Vee & Jay Profile picture
Sehemu pekee ya kufunguka kile kilicho moyoni na kupata ushauri au majibu ya maswali yako bila ya mtu kukujaji (kukuhukumu). #AskDadaVee
Oct 14, 2021 6 tweets 2 min read
Kati ya mwanaume na mwanamke nani huwa wa kwanza kupenda?

Wanaume wanaweza wasiwe tayari kukubali uhalisia lakini mara nyingi mwanaume huwa wa kwanza kupenda. Mwanamke huwa makini sana ni mtu gani aweze kumpenda, hivyo huonyesha hisia zao taratibu Hadi pale atakapo weza kumuamin Image yule mtu.

Sababu zinazopelekea mwanamke awe makini juu ya mtu gani aneeweza kumpenda:

1. Wanawake wamejifunza kuweza kuunganisha upendo na sex
Jamii kiujumla kwa asilimia kubwa imefundisha wanawake kwamba usifanye sex kama haupo katika mahusiano.

Hivyo mwanamke huwa makini