Prominent Agribusiness firm in East Africa, HQ in 🇹🇿&🇰🇪 Committed to making Agribusiness a reality; Utilizing appropriate technology & management.
Aug 22, 2020 • 11 tweets • 4 min read
#Vietnam na KILIMO.
Vietnam ni Taifa lililopata Uhuru wake 1945 kutokana na Mapinduzi,limekuwa katika kipindi kirefu na vita vya wenyewe kwa wenyewe kasikazini na kusini Mwa nchi yao vita hivyo vilikuwa vikichangiwa na Mataifa Kama,Marekani,Korea,China,Ufilipino,Thailand.
Ni Taifa lenye wananchi zaidi ya Milioni 91,Mwanzoni Mwa mwaka 1970 vita hivyo vilikwisha Nchi hiyo ikiwa na hali Mbaya kiuchumi,Miundombinu,Ukame,Mfumuko mkubwa wa bei,kudorola kwa pato la Taifa kutokana na uzarishaji hafifu.@ayubu_madenge@MarekaMalili@masoudkipanya