Niko hapa kupiga truth na signal ya wisdom | No filters | No feelings | Just facts with full bars |
Oct 26 • 6 tweets • 1 min read
Dear @KoechNelsonK
Warm greetings.
We, the Tea Sector Farmers’ Technical Committee, KESTEGA association, write to you as a united and representative group of farmers from across Kenya’s tea-growing regions. Over the past months, we have gathered grievances and proposed
solutions from grassroots farmers, with the aim of presenting them to national leadership for urgent consideration.
We respectfully request your assistance in helping us deliver this message to:
1. His Excellency the President of the Republic of Kenya
2. The Deputy President
Sep 5 • 11 tweets • 2 min read
From Tassia to Parliament part II: A Hustler’s Diary of Dreams, Noise & Betrayal.
Thread đź§µ
Na pale mwisho wa hiyo wiki, kulikuwa na ile Sunday flani yenye ilibeba vibe tofauti. Mimi na cousin wangu Victor—msee mwenye alikuwa ameishi Nairobi miaka kadhaa kabla yangu—tuliamua tufanye kitu tofauti. Tuliamua tutengeneze memories, zile za mtaa lakini zenye ladha ya city
Sep 5 • 21 tweets • 4 min read
From Tassia to Parliament: A Hustler’s Diary of Dreams, Noise & Betrayal.
Thread đź§µ
Leo akili yangu ilirudi nyuma bila warning—flashback ya ile siku nilifika Nairobi kwa mara ya kwanza. Ile curiosity ya kijana ame-turn 18, anajiona grown man sasa, anataka kuexplore life, kujua vile Kanairo inachezwa. Na hiyo roho ya kutafuta independence iliniland straight kwa
Sep 5 • 8 tweets • 2 min read
Nilisema Tao, Nairobi Ikasema Syokimau: Chronicles za Mgeni wa Mat
Thread đź§µ
One funny thing na-recall hadi leo, yenye hunichekesha kila nikikumbuka, ni ile siku flani ya kitambo nilijaribu ku-board mat kutoka Tassia nikienda CBD. Saa hiyo nilikuwa mgeni wa Nairobi, ile ya kujaribu ku-blend in na wasee wa mtaa, usionekane ume-drop kutoka ushago direct.