M A G I R I Profile picture
Mhandisi Jamii | Libertarian | #MUFC #SimbaSC
Apr 3, 2020 8 tweets 3 min read
COVID-19 na SAIKOLOJIA

Dr. Albanie Marcossy,

Mshauri mmoja wa mambo ya saikolokjia na jamii aliyefuatilia mlipuko wa Corona unaosababishwa na Virusi vya. Covid-19 ameshauri ifuatavyo:

#NawaKwaSabuni 1. Jitenge mwenyewe usipate taarifa mbaya za ugonjwa huu kila mara (kwa kuwa mambo mengi unayohitaji kujua juu ya Corona umeshayajua, yaliyobaki ni marudio tu)

2. Usitafute habari za vifo. Huu sio mchezo wa mpira kwamba unataka kujua matokeo: mumeshinda ngapi au mmefungwa.