Rare Breed𓃵 Profile picture
I hack Things|Demisexual♈️ #NoHardFeelings
Jan 27, 2020 9 tweets 2 min read
Bologna na Modena ni Miji iliyopo
Kaskazini mwa Italia. Mwaka 1325 watu
wa Miji hii waliingia katika Vita kali
iliyodumukwa zaidi ya Miaka 300, Kisa
kilikuwa ni Kuibiana Ndoo hii Pichani!. Hii
ni moja kati ya Vita zenye sababu za Ajabu
Kuwahi kutokea. Inaitwa "Vita ya Ndoo." Image Vita hii yenye sababu ya kushangaza ilianza
kupigwa mwaka huo wa 1325 huku eneo la mapigano likiwa
ni huko Emilia-Romagna kaskazini mwa Italia. Walipigana kwa
zaidi ya miaka 300 kabla ya watu wa mji wa Madena
kushinda vita!. Madena ndio walioiba ndoo, na ndio
walioshinda vita.
Jan 25, 2020 7 tweets 2 min read
Anaitwa 'Sibusiso Mthembu' Raia wa
Afrika Kusini. Mwaka 2012 Alidai kuwa
Alikuwa Amefika Mbinguni Mara nne
Kupitia Malaika Aliyekuwa Akimchukua
Usiku. Akasema kuwa Alikutana na
Yesu, na Alifanikiwa Kuchora Ramani ya
Mbinguni, Ndiyo hiyo Pichani... Ilikuwa ni mwaka 2012 wakati Sibusiso Mthembu
raia wa Inanda, Kwazulu-Natal, Afrika kusini akiwa na umri
wa miaka 64, alijotokeza hadharani na kusema kuwa
amekuwa akifika mbinguni mara kadhaa na huko alikuwa
amefanikiwa kuchora ramani.
Sibusiso alisema kuwa mara ya kwanza kwenda
Dec 15, 2019 10 tweets 3 min read
Roy sullivan alipigwa na radi mara 7 katika maisha yake 1942-1977 na zote hazikumuuwa wakawa wanamwita “human lighting conductor”. 1. Mpigo wa kwanza wa Sullivan ulitokea mnamo Aprili 1942. Alikuwa amejificha kutoka kwa dhoruba katika mnara wa moto . Mnara ulikuwa umejengwa mpya na haukuwa na fimbo ya kupitisha radi wakati huo;mnara ulipigwa mara saba au nane.
Ndani ya mnara,
Dec 3, 2019 10 tweets 2 min read
Mwaka 2001 'Armin Meiwes' wa
Germany Aliweka Tangazo Mtandaoni
kuwa Anahitaji Mwanaume mmoja
Mwenye Afya wa Umri wa Miaka 18-30
ili Amle Nyama!, Alimpata, Akamla,
Alianza Kula Uume, Nyama nyingine
Akaihifadhi Kwenye Fridge.
Soma mkasa mzima⬇️ Armin Meiwes (39) Mtaalamu
wa Computer Mkazi wa Rotenburg Karibu na
Frankfurt Germany, Mwaka 2001 Alikula
Nyama ya Binadamu mwenzie Bernd
Brandes wa Umri wa Miaka 42 Mtaalamu wa
Majengo (Mhandisi) na Kuifukia Mifupa
Bustanini.
Inaelezwa Armin Alianza Kuchanganyikiwa
Dec 1, 2019 7 tweets 2 min read
Viungo vya ndani na uwezo wa mwili ni tofauti na miili yetu
Wanaishi kwenye maji ya Asia ya Kusini-mashariki, wanakaa katika boti yani wanaishi baharini .
Wanauelewa kidogo wa wakati na umri, kalenda, siku za kuzaliwa, na kadhalika.

Ni watu wa Bajau, hebu wajue hapa Pia wanaitwa "Sea gypsies,"hili kabila ni tofauti na wanadamu wengine wote kwenye sayari ya Dunia.
Inasemekana miili yao ni tafauti na yetu kwa sababu wanauwezo mkubwa wa kukaa ndani yaa maji kwa mda mrefu, zaidi ya dakika 15.

ndani ya siku wanaweza maliza masaa 5 ndani ya maji
Nov 30, 2019 8 tweets 3 min read
Dumas Beach ni Ufukwe wa Bahari
(Beach) wa KM. 2 Uliopo Magharibi
mwa INDIA, Mchanga wake ni Mweusi!,
Ikifika Jioni Mchanga huo Huwa
Unatembea, Ni Hatari sana Kutembelea
Nyakati za Usiku, Inaelezwa Lilikua ni
Eneo la Kuzikia hapo Kale
Full story ⬇️⬇️ Ufukwe huu wa Bahari wa
Dumas Beach' Wenye Ukubwa wa KM.2 Upo
Katika Bahari ya Arab (Arabian Sea) Nchini
India KM.21 Kusini Mashariki mwa Mji wa
Surat Magharibi mwa INDIA. .
Beach hii Imekua Maarufu sana Duniani
Kutokana na Vitendo Visivyo vya Kawaida
Vinavyoelezwa Kufanyika..
Nov 15, 2019 8 tweets 3 min read
Majengo Haya ya Maonyesho
ya Kihistoria Yaliyopo URUSI Yalianzishwa
Mwaka 1764 na Kwa Mara ya Kwanza
Yalifunguliwa Mwaka1852, ni Maonyesho ya
Pili kwa Ukubwa Duniani Nyuma ya 'The
Louvre Museum' ya Ufaransa Yalioanzishwa
Mwaka 1793. .
Kila December 7 ya Kila Mwaka
Kunasheherekewa Kunasheherekewa Sikukuu ya Kuanzishwa
Kwa Makumbusho Haya ya 'Hermitage
Museum' Huko URUSI. .
Inaelezwa Kuwa Katika Majengo Haya Kuna
PAKA Maalumu Wenye Vitambulisho Vyenye
Passports na Wanalipwa Mishahara Kwaajili
ya Kuhakikisha Hakuna PANYA yoyote
Atakaekatiza Humo Ndani..