Paul_Makubi Profile picture
MA Economics | Investor | Financial expert 📈 | Data Analyst Author =3 Books, (1)Dunia ya Mikopo na Riba
Mar 13, 2023 8 tweets 3 min read
USIJARIBU KUFANYA BIASHARA HII KWANI UTAKUWA TAJIRI SANA NA UTACHUNGUZWA.

Fikiria unataka nunua nyumba Yenye thamani ya MILLION 200 na kwenye Account una MILLION 50.

UNYAMA HUU UNAITWA
(REAL ESTATE)🔥

Ngoja nikuelekeze unavofanywa.

Tutafanya na hesabu kidogo
🧵🧵 UZI Tutatumia hii Trick
LEVERAGE.
Hapa inatakiwa uwe umetengeneza Credit Portfolio nzuri kwenye Taasisi ya kifedha kiufupi uwe unakoposheka na Taasisi hiyo.

Kitu cha kwanza ni kuchukua mkopo(mortgage) mfano asilimia 75% ambayo ni mill 150 kwa Riba tuseme ya 10% per year.
Mar 7, 2023 17 tweets 5 min read
SIRI AMBAYO BENKI NA MICROFINANCE HAWATAKI UIJUE KUHUSU MIKOPO NA RIBA

Ukitaka kukopa Pesa kitu cha Kwanza kufahamu ni RIBA. Je Riba ya hiyo taasisi ni kiasi gani pia ni kwa muda gani, na aina gani.

Nitaeleza jinsi ya kuchambua RIBA kwa muda.
Na mambo mengine muhimu. Taasisi Nyingi hasa Bank wana RIBA ya 16-18% kwa mwaka moja.

Ila kwa Microfinance Bank RIBA zinatofautiana Sana baadhi ya hizi taasisi wanaweka Riba ya asilimia 4-5 kwa mwezi.
Hichi ni kiwango kikubwa Sana kwa mtu wa kipato cha chini ukipiga
Kwa mwaka ni 48-60% Moto huu🔥