Yung Forevér Profile picture
just wanna stay young forever | @arsenal & @SimbaSCTanzania | i witnessed Leo Mess winning world cup & 8TH ballon d'or ☝🏾|
Mar 7, 2023 15 tweets 6 min read
Ukiachilia mbali kua ni Rapper wa miaka ya 90 mwenye ushawishi muda wote

Pia Tupac ni most quotable rapper of all time kupitia nyimbo & interviews zake...

Kwa kukuthitishia hilo, nimekuandalia quotes zake 10 bora za muda wote..👇🏽

#THREAD

#KiddyMusicBrief 🔟. "Currency means nothing if you still ain't free"

Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake unaoitwa "HOLD YA HEAD" kutoka kwenye album ya "The Don Killuminati The 7 Day Theory"

Akiwa na maana Pesa haina maana kama hautakua huru.
Oct 8, 2022 18 tweets 8 min read
- Ni moja ya washkaji wanaojua ile kitu tunaita "Hardcore hip hop"

- Licha ya kua media zimemfumbia macho lakini hii haijafanya aache kuifanyia kazi talanta yake

- Leo nimekuandalia story ya maisha yake ya kimuziki, RT kisha shuka Nayo

#KiddyMusicBrief

- #Uzi 👇🏾 - Kwa majina kamili anaitwa Daniel Nwosu Jr., Maarufu kama "DAX"

- Ni msanii, muandishi na mtunzi wa nyimbo (song writer) ambapo alishtua industry ya hip hop kwa track yake ya "Dear God" na kujizolea Kijiji