Identify a human need and reach out to solve it,in a sustainable way.
<Thread>
Si kwako si yule pekee ake kuna muda unachapika vibaya mambo hayaendi huna mambo kwa mfuko lakini bill zimesimama zinakuangalia kana kwamba zinakusemesha 'wewe ruka ruka tu ila sisi tupo tunakungoja utatukuta tunakusubiri"
Oct 3, 2021 • 18 tweets • 4 min read
Maduka ya rejareja yanayouza vitu vinavyonunulika kwa haraka,hua ni mengi sana mitaani tunamoishi na yamekaribiana yahitaji akili & mbinu zakufanya biashara katka mazingira ya namna hii.
yafuatayo ni mambo kadhaa uwezayo kufanya ukajiweka kweny nafasi nzuri yakuhakikisha unashindana vilivyo vyema na kua na mzunguko mzuri wa pesa...