Sunday Victor Profile picture
Miaka 6 kwenye Biashara Ya Forex | Nimegundua STRATEGY ya ku-Trade GOLD inaitwa BANKSETUP | Ni Dm kujifunza hii STRATEGY.
Mar 25, 2023 23 tweets 5 min read
Broker 101.

Zijue mbinu 10 za kuchagua broker mzuri.

Kwenye safari yangu ya Forex Trading nimesha trade na broker zaidi ya 15+.

In short!

Sikuweza kutulia kwa broker 1 kutokana na matatizo niliokuwa nakutanayo mwa broker.

Broker anaweza kukwamisha kabisa,

-Uzi- Jana niligusia hii mada ya BROKER'S, aisee feedback niliyoipata nimeona niandike Uzi.

Utakua ushapitia kwenye changamoto za broker uchwara.

Kama kuna upuuzi umeshawahi kufanyiwa na Broker please usiache kushare kila tweet unayosoma hapa ili traders wengine wajifunze.

Go👇
Mar 22, 2023 17 tweets 6 min read
Chart patterns 10 unazotakiwa kuzijua nje, ndani.

Price Action ni strategy mama kwenye trading na chart patterns ni part muhimu kwenye hii strategy.

Ni muhimu kuzijua chart patterns ila chakushangaza 90% ya traders hawajui kuzitumia.

Retweet huu uzi kama kumbukukumbu.

[Uzi] Image Kwenye huu uzi jiandae kujifunza vitu vifutavyo;

•Maana ya Chart patterns.
•Aina 10 za chart pattern.
•Namana ya kuzitumia patterns
Jan 21, 2023 22 tweets 4 min read
Trading Game Plan for 2023.

"Ni bora uwe na plan mbovu kuliko kutokuwa na plan kabisa"

-Benjamin Franklin-

Traders wengi wanachoma account kila siku kwa sababu tu yakukosa Trading Plan.

Usianze 2023 bila Trading Plan, iba plan yangu hapa.

[Thread ]
🧵 Najua unatamani kuanza safari yako ya fx trading ukiwa na mpango biasara ila hujui uanzie wapi.

leo nitakupa mbinu za kivita ambazo personal nimekua nikitumia kwa miaka mi 3+

Forex trading ni biashara kama biashara nyingine, hivyo ni muhimu kua na mpango mkakati ili kufanikiwa.
Jan 20, 2023 14 tweets 3 min read
Kitu kimoja kinacho wakwamisha newbies Trader kuwa profitable,,,,👇

[Thread] 🧵 #1 kutokuwa na solid support (msaada unaohitajika)

2022 nimefanya 1 on 1 mentorship na kuzungumza na baadhi ya trader nilichogundua traders wengi wanakosa mtu sahihi wa kushare nae trading idea.(Trading partners).
Aug 22, 2022 14 tweets 4 min read
Forex Traders wengi sana wanafanya makosa kwenye Trading bila kujua kuwa wanafanya makosa.

Sikiliza.

Kama hautengenezi pesa kwenye Fx Trading huenda unafanya moja kati ya haya makosa 8 au yote kwa pamoja.

Retweet huu Uzi, ndani ya sekunde 1 utanielewa vizuri.

Go👇

-Thread- 1. Over leverage.

Leverage ni namna broker wako anakuwezesha ili upeleke orders zako sokoni.

Is just like kukukopesha kiasi fulani Cha pesa ili uweze ku execute big deal.

Nilishaa fafanua hii term kwenye Uzi wangu.

So hii leverage Trader wengi hawajui kuitumia vizuri, Image
Jun 19, 2022 14 tweets 2 min read
"Learn to play a Defense game.

A good forex traders is one who play a Defense"

Hii ni master mind statement niliambiwa na mentor wangu 2020 kipindi hicho na struggle na consistency.

Baada ya hii statement akaanza kunipika kwa madini, ambayo Leo na share hapa.

>>>🧵<<< Hii statement huwa naifanisha na football team.

team nzuri ni ile inayo jua ku defense na kushambulia at the same time.

Fikiria team Kama Liverpool au Manchester City, hizi team ni Bora Sana kwenye ku defense na kushambulia.

Kabla team haijafikiria kushambulia kwanza lazima👇
Mar 14, 2022 25 tweets 8 min read
Candlestick patterns 13 unazopaswa Kuzijua nje ndani.

Candlestick ndio msingi kamili unautumiwa na Price Action trader,

Kama unataka kuijua price Action trading strategy huna budi kusoma huu Uzi Sasa hivi

Plz RT this, iende kwenye TL yako For yr future reference.

>>>UZI🧵<<< 99% ya Fx trader duniani wanatumia candlestick kusoma price movement,

that why kwenye training zangu na mentorship na sisitizia Sana somo la candlestick + candlestick patterns, chart patterns.

As a trader I hope yuo understand everything about candlestick. Now let to deep down
Dec 9, 2021 15 tweets 11 min read
JENGA TABIA HIZI 10 KABLA 2021 HAIJAISHA.

Jonathan Harnisch, aliwahi kusema

"The strongest people are not those who show strength in front of us, but those who win battle we know nothing about"

Watu wengi unaona wamefanikiwa jua kuna vita wanapigana hatuijua kabisa

=Uzi=🧵 Hizi hapa tabia 10, shuka nazo👇👇 please Retweet tujifunze wote

1/10 ✨Soma sana/ Reading

Miaka 10 ijayo itakuwa mizuri sana kwako ukiwa utalisha ubongo wako vyema

Kama unataka kufanikiwa jifunze kutoka kwa watu waliofanikiwa

Kusoma vitabu ndio njia sahii kujenga maarifa
Dec 6, 2021 22 tweets 11 min read
Moja ya swali naulizwa sana DM,

JE NAWEZA KUANZA KUJIFUNZA FOREX TRADING PASI NA MTAJI?
SINA MTAJI WAKUTOSHA?

Sasa nadhani ni wakati wakujibu hili swali Public sasa.

soma uzi mpka mwhisho👇

Come on brother and Sister, mimi wengi huwa nawajibu kwa mifano tu

=Thread= 🧵 ImageImage Embu tuwaulize hawa👇 wakati wanaanza kujifunza skills walizo nazo walikuwa na mtaji kiasi gani?

1. Trading @Sirjeff_D
@Kapteiny_eric @lissaFx_V75 @sundey_fx
2. Copywriting @NyandaAmosi @GetrudeMligo
3. Digital Marketing @GillsaInt @LeyAllyie
4. Creativity @CarolNdosi