MAISHA NI SAFARI, JARIBU. MAISHA NI MAPIGANO, PIGANA.
Ni maisha ya Mtoto Mercy Maeda: mtoto pekee ambaye kwa sasa alitakiwa awe anaendelea na masomo ya Kidato Cha Pili, St. Mary’s Mazinde Juu, ila sasa anapigana na saratani ya DAMU (LEUKEMIA)
#UPENDOUSIOPIMIKA
#DaktariMwandishi
Mama yake Natu Rashid Maeda aliugua saratani ya titi kwa miaka 10 akapata matibabu kwa miaka 10 haikuwa rahisi kwa familia kiuchumi.
Familia ikiwa inamshukuru Mungu yakuwa mama amehakikishiwa kupona kabisa ndani ya miezi 4 Mtoto Mercy anagundulika kuwa na saratani ya damu na sasa
inahitajika takribani dola za kimarekani 137,000 (milioni 300 TZS) kwa ajili ya huduma ya kupandikiza uboho (bone marrow transplant).
Hii familia imeshauza na kukopa kufikia hata kupoteza ajira ya mzazi mmojawapo kuweza kuendelea na matibabu ya awali walipofikia hawana tena uwezo
ilhali ni hakika ugonjwa huu unatibika iwapo fedha inapatikana.
Kwa moyo mkunjufu, chochote unachoweze toa kama msaada wa hali, sala na mali.
Tunayagusa maisha ya mtoto huyu.
Mercy ni binti mwenye ndoto.
Ndoto zake tunaweza kuzitimiza SISI.
#DaktariMwandishi
#UPENDOUSIOPIMIKA
Kama upo TANZANIA unaweza tuma mchango wako kupitia MPESA Mastercard au MPESA kwenda 0745 563767 Jina Amina Msengwa
Asanteni sana.
#IMAGINETheBest4Mercy
#UPENDOUSIOPIMIKA
#DaktariMwandishi
👇hii ni link ya GoFundMe page unaweza kuchangia. 🙏
bit.ly/2D9v3XP
Share this Scrolly Tale with your friends.
A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.
