MSAFIRI Profile picture
Journalist | Storyteller | Basketball Addict | Runner 🏃🏾‍♂️💨 Support @myhadithi Asante!
MSAFIRI Profile picture peter August Profile picture 2 subscribed
Apr 7, 2021 11 tweets 4 min read
Zilikuwa siku 100 za vilio na kusaga meno mwaka 1994, Watu wapatao 800,000 waliuliwa na kabila la Hutu, jamii ya kitutsi ililwengwa katika mauaji haya vile vile hata wale waliojihusisha na siasa. Kwibuka neno la Kinyarwanda likimaanisha Kukumbuka, leo imetimia miaka 27 tangu mauaji hayo ya kimbari yatokee huko nchini Rwanda.
May 13, 2020 8 tweets 3 min read
Leornardo Da Vinci mchoraji mwenye michoro maarufu isiyochuja ulimwenguni alimchora Monalisa mke wa tajiri wa Italia, aliweka nembo zinazotambulisha picha zake kwa usiri mkubwa sana. Leonardo Da Vinci alizaliwa huko Vinci Toscana nchini Italia, 15 Aprili 1452 na alifariki akiwa hajamaliza mwaliko aliopewa na mfalme wa Ufaransa katika mji wa  Amboise, 2 Mei 1519.
May 6, 2020 13 tweets 5 min read
UZI: Michael Jackson hakuwahi kubadilisha ngozi yake bali alisumbuliwa na maradhi ya Vitiligo yaliyodhoofisha ngozi yake Ngozi ya Jackson ilikuwa rangi ya kahawia (au sana huita maji ya kunde) katika hali ya ujana wake, ila, kuanzia katikati mwa miaka ya 1980, hatua kwa hatua ngozi yake ikaanza kudhoofika mno kwa kile kilichofikiriwa kujichubua ngozi na kujibadilisha mwonekano wake kuwa Mzungu.
Apr 30, 2020 23 tweets 6 min read
UZI.
THOMAS SANKARA CHE GEUVARA WA AFRIKA ALIENYANG’ANYWA KIGODA KWA RISASI YA KISASI. Image Thomas Isidore Noel Sankara kiongozi kijana aliyependwa na raia wake na kusalitiwa na rafiki yake wa muda mrefu, alijulikana pia kama Che Geuvara wa Afrika kutokana na harakati zake za kuwapambania wanyonge wa taifa lake tukufu la Burkinafaso ambapo awali lililiitwa Upper Volta. ImageImage
Apr 2, 2020 22 tweets 8 min read
Fuatana nami katika Uzi huu ili ufahamu,
Uswahiba wa Rais wa kwanza wa Uganda Kabaka Edward Muteesa II na Milton Obote na mvurugano wa Idd Amin Dada. ImageImage Kipindi Uganda ipo katika harakati za kusaka Uhuru kulikuwa na mvutano mkubwa baina yao wenyewe kutokana na kwamba baadhi ya makabila makubwa kuchukua nafasi kubwa ya kupigania Uhuru wa Taifa hilo lakini baadae wanafunzi wa Makerere waliona ni bora kuanzisha chama ambacho...