Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ Profile picture
Kwa Tanzania, Naskia Fahari Kuwa Account Ya Kwanza Twitter Kutwit Maswala Ya Muvi Pekee Na Ku-Influence Watu Kuiga Nilichoanzisha | Founder @NindiJrTV
Oct 18, 2020 17 tweets 7 min read
🎥

Awali..
Alifanya Kazi Kama "Stuntman" Kwa MUAY THAI STUNT Kwa Miaka 14, Akionekana Katika Filamu Nyingi Za PANNA. Akiwa Na SAMMO HUNG Ameshacheza "double" Wakati SUMMO Alipofanya Tangazo La Biashara! Yaani Kifupi Jamaa Kacheza Sana Stunt.

Tumuangalie Kiundani(twenzetu) 2) KUANZIA 2003-2008

Mnamo 2006 Kwa Pamoja, PANNA Na JAA Walikua Na Mapenzi Na Muay Boran, Mtangulizi Wa Muay Thai Na Alifanya Kazi Na Kufundishwa Kwa Miaka Minne Huku Akiwa Na Shauku Ya Kuizalisha Muvi Yake. Hatimaye Wakafanikiwa Kutoa Filamu Fupi Inayoonyesha Kile
Oct 17, 2020 25 tweets 10 min read
🎥

Kuna..
Aina 350 Tofauti Tofauti Za Mazombi Katika Uwanda Mkubwa Mno! Na Kuna Namna Pekee Inayofanya Zombi Kuwa Walivyo. Basi Hapa Nna Machache Nimekuandalia Kama Utapenda Kujua (twenzetu) 2) AINA ZA MAZOMBIE

Zombie Wa Kawaida Au Kitaalamu. Ndio Wanaita Genetic Zombies, Ni Mtu Ambaye Ameuawa Na Kufufuliwa Tena Na Pathojeni(pathogen), Mara Nyingi, Lakini Sio Mara Zote Hutokana Na Virusi. Mfano Wapo,

Watembezi.
Wakimbiaji.
Zombie Wa Voodoo. (uchawi) Nindi
Oct 16, 2020 9 tweets 5 min read
🎥

Muvi Hizi..
Zinahusu Wapiganaji Wa Asili Ya Japan Waoitwao Ninja, Muvi Hizi Miaka Ya Sasa Zimekuwa Nadra Sana! ImageImage 2) NINJA ImageImage
Sep 6, 2020 23 tweets 9 min read
🎥

M-Canada Mwenye..
Asili Ya Korea! Ivi Una Fahamu Kuwa Jamaa Anaitwa Edward 😁, Yeah Ni Jina Lake Hilo Na Tena Lina a.k.a Yake, Jamaa Ana Nyota Kali Sana Tangu Mtoto Kwa Upande Wa Muvi. Kama Huyajui Haya Basi Mi Nauhakika Hujui Mengi Yanayomhusu. Em Kama Vipi (twenzetu) 2) BIOGRAFIA

Jina Lake Halisi Ni CHOI WOO-SHIK Amezaliwa Machi 26, 1990 Ni Muigizaji Wa Kikorea Na Canada. Kwanza Alipata Kutambuliwa Kila Mahali Kwa Jukumu Lake Katika Filamu Ya Set Me Free (2014).
Apr 6, 2020 25 tweets 10 min read
🎥 U Z I

Kuna..
Mengi Sana Nyuma Ya Pazia Kutoka Hii Series Ya LA CASA DE PAPEL. Ndio! Tunajua Inatamba Tena Sana Tu, Ila Ushajiuliza Vile Vinyago, Zile Nguo Na Aidia Ya Series Vilitokea Wapi. Au Ilikuwaje Mpaka Leo Ipo Kuna Hii Series

Kama Unataka Kujua (twenzetu) 2) UTANGULIZI

Dah!.. Unajua Nini,
Wakati Nachimba Chimba Huku Mgodini Kwangu. Imebidi Tu Nipunguze Punguze Sana Mana Mzigo Wa Taarifa Ni Mkubwa Na Hauwezi Kutosha Wote Hapa! Kwahiyo Nlichofanya Nmechuja Chuja Na Kubakia Na Madini Ya Msingi Ya Kuwapa Nyie. Watu Wangu
Mar 21, 2020 25 tweets 8 min read
🎥U Z I

Aya..
Em Tuelekezane Jinsi Ya Kudownload Muvi Leo Au Sio, Mana Nakuwa Napata Maombi Mengi Ya Kuelekeza Jinsi Ya Kupakua Muvi

Sasa Leo Iwe Mwanzo Na Mwisho, Ole Wako Usielewe. Na Hata Usipoelewa Nenda Kwenu Kawaambie Mi Fala Sana Yaani Huwa Sielewi Vitu Vidogo Vidogo😒 2) SIMU

Kwanza Naona Tuanze Na Simu, Mana Wengi Wetu Skuizi Kuwa Na Smartphone Imekuwa Sio Ishu Tena. Mana Mpaka Wadada Wetu Wanao Tusaidia Kazi Za Ndani Wanazo

Hivyo Ngoja Nianzie Hapa Kwanza Alafu Tutaenda Sehemu Lengwa Yaani Kwa Kutumia PC, Basi Kuwa Makini Na Nfatilie Fresh