H Simba Profile picture
Consulting (Telecom, Mining and Banking) BSc, MSc, CPSP-AU, MCIPS- 🇬🇧 Corporate Solutions and Government Relations

Mar 3, 2020, 7 tweets

Ujasiri ni Kuthubutu. Mwaka jana nilikutana na Mdau akaniuliza nafanyaje kupata fursa migodini?

Nikamuuliza unataka fursa zipi? Akasema nataka tu 'kusupply'. Nikamuorodhoshea baadhi ya fursa na kumuambia hizi hapa nenda kasake huko duniani maana hata sasa sio wengi wanauza bongo so katafute uzipate.

Nikamuunganisha na 'Global Dealers' nikamumbia sasa ukipata details endelea kuwasumbua wengine pia upate sasa kujitangaza

Jana kanitimua ujumbe kushukuru kusema amepata oda ya kwanza kusambaza aina fulani ya bidhaa katika zile nilimuambia na hakika anashukuru. Hapa ni kwamba nia ilikutana na fursa. Tangaza fursa

Baada ya ujumbe wa jana nikasema ili uwezeshaji Wazawa #Localcontent uweze kutimia ni muhimu sana wadau kuweka nia na migodi kutangaza fursa zilizopo kwa wakati. #furs!

Fursa zinaweza kutangazwa kwa tukio maalumu yaani kama zabuni husika au kwa mpango wa mwaka wa manunuzi yaani Annual Procurement Plan. #LOCALCONTENT #MINING

...**nikamuambia

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling