ODOGWU 𝕏 Profile picture
It's just Twitter | Malume 👊
Aug 10, 2021 9 tweets 4 min read
▶️Yoshito Matsushige aliyezaliwa tarehe 2 January 1913, alikuwa manusura wa milipuko ya Hiroshima, na mpiga picha pekee ambaye aliweza kunasa picha za kihistoria zinazoonyesha uharibifu wa bomu la atomiki lililopigwa kwenye mji huo.
👉Mnamo mwaka 1941...... 👇👇
#uzi Image .....Yoshito alijiunga na shirika la kuchapisha magazeti la Geibinichinichi, ambalo baadaye liliungana na Kampuni ya Chugoku Shimbun. Alipewa idara ya upigaji picha na baada ya 1944, pia alifanya kazi kama mshiriki wa ripoti ya waandishi wa habari katika Makao Makuu ya Jeshi ... Image
Jul 30, 2021 5 tweets 2 min read
▶️Josephine Myrtle Corbin alikuwa mtu wa kwanza kuzaliwa na sehemu za siri mbili na miguu minne, huko Tennessee mnamo 1868.

👉Josephine ilikuwa azaliwe akiwa na pacha wake, lakini waliungana kutoka kiunoni kwenda chini. Ugonjwa huu ambao unaitwa Dipygus, unatokana na... Image ....hali isiyo ya kawaida ya mapacha kuungana.  Alikuwa ameongezeka maradufu umbo lake kutoka kiunoni kwenda chini kwa sababu ya hali hiyo isiyo ya kawaida, lakini kuanzia kiunoni kwenda juu alikuwa wa kawaida (kama anavyoonekana pichani) 📸👇 Image
Jul 5, 2021 5 tweets 3 min read
▶️ Kifahamu Kivuko cha kwanza kabisa kuwahi kutumika Ulimwenguni..!!
#vitukuntu
#uzi

👉Je! Unajua kwamba kivuko cha kwanza ulimwenguni kilijengwa na Waturuki wakati wa Dola ya Ottoman..??

👇👇 U S I O N D O K E 👇👇 ▶️Katika miaka ya 1800, usafirishaji uliofanyika katika pande zote za Bosphorus ulifanywa kwa kutumia boti. Katika miaka ya 1840, vivuko vidogo pia vilianza kutoa huduma za usafirishaji kwenye eneo hilo la Bosphorus lilopo nchini Uturuki.
📸👇(Bosphorus)
Apr 25, 2021 18 tweets 12 min read
▶️FAHAMU BAADHI YA REKODI ZA KUSHANGAZA ZILIZOPO KWENYE KITABU CHA REKODI ZA DUNIA CHA GUINESS.
#uzi
#vitukuntu

01. Msichana mwenye miguu mirefu zaidi duniani.

👉Naam huyu ni "Maci Currin", binti wa miaka 17 tu akitokea kwenye nchini Marekani. Maci ameweka rekodi hii....

📸👇 ....mwaka huu huu wa 2021. Maci ana urefu wa futi sita na inchi kumi, lakini miguu yake tuu imechukua karibu asilimia 60 ya urefu wake wote.

(Unaweza ukaangalia picha zake zaidi Instagram kwenye account yake ya @ _maci.currin_)

📸👇
Apr 24, 2021 24 tweets 15 min read
▶️WAFAHAMU WATU MASHUHURI WALIOUWAWA KWA KUPIGWA RISASI.
#uzi
#vitukuntu

01. ABRAHAM LINCOLN
👉Alikuwa raisi wa 16 wa marekani na ndiye raisi wa kwanza wa marekani kuuawa akiwa madarakani. Aliuwawa mwaka 1865 na John Wilkes Booth aliyeudhiwa na maamuzi ya Lincoln ya kutambua.... ....haki za watu weusi. Lincoln alipigwa risasi na John Wilkes Booth alipohudhuria kwenye maonyesho ya muziki. Booth nae aliuawa siku mbili baadae baada ya jaribio la kutoroka kushindikana.

(📸👇 John Wilkes Booth)
Jan 18, 2021 10 tweets 5 min read
▶️LEO NIMEKULETEA HAPA BAADHI YA PICHA ZA "BEHIND THE SCENES" ZA FILAMU MAARUFU YA "APOCALYPTO" 🎥
#uzi
#vitukuntu
📸👇🏾 Image ▶️Filamu hii maarufu kutoka kiwanda cha kutengeneza filamu cha nchini Marekani (Hollywood) inayokwenda kwa jina la "Apocalypto" imekuwa ni mojawapo ya filamu nyingi zenye mafanikio na pia mvuto mkubwa kwa watamazaji.

👉🏾Filamu hii iliachiwa mnamo mwaka 2006.

Tuendelee..

👇🏾 👇🏾