Eng Octavian Lasway Profile picture
Irrigation and water engineer|expert Drip irrigation|Green house, Soil, plant & Water|AutoCAD&GIS|Water activist|Spices Trader| CEO: HGAGL @greenagrictz
Jan 6, 2021 15 tweets 5 min read
BIASHARA YA TOOTHPICK , Namna ambavyo Charles Forster aliweza kuwa millionaire .
Kutoka kwenye mji wa Boston Marekani mwaka 1826 alizaliwa kijana Charles Forster ambae alikuwa na kuanza kufanya Kazi na mjomba wake aliekuwa aagiza na kuuza mizigo Brazil kutokea marekani
👇 ImageImage Miaka ya 1700's watawa wanawawake kutoka ureno walikuwa wakitengeneza vijiti mithili ya toothpick na kuviuza Brazili kwa ajili ya kuondoa vitu kwenye meno wakati wa chakula , Charles alipoenda Brazil na kuona vijiti hivyo aliona ni fursa na alianza kuwaza kibiashara zaidi
👇 Image
Feb 12, 2020 10 tweets 2 min read
NILIVYO BADILISHA JINA LA BIASHARA MARA TATU NDANI YA MIAKA MITANO
👇🏻
Unapokuwa unaanza biashara huwa unakuwa na malengo fulani ambayo yanakusukuma kufanya kazi kwa bidii, basi leo nitaeleza namna ambavyo nilibadili majina ya biashara matatu ndani ya muda mfupi na kwa nini? Biashara siku zote ni kuwahi, na unapowahi lazima uwe na taarifa kamili pamoja na maarifa ili uweze kufanya kitu hicho, pia siku zote akili inakua , exposure inaongezeka si unajua akili ni elastic bhana, hii iligharimu nilipokuwa naanza kuingia kwenye biashara nilikuwa sijui ving
Feb 2, 2020 14 tweets 5 min read
RWANDA: FIGISU ZA KIBIASHARA KATI YA AZAM NA AZANIA
Kama mnavyofahamu biashara huwa na mambo mengi sana ndani yake, leo nitawaletea mkasa mkali wa kibiashara kati ya Bakhresa Group (AZAM) Na Mikoani Traders Ltd(AZANIA) ambao ulitokea nchini Rwanda kuanzia mwaka 2009 hadi 2015 Kampuni ya Bakhresa na Azania ni kampuni kubwa EA ambazo hujishughulisha na uzalishaji wa bidhaa za vyakula kama unga wa Ngano na Mahindi na kila mmoja anafanya namna kushika soko zaidi kwa hiyo bila wao kupenda tayari wanakuwa washindani kutokana na bidhaa wanazo zalisha
Jan 27, 2020 22 tweets 6 min read
DILI FEKI SAFARI YA SIKU TATU NAIROBI
mwaka 2016 ndio mwaka ambao akili yangu ilikuwa na udhubutu mkubwa wa kuamua na kufanya mambo mengi hasa ya kibiashara, leo nitaeleza namna ambavyo niitiwa dili feki la kuuza used bottles Nairobi! Kama kawaida unapotafuta kitu internet ni.. ni lazima uanze kwa kugugo na kutafuta taarifa, basi rafiki yangu alikuwa anatafuta Package materials na aliniomba nimsaidia kutafuta kwa sababu nilifahamiana na watu Nairobi, basi nikaingia zangu kwenye internet na kuumpa jamaa mmoja Nairobi na tukaanza kuongea biashara hiyo