THE GIANT LOOKS IN THE MIRROR AND SEES NOTHING
DONDA
Oct 2, 2022 β’ 7 tweets β’ 1 min read
PICHA LINAKUWA NAMNA HII
Mkeo anaingia chumbani kama anaogopa ogopa, muhuni baada wa kumfungulia mlango anamvuta kwa nguvu, anabamiza mlango, anauegemea.
Mkeo anahema kama bata mzinga aliyekimbizwa anataka kuchinjwa...jamaa anambusu, midomo yake inakutana na ya mkeo.
ππΏππΏππΏ
Jamaa sasa anakuwa kama anaiuma hivi midomo ya mkeo, anauma inaivuta kwa nje, mkeo anazidi kusogeza kichwa.
Jamaa anapitisha mkono mmoja ndani ya blauzi amevaa mkeo, ni shifonyi hii, anashika kitovu, anazungusha vidole kitovuni, anaipitisha nyuma ya mgongo.
Hapa mkeo anatoa
Oct 25, 2020 β’ 84 tweets β’ 14 min read
IT WAS JUS A DINNER DATE
okey mabumunda, si tuchape tu ka story flan ka uongo na kweli kabla hatujaenda kupiga kura trh 28??
Been a while in hereππ, i missed u too
Okey chap chap kiwake, waambie wenzio ni Kaka Bumunda tena
Tujaghe lolo
πππ
SEKONDARI SCHOOL- miaka 22 iliyopita
Natoka zangu bwenini, ni Ijumaa moja hivi, hakunaga kusoma sana siku za Ijumaa hapa shuleni kwetu, kama watu wengine tu, tunaanza weekend na hakuna kitu mtu atatufanya.
Najiimbia zangu Zuwena, ni kibao kilichorudiwa na mkali wa sauti
May 23, 2020 β’ 22 tweets β’ 6 min read
MAVURUGU YA MAPACHA
nikasema leo ni satoo na mabums hayajapata hata ka uzi, nikasema acha niwape kamoja
Hii sasa ni ukweliππ, kuwahusu hawa jamaa wawili, wanaitwa FRANK na FRANCIS, hawa majamaa bhana, kubaf zao