RashY Grinch Profile picture
Born for LoVe,HaTe and PaIn, Death Is A Promise One That Will Always Be Fulfilled. . .
Feb 18, 2020 26 tweets 7 min read
HELIOS AIRWAYS FLIGHT 522
NDEGE YA WAFU
: Katika ulimwengu huu wa Sasa ambao karibu Kila kitu kimerahisishwa kutokana na maendeleo makubwa ya kiteknolijia yanayofanywa na wajuba tuna waita magenious, ukianzia kwenye mawasiliano, uzalishaji na usafirishaji yani Ni Mambo yamekuwa mtelezo tu wenyewe tukisema dunia inakuwa Kijiji. Hasa tukiangalia Katika ishu za usafiri siku hizi Yani raha tu kwenda bara, taifa ama mkoa mwingine ni chap tu mfuko wako ukiwa unaruhusu, Mzee baba unachana mawingu dakika sifuri uko kwenye ardhi ya wakoroni. Pamoja ya kwamba