How to get URL link on X (Twitter) App
Kwenye Biashara Kubwa mauzo yakianza kushuka na usipopokea order mpya [minimum order quantity].
Kumbe chuma inatafuna mafuta mdogo mdogo sana kama kibogoyo na nyama.
Pia angalia na chombo chako kama kina uwezo wa Ligi if not achana na Ligi fanya yako..
Mazda CX 5 ni compact crossover SUV ambayo imekua kwenye uzalishaji toka 2012 ikiwa mrithi wa Tribute na CX 7..
Ilikua Jumamosi tulivu siku ya Bata kwa watu ambao umri umesogea kidogo [30+]..

Akasema yuko Dodoma ila ikipatikana hata sasa hivi anakuja kuchukua machine..
Kama unahitaji SUV nzuri ya kiumeni na uko na mzigo go for Vanguard..
Wajapan bana wakileta gari huku wanaleta na lugha zao yani hawa Jamaa hata manual unaweza kuta hamna ya English..
Kwanza walianza kuipenda wafanyabiashara wa Kariakoo..
BMW 3 Series ni line ya executive cars zilizotengenezwa Germany kuanzia mwaka 1975 ikitokea 2 series..
Taa ya Oil Pressure..
1st Generation ilikuja na Engine za 2.4L, 2AZ-FE i4 na 3.0L 1MZ-FE...
Toyota Premio walimuweka sokoni kama moja ya saloon car za luxury tofauti na Allion...
Rumion katika series za Corolla aliingia sokoni 2007 Mwishoni akiwa na umbo lake kama Box flani hivi...
Hizi gari zilianza kutengenezwa Japan Miaka ya 2006 mpaka 2013...