Salome Mosha🇹🇿 Profile picture
Youth Advocate 🇹🇿 | Co-founder @sarataniAI | #EndCervicalCA | #SikuZanguAfyaYangu🩸|#SDG3
Feb 25, 2023 14 tweets 4 min read
Habari ndugu , karibu jamvini tuelezane kidogo juu ya uelewa wa jamii juu ya HEDHI na HEDHI SALAMA. Utakuwa nami Salome Mosha @Sally_mosha .
#ElimikaWikiendi

Karibu thread 👇.. HEDHI NI NINI?
Hedhi ni muunganiko wa yai ambalo halikurutubishwa pamoja na damu inayotokana na kumomonyoka kwa tishu laini za ukuta wa mfuko wa mimba (uterus). Kitendo hiki hutokea kila mwezi kwa mwanamke huitwa mzunguko wa hedhi (Menstruation period).
#Elimikawikiendi