndani, Irene akawa amevaa nguo zake tayari!

Follo @IamFranco92
Shuka Nilijawa na hasira japo sikumuonesha Irene kiasi gani nimeghafilika kutokana na kugongewa mlango na pia yeye kuvaa nguo! Nikajiona fala ni bora nisingeenda kufungua mlango pengine ningefanikisha kula tunda la Irene! Nikamsihi atulie tuyajenge lakini wapi hakuonekana kunielewa
Aug 30, 2020 26 tweets 4 min read
NILIMTAMANI, SIKUMPENDA ILA ALIKUFA KWAAJILI YANGU
——————————
Part 3
Ilipoishia part 2
Ni pale Irene aliniambia niende kumchukua sehemu tupokutana jana yake
“Am on my way, plz come to pick me up where we met yesterday”
Continue...
Huyo fasta kwenda kumpokea Irene! Akili yangu iliwaza namna gani nitafananikisha azima yangu ya kuwa na Irene! Nilikuwa natembea chap huku nikichora plan nzima ya kuhakikisha akifika geto simuachi! Huenda hii ndio fursa pekee ambayo nimeipata so I have to be brave to use this Golden opportunity because it never comes twice
Aug 28, 2020 11 tweets 2 min read
NDOA NDOA NDOA

Dhana ya ndoa kati mtu asiyekuwa makini anayefikiri ndoa ni sherehe

Its a thread 🧵
Min Uzi

Kama unafikri ndoa ni sherehe unakosea wewe bado mtoto.😍

Kama unafikiri jinsi utakavyo tokelezea na kushine na mke/mme siku ya harusi wewe bado mdogo, waachie wakubwa Ikiwa wafikri jinsi ukumbi utavyojaa na watu kucheza kwa madaha na furaha wewe u bado kinda, ndoa waachie wakubwa ..😍

Ikiwa bado wafikri na kuwaza namna mtavyokula keki, vyakula na kunywa kwa shangwe, u mtoto wewe ndoa walio waachie wakubwa waliojianda😍
Aug 25, 2020 26 tweets 5 min read
SIKUMPENDA NILIMTAMANI TU ILA ALIKUFA KWAAJILI YANGU
—————————————
PART 2 👇
Tulipoishia ni pale nilimpo mpgia Irene simu na ikawa inaita
“Tiii tii tiii#
Nilijikuta natabasamu kwa kitendo cha simu kuita! Iliita na hatimaye ikapokelewa
“ Helo, habari za kwako Irene”
Nikachombeza “Salama tu! Mimi wa afya sijui naongea na nani!” akajibu Irene huku akiuliza
“Naitwa Franco, unakumbuka tulikutana kwenye interview!”
nikajibu kwa sauti ya kiume
“Ohh nimekumbuka! Franco jina lako zuri sana! Vip interview imeendaje!?” Irene akanijibu kwa madaha
@mpambazi_
Aug 21, 2020 12 tweets 2 min read
BINTI YAZINGATIE HAYA NA UYAISHI...
EWE dada ambae haujaolewa na upo kwenye mauhusiano na mwanaume ambaye haujafunga naye ndoa basi zingatia hili, 1. Chagua mwanaume bora kwa kuangalia utashi wake na mawazo yake chanya, mwanaume bora ni yule aliyekuzidi utashi,tabia nzuri pamoja hekima na busara na mwenye mapenzi ya dhati kwako. Usiwekeze akili na muda katika wanaume wenye mafanikio
Aug 18, 2020 12 tweets 2 min read
ISHI NA WATU KWA KUFUATA TARATIBU HIZI.

1. Usimpigie mtu simu kwa zaidi ya mara mbili mfululizo. Ukishaona simu yako haipokelewi basi elewa kuna sababu ya msingi acha subiri akupigie pindi atakapoona ulimtafuta. Image 2. Rejesha pesa ulizokopa bila kusubiri kukumbushwa na aliyekukopesha. Hiyo inaonesha uadilifu wako na tabia yako. Vivyo hivyo rejesha mwamvuri, peni, kitabu au chochote ulichoazima hata kama kidogo usisubiri kukumbushwa
Aug 12, 2020 10 tweets 3 min read
KIJANA TENGENEZA CONNECTION
—————————————

Si ajabu siku hizi huku mtaani wamejaa vijana wengi magraduate wana masters na degree zao lakini hakuna michongo! Kuna watakao sema kukosa mchongo ama kazi ni uzembe au watasema ujiajiri! Very simple watasema jiajiri wakati wao Wameajiriwa, siwalaumi ila utajiajiri vipi bila mtaji? Bila elimu ya kujiajiri!? Mfumo wetu unamwandaa graduate kujiajiri!?

Si jambo la kushangaa kumkuta graduates ana degree katika Business administration lakini hata genge tu la nyanya hawezi kufungua! Tuwe wazi kuwa mfumo
Aug 9, 2020 19 tweets 8 min read
MASWALI 15 YA INTERVIEW
——————————————
Leo tumalizie uzi wetu, uzi uliopita tulizungumzia namna na vitu vya kujiandaa kabla ya interview! Naamin umejifunza na km hujaona uzi basi utanimba na nitakupa link!

Long story short, tumalizie uzi kwa kupitia angalabu maswali 15 ambayo mara nyingi huulizwa kwenye interview na namna ya kuyajibu kwa ufasaha! Nitakupa maswali haya kwa na majibu yake kwa njia ya picha! Ikikupendeza unaweza kudownload au kuomba nikutumie Whatsapp

Tuanze chap chap
1. Qn: Tell us about your self. Or introduce yourself
Answer 👇👇
Aug 7, 2020 13 tweets 6 min read
JE UNAJIANDAA NA INTERVIEW!?
VITU VYA KUZINGATIA

Leo tujifunze kuhusu interview au usaili

Wengi wetu tumeshawahi kudhuria interview na tunajua kabisa mziki na mtiti wa interview sio wa kitoto!

Interview inaweza kukupanikisha kiasi cha kukosa amani kabisa!
UZI UZI 👇👇👇 Kuna wengine hupata homa kabisa maarufu kama interview fever 🥵 na hujikuta wanaharibu na kukosa kazi ili hali sifa wanazo

Ifahamike kuwa panelist wanao ongoza interview wanataka kukuona ukijibu kwa ufasaha na kujiamini!
Hivyo ni muhimu kujiandaa vizuri kabla ya interview
Aug 3, 2020 26 tweets 10 min read
PABLO ESCOBAR MUUZA MADAWA YA KULEVYA ALIYEITESA DUNIA KUTOKA COLOMBIA
——————————————
•Alikuwa msambazaji wa dawa za kulevya duniani kote
•Alichoma zadi ya US dola milion 2 sababu ni ——
• Hakuwahi kukamtwa mpka alipojisalimisha! Kwann!?
•Alikuwa na ndoto ya kuwa Rais
Uzi👇👇 Pablo Escobar maarufu km Don Pablo, El Patron, Sir Pablo alizaliwa huko Rionegro Colombia mnamo tarehe 1 Dec 1949! Akiwa mdogo kabisa Pablo Escobar alianza kuonesha ukorofi na kujihusisha na uhalifu
Baba yake alikuwa mwalimu na mkulima na alipenda mwanae awe na maadili mema