James Munisi Profile picture
Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa
SULTAN MNYALUπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Profile picture KEISHA ESSAY HELP | HOMEWORK HELP | ESSAY WRITER Profile picture peter August Profile picture 3 subscribed
Sep 23, 2023 β€’ 16 tweets β€’ 3 min read
πŸ’¨ Kuna maswali mengi yamekuwa yakiendelea juu ya kipi salama wakati wa kucharge simu.

Nilishatoa tips za mambo ya kufanya ili kulinda battery lako la simu pamoja na Kompyuta.

Leo nakuletea maswali Saba(7) muhimu ambayo watu huniuliza sana katika mada hii... Image Ya kuhifadhi Battery la simu.

Ungana na mimi mwanzo mpaka mwisho. Naamini Swali lako ulilokua ukijiuliza litajibiwa na huu uzi.
Sep 19, 2023 β€’ 18 tweets β€’ 6 min read
πŸ’¨ Tumeona kuwa simu mpya za Apple, iphone 15 series zimetoka.

Simu hizo zinatarajiwa kuanza kuuzwa madukani Tarehe 22, September 2023.

Lakini kabla ya kununua hizi simu unatakiwa ujue tofauti zake.

Leo nakuletea tofauti kati ya matoleo yote ya iPhone 15 na bei zake. Image iPhone 15 series zimetoka katika makundi makuu manne.
~ iPhone 15
~ iPhone 15 plus
~ iPhone 15 Pro
~ iPhone 15 Pro Max

Ambazo zote zinatofautiana kulingana na specsification zake.

Leo nitakuelezea tofauti ya kila moja kwa kipengele kimoja kimoja.
Aug 27, 2023 β€’ 14 tweets β€’ 3 min read
πŸ’¨ Kufanya Partition katika Pc au kompyuta ni jambo muhimu sana katika kompyuta.

Humuwezesha mtumiaji wa kompyuta kugawa Hard disk yake katika makundi ya storage.

Hapo utaweza tenganisha storage yenye ma-file ya system na yako yenye ma-file binafsi. Hii itasaidia kuzuia... Image Pertion ya system kujaa!!

Bila kupoteza Muda ungana na mimi leo nikuelekeza step by step namna ya kufanya pertition kwenye Pc au kompyuta hako!.

Ziko njia Mbili za kufanya pertion kwenye kompyuta yenye Windows 10/11

1. Kwa kutumia Disk Management
2. Kwa kutumia Diskpart
Jul 18, 2023 β€’ 6 tweets β€’ 3 min read
πŸ’¨ Hivi unafahamu cha kufanya pale simu yako itakapo dumbukia kwenye Maji??

Leo nimepa ta ujuzi kidogo nikaona sio mbaya ku-share na nyinyi.

Yawezekana simu yako ni water resistant. Hii inamaanisha kuwa simu yako haitaathiriwa na maji kwa muda flani, haimaanishi kuwa..πŸ‘‡πŸΎ Image Simu yako ni water proof!. Mpaka sasa hivi duniani hamna simu ambayo ni water proof.
Water proof inamaana kuwa simu yako haiingii maji hatakama utaiacha Mwaka mzima kwenye maji yenye kina chenye urefu wowote.

Tuache stories twende kwenye point.
Simu yako imedumbukia..πŸ‘‡πŸΎ
Jul 8, 2023 β€’ 25 tweets β€’ 7 min read
πŸ’¨ Mark Zuckerberg anapenda sana ushindani kwa upande wa Social media apps ambapo, huchukua idea za wenzake na kuzinadi kwa namna yake.

Kama una kumbukumbu Facebook ilikuja kuiua My Space, Stories kwa instagram zinashindana na Snapchart, Instagram reels nazo ni kwaajili..πŸ‘‡πŸΎ Ya kuiua Tiktok, sasa wameleta threads kuondoa Ubaguzi unaondelea Twitter!!

Wakati tukiendelea, kusubiri updates mpya na feature mpya kuwa added kwenye Threads, acha tulinganishe Twitter na threads, ili tujue ni feature gani zinatakiwa ziongezwe kwenye Threads..πŸ‘‡πŸΎ
May 15, 2023 β€’ 12 tweets β€’ 5 min read
πŸ’¨ #ChactGPT AI nzuri kwa kutumia mpaka sasa
Kutokana na uwezo wake
Lakini leo nakuletea mambo 10 yanayofanywa na Bard ambayo ChatGPT haiwezi kuyafanya!

Source: [You need a robort] Image 1. Uwezo mkubwa wa kuperuzi (Internet access)

Bard inauwezo mkubwa wa kperuzi online kutokana na imeunganishwa na google search severs!
Hii inaipa uwezo wa kupata majibu mapya ya muda huo kwa haraka zaidi.

Mfano: video kiwango cha pesa kilichowekezwa kwenye AI 2023.
May 14, 2023 β€’ 13 tweets β€’ 6 min read
πŸ’¨"Wandugu! Android 14 inakuja na ni nzuri mpaka naona inawafanya marafiki zangu wanaotumia iPhone waone wivuπŸ˜…! Lakini msiwe na wasiwasi bado mimi ni rafki yenu nitawa-text kwa sababu tunakuja wawekea RCS kwenye iPhone"
Amesema #bardAI
Mimi nakuletea feature mpya za Android 14 twitter.com/i/web/status/1… Android 14 ni version mpya ya simu zinazotumia operating system ya google. Ilitangazwa mwanzoni tarehe 20, february 2023 ambapo mpaka sasa hivi inaendelea kuboreshwa.

Android 14, tangu inze kutumika imefanyiwa maboresho kibao!
Zifuatazo ni features zilizo kwenye maboresho hayo! Image
May 13, 2023 β€’ 5 tweets β€’ 2 min read
πŸ’¨ Whatsapp wanakuletea whatsapp Channels!

Whatsapp for android kwenye Beta update version 2.23.10.19 wanakutea Whatsapp channels ambapo zitakuwa kama chanells za Telegram ambazo zinawezesha content creators kupost content na kupata subscribers au followers 1mil na zaidi..πŸ‘‡πŸΎ Image Features hii ya Whatsapp channels itakuja pamoja features zifuatazo;

β–ͺ︎ Verification status: Channel za whatsapp zitakuwa na uwezo wa kuwa na verification checkβœ…οΈ ya kijani ila namna ya kuomba verification bado haijatangazwa
β–  Number ya Followers itakua inaonyeshwa chini
Aug 28, 2022 β€’ 11 tweets β€’ 4 min read
πŸ’¨ SAMSUNG TV

Pale Korea Kusini Samsung walianzisha chuo cha Samsung Advanced Institute of Technology.

Wamekuwa waki-develop teknolojia mpya sokoni. Samsung ni role model wa makampuni mengine.

Wanazi wa Display usiponunua product yao utanunua product yenye display zao πŸ‘‡ Twende chap chap
Samsung ilianzishwa miaka 53 (1969) iliyopita huko Suwon, Korea Kusini. TV yao ya kwanza ilikuwa ni toleo la P-3202 miaka ya 1970.

Kipindi icho ndio cha Black & White kufikia miaka ya 1976 walikuwa washauza zaidi ya TV milioni ndani ya Korea Kusini.
Feb 25, 2022 β€’ 17 tweets β€’ 8 min read
#UZI
πŸ’¨ KISANGA CHA TAIWAN NA CHINA

Taiwan ni kisiwa kidogo ila ni moja kati ya sehemu hatari zaidi duniani.

Mama wa Taiwan ni jeuri plus kiburi anayopewa na Marekani, China naye anasema ni jimbo lake na lazima atalirudisha kundini.

Hii colabo ya Urusi na China πŸ‘‡ Image Twende chap chap
Miaka hiyo baada ya vita ya pili ya dunia kuna vita vilikuwa vinaendelea huko China vya wenyewe kwa wenyewe kulikuwa kuna People's Republic of China (PRC) iliyokuwa chini ya Chinese Communist Party (CCP) walikuwa wanapigana vita na Republic of China (ROC). Image
Feb 24, 2022 β€’ 18 tweets β€’ 8 min read
#UZI
πŸ’¨ Juzi Marekani na UE zilizungumza kauli za kibabe dhidi ya Urusi sasa Urusi kaamua kulishambulia jeshi la Ukraine kila pande.

Tusubiri kama Marekani atajaribu kuingiza mguu kuizuia Urusi, kuna nchi kama China zinaitamani sana Super Power japo kwasasa wanajifanya πŸ‘‡ Image Wapo kidiplomasia zaidi ila ikianza hii ligi ya wakubwa Xi Jinping lazima aungane na mwanae wa faida Putin kupambana na Marekani.

Hii vita haina tena faida kwa Marekani tuone NATO watachukua maamuzi gani dhidi ya Urusi na mbaya zaidi Urusi kaingia Ukraine akiwa Image
Feb 23, 2022 β€’ 19 tweets β€’ 8 min read
#UZI
πŸ’¨ MAREKANI KUMNYAMAZISHA URUSI?

Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.

Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi πŸ‘‡ Image la Marekani ndani ya Belarus πŸ‡§πŸ‡Ύ

Tunaweza kuona ni namna gani Marekani wanaendelea kuzichanga karata zao vizuri dhidi ya kumdhoofisha Urusi.

Belarus chini ya Raisi ambaye watu wa haki wanamuita Dictator Alexander Lukashenko aliyekaa madarakani toka 1994 alisema Image
Feb 16, 2022 β€’ 6 tweets β€’ 3 min read
#UZI
πŸ’¨ Muda mwingine ni bora kukata tamaa

Unayemuoa pichani anaitwa Shao Ling Li (30) aliomba Visa kwenye ubalozi wa Marekani huko China hadi kujulikana na ubalozi wa Marekani lakini alikataliwa kupewa Visa japo alijaribu kuomba mara nyingi

Akaandika barua zaidi πŸ‘‡ ya 15 immigration ya Canada lakini barua zote hizo zikakataliwa.

Mwamba hakukata tamaa akaomba ajiunge na jeshi la majini huko China lakini hakukubaliwa.

Yeye pamoja na wengine 124 wakaomba kazi kwenye kampuni ya mambo ya teknolojia, watu 122 wakaajiriwa na 2 wakakataliwa
Oct 11, 2020 β€’ 14 tweets β€’ 7 min read
#UZI
πŸ’¨ MAKAMPUNI YA SIMU 10 BORA DUNIANI
πŸ’¨ Hii ni kwa mujibu wa report ya Sep.2020

1: SAMSUNG
β€’ Hii ni Kampuni ya vifaa Electronic iliyoko huko Korea Kusini.
Dunia inaelewa uwezo na ubora wa simu za Samsung. Mfano Note 20, S 20 Pro.
Hizi ni #FLowMaTaTa tiririka nazo πŸ‘‡πŸ‘‡ 2: HUAWEI
β€’ Hii ni Kampuni iliyopo China inatengeneza vifaa vingi sana vya mawasiliano.
Lakini katika Kitengo Cha simu wamejitahidi sana japo wanapitia katika Kipindi kigumu lakini bado wamebaki namba 2.

Hawa jamaa wana tabia ya kukata kona kabla ya kona.
Aug 1, 2020 β€’ 24 tweets β€’ 9 min read
πŸ’¨ YAHOO BOYS
πŸ’¨ VIJANA HATARI WA NIGERIA

▫️Ni wanachuo na vijana wengine wanaofanya Utapeli mtandaoni.

▫️Mtaji wao ni Komputa na hirizi. Unamkumbuka HushPuppi vizuri?

▫️ Tatizo lao wanakamatwa kama kuku na hawaishi huko mtaani.
#FLowMaTaTa tiririka nazo πŸ‘‡πŸ‘‡ ▫️Yahoo Boys ni wanafunzi wa vyuo vya Nigeria walioamua kujitafutia kipato mtandani kwa njia za udanganyifu.

▫️Wengi wakianza shule huishia katikati na hata kumaliza.
Jul 31, 2020 β€’ 12 tweets β€’ 5 min read
πŸ’¨ VITA VYA TANZANIA DHIDI YA WADUKUZI

▫️ Unawajua Tanzanian Hackers wewe? achana na suala la ku-hack Dream League.

▫️ Website ya Waziri Mkuu yadukuliwa. Msala wa mbet.

▫️Huko Jamii Forum ni vimbwanga juu ya vimbwanga.
#FLowMaTaTa tiririka nazo πŸ‘‡ πŸ‘‡ ▫️ Kwa mujibu wa Threat Map, Tanzania moja ya nchi zinazoongoza kufanyiwa Cyber Attack kwa Afrika.

▫️Na hii inasababishwa na ufungufu wa wataalamu wa IT.
Jul 18, 2020 β€’ 12 tweets β€’ 5 min read
πŸ’¨ TEKNOLOJIA KUBWA 7 ZINAZOVUMA 2020

1: 5G
β€’ Hichi ni kizazi cha 5 cha mawasiliano ya mtandao. 5G ina kasi ya Gb 10 kwa sekunde.

β€’ Hii teknolojia ilianzishwa mwaka 2019 na kampuni ya Huawei (China). Mpaka sasa inasambazwa duniani na
#ElimikaWikiendi tiririka nazo πŸ‘‡πŸ‘‡ Image Kampuni mbalimbali kama Huawei, Erickson, Nokia n.k.

β€’ Kwa Afrika mpaka sasa nchi zenye 5G ni Lesotho na South Africa kwa mujibu wa Tech Cabal. Image
Jul 5, 2020 β€’ 20 tweets β€’ 8 min read
#UZI
πŸ’¨ KISANGA CHA TIK TOK

✴️ Hii ni app iliotengenezwa na Zhang Yiming huko Beijing, China.

✴️ Imetengenezewa China lakini China imewazuia raia wake kuitumia.

✴️ Marekani, India ni baadhi ya nchi zilizoikataa.
#FLowMaTaTa tiririka nazo πŸ‘‡πŸ‘‡ ImageImage ✴️ Huu ni mtandao wa kijamii wenye uwezo wa kutengeneza kusambaza video.

✴️ Unatumika kutengeneza video za kuchekesha, kucheza na za kuonyesha vipaji.

✴️ Hii app ya TikTok inamilikiwa na kampuni ya ByteDance iliyoanzishwa 2012 na Bw. Zhang Yiming.

✴️ 2017 ikatuletea hii Image
Jun 17, 2020 β€’ 17 tweets β€’ 7 min read
#UZI
πŸ’¨ Watu wengi wanaofanikiwa hufanya mambo yao nje ya mifumo rasmi.

✴ Ujinga wa mteja ni fursa kwa mfanyabiashara.

✴ Huyu mtu huakikisha mpinzani wake ni yeye.
#FLowMaTaTa tiririka nazo πŸ‘‡πŸ‘‡ Twende chap chap
✴ Mafanikio ni matokeo ya chanya ya jambo fulani. Kila mmoja anayatamani hayo matokeo.

✴ Kila mtu hutumia njia zake binafsi, wengine hunakili, huiba mbinu za wenzao ili mraji wapate hayo matokeo.

✴ Watu wengi bado huendelea kufanya mambo yao ndani ya hiyo
Jun 9, 2020 β€’ 21 tweets β€’ 10 min read
#UZI
πŸ’¨ VITA VYA WADUKUZI WA ANONYMOUS DHIDI YA MAREKANI

✴ Walikua bench kwa miaka 3, kifo cha George Floyd cha warudisha kwa kishindo.

✴ Udukuzi wanaoufanya ni presha tupu.

✴ Wanasema sio Trump tuh hata Clinton na Obama wote ni ❌❌
#FLowMaTaTa is back Tiririka nazo πŸ‘‡ Twende chap chap
✴ Baada ya polisi kusababisha kifo cha George Floyd, Anonymous walihack database za serikali kwa ajili ya kurudisha password za mitandao yao ya kijamii.

✴ Walizifungua baada ya kujaribu password zote ila baadhi zilikubali.

✴ Password kama GuyFawaks,
May 22, 2020 β€’ 23 tweets β€’ 10 min read
πŸ’¨ VITA VYA ISRAELI DHIDI YA MA-HACKERS

✴ Ardhi imewaingiza Wayahudi kwenye vita dhidi ya nchi za kiharabu,Uturuki,Urussi na China.

✴ Waharibu computer 30,000+ za Iran na mfumo mzima wa nyuklia.

✴ Ndio nchi iliyoweza kuidukua iPhone.
#FLowMaTaTa tiririka nazo πŸ‘‡πŸ‘‡ ✴ Hawa Wayahudi wanakuambia "You hack me, I hack you" hapo ni baada ya kudukuliwa websites zote za serikali yao na wadukuzi wa Anonymous.

✴ Anonymous ndio wadukuzi wakubwa duniani. Hapa bongo kijana wakishaweza kupiga Windows, anaweka profile pic ya hawa jamaa.