Reggea| gamer|
Manchester United fan|
Geography student| nature lover
Aug 27, 2020 • 7 tweets • 2 min read
Kuna Friday night flani kwa party...(niggar X) alikuja na manzi yake lightskin wakaingia dance floor .. Kidogo jamaa flani (niggar Y) akakuja dance floor akaomba turn ya kurombosa.. niggarX was so generous hadi akaacha manzi yake arombosewe yeye akirombosa mwingine
THREAD1/7
After some time niggar X akashtukia manzi hayuko dancefloor akilook around akaona manzi anabuyiwa drinks pale kwa counter..(Na sio drinks cheap kama zile za mtu pombe) drinks za kifahari aisee..Let me tell you maina manzi alikua anamimina hizo drinks akiwa excited kama..
2/7