How to get URL link on X (Twitter) App
https://twitter.com/fbuyobe/status/2055521733856145913psychological positioning, na selective transparency.
Sita, Marekani itafanya uwekezaji mkubwa wa huduma za kijamii kama shule, hospitali na maji kwa maeneo ya karibu na kambi ya jeshi ya Marekani nchini Tanzania.
Walipoona benki pekee haitoshi, wakaanzisha soko la hisa. Wakahakikisha hakuna mtu anayeweza kufanya biashara kubwa bila kupitia mifumo yao.
Hili ni moja ya mafanikio makubwa ya uongozi wake.
Watoto wa ndoa watakuwa chini ya malezi ya baba yao, hasa ikiwa mama atajitetea kuwa hana uwezo wa kifedha wa kuwalea.
Na watu wanasema kampuni hiyo inaweza kuwa ni Ciroc ambayo ilikuwa inatangazwa sana na Diddy na kuwa na asilimia kadhaa za umiliki mpaka alipotolewa kutokana na skendo zake.
Mama yake Haile aitwaye Kim alikuwa amekubuhu kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.
Mwaka 1961 alikwenda Chuo Kikuu cha Liverpool kilichopo Nchini Uingereza na mwaka 1965 alitunukiwa Shahada ya Sheria (LLB).
Lakini pia watendaji wengine walikuwa wakitilia shaka ukaribu uliopitiliza kati ya Monica na Rais.
Sasa baadaye akaona mbona kama mambo yanakuwa ya kijinga sana, inakuwaje tumezuiwa kuproduce kitu chochote kile halafu hapohapo tunatakiwa kulipia mapesa mengi kwa maafa tuliyosababisha? Mbona wao pia waliua? Haiwezekani, ni lazima lifanyike jambo.
Demigods yaani wale machotara wa Malaika na binadamu ambao Kwa uelewa wangu ndio nahisi wanaitwa Majini.
ya mwili wako kwa kadri utakavyoweza.
(Swalla Allahu ‘alayhi wa aalihi wa Sallam) walipambana na Makureishi waliokua wakiwapiga vita Waislamu.
Licha ya msako mkali wa zaidi ya miaka 45 uliofanywa na FBI kwa kushirikiana na idara nyingine za kiusalama nchini Marekani, bado D.B Cooper hafahamiki ni wapi alipo wala pesa alizopewa hazikuwahi kuingia kwenye mzunguko wala kupatikana.
Kesi hiyo namba FOJ/001/D10/11 Wakili msomi Indidis alidai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria.
Baada ya tukio hilo Bob Marley aliondoka nchini Jamaica na kuelekea Ulaya kwa usalama wake.
Marekani tunayoiona leo haikuundwa kwa matamanio ya kifikra, Iliundwa kwa gharama kubwa ya akili, jasho na damu.
inayozalisha nguzo za umeme.
na kumfunga pingu wakimtuhumu kwa kughushi bili yake ya chakula/Forgery.