T R A V E L L E R S ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile picture
Karibu kwenye ukurasa wa TRAVELLERS Rafiki wa Jamii | ELIMU, BURUDANI, UTALII na SIMULIZI | Kwa maswali zaidi tutumie DM | #WeLeadTheWay #TembeaNaWatembezi
Jul 8, 2020 โ€ข 14 tweets โ€ข 7 min read
T H R E A D๐Ÿ‘‡ #TembeaNaWatembezi

A

L O V E

L E T T E R

F R O M

MY

C R U S H ๐Ÿ˜
๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ Asubuhi tulivu iliyopambwa na ukungu wa kutosha huku tunamsikiliza headmaster paredi jumatatu akiwa anafoka hatusomi alafu anawasifia mademu wa WERUWERU dah.ilikuwa inakera sana ukizingatia sisi ndo form six ila ndo ilitufanya tusome sana ili nasi tusifiwe mara moja moja๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Jun 24, 2020 โ€ข 19 tweets โ€ข 8 min read
Karibu kwenye simulizi za kweli za mapenzi za #Tommy'smission. Leo tunaanza na
PENZI LA ONLINE๐Ÿ’•
Mitandao ya kijamii imesaidia sana watu kutoka mahala mbalimbali kufahamiana na wengine kupata wenza wa maisha yao. Nami nikiwa kama mmoja wao leo nashuka na UZI HUU ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ Story inaanza kama miaka minne nyuma nilivyokuwa kidato cha tano pale Uboizin UMBWE. Kama unavyojua kuishi uboizini kipindi cha likizo magroup na shule za wasichana yanakuwa kibao๐Ÿ˜ si unaelewa watu wenye ukame wakikutana๐Ÿ˜‚