I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz 🇹🇿|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.
Jun 6, 2022 • 8 tweets • 4 min read
JIKO LA GESI LILIVYOONDOA UHAI WA FAMILIA YA ABEID FALHUM😭💔🙏🏽
‘Abeid alipokuwa kitandani NENO ambalo alisisitiza tuwe makini na Gesi, tufanye namna Gesi hata ikivuja na kulipuka isiweze kuleta madhara kiasi kilichoitokea familia yake.’
Enzi za uhai Abeid alisimulia…..👇🏽
IIikuwa mida ya saa1 usiku (18 May,J5) nipo nyumbani wife akiwa jikoni akaniita jiko linasumbua kuwaka ni jiko la plate, basi nikaenda jikoni na mwanangu wa mwisho akanifata, nilipofika jikoni bila kujali harufu ya Gesi nika'switch jiko, kaka! kiasi cha sekunde sifuri '0'….