Leviathan Profile picture
Kwa kupigwa kwake sisi tumepona @chelseafc fan
Jul 21, 2021 11 tweets 2 min read
Isabel Martínez De Perón - Rais mwanamke aliyeanza uongozi kwa kuwapa watu matumaini kisha akageuka kuwa dikteta.
|THREAD| 1 July 1974 taifa la Argentina lilipatwa na mshtuko baada ya kupata habari za kifo cha Rais dikteta Juan Domingo Perón aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo chini ya mwaka mmoja tangu kuchaguliwa kwake kwa muhula wa 3.

Katiba yao inaeleza kwamba kama Rais akifariki