Edwin ℳasobεji Profile picture
Feb 2, 2019 39 tweets 6 min read
KWANINI HARMONIZE ATATOKA WASAFI

THREAD: ikumbukwe Miaka mitatu imepita toka kutambulishwa kwa msanii mpya katika lebo ya wasafi msanii Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize kitu ambacho kilikuwa ni ndoto yake ya muda mrefu yeye na familia yake na hata mwanamuziki yeyote anayechipukia kwani ni fursa ya kuweza kuonesha