Kuduishe Kisowile Profile picture
MD | WHO Fides Influencer | P1L1 | Health Communications Consultant | #MeToo | Op-Ed Writer at TheChanzo | #KuduAfyaTips | #DaktariMwandishi 🇹🇿 #RadFem
5 subscribers
Feb 25 13 tweets 3 min read
Katika vitu ambavyo namshukuru Mungu ameniwezesha kuvi-experience ni kuishi maeneo tofauti ya nchi yetu hii na kuona maisha tofauti wanayoishi watanzania.
By 2006 nilikuwa nimesoma Mafia na Lushoto, shule za serikali lakini nzuri; mambo ya watoto kwenda shule peku nilikuwa #UZI naona kwenye habari. Na nikwambie tu ukweli, kuona taarifa kwenye habari na ku-experience kitu kwa maho ni vitu viwili tofauti. Mara nyingi ukiangalia kitu kwenye habari unaona kama ni kitu kilicho mbali sana na maisha yako. Almost kama fantasy flani hivi. Mid-2006 tulipihamia
Jan 4, 2024 9 tweets 2 min read
I woke up today with so much in my mind, and that Sylvia Plath quote pierced right through me and I felt every inch of it.
This made me think about the life cycle of a butterfly and how much it resonates with our lives. Female butterflies lay many eggs because not all will (1/?) survive. Apparently, we are the eggs that survived long enough to become caterpillars. Oh the fun stage, probably the school years where we ate and ate and ate and ate again to grow and run around exploring everything. Then comes the pupa stage, the very uncomfortable (2/?)
Apr 23, 2023 15 tweets 4 min read
A lot of people spend most of their lives away from their families and homes that they barely build a community around them. They become visitors of their own homes. Things that used to hold people who live around together don’t do that much anymore. Weddings, funerals conducted Image far from home. Where one builds their house to call home is not where they live. So, you have this group of people who have spent most of their lives away from home for years and suddenly they have to build a home and make it work with those within it and around it.
Mar 3, 2023 13 tweets 4 min read
Mjadala uliofanyika leo katika mkutano mkuu wa MEWATA kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali.
Siku moja napita round wodi ya watoto wachanga nawahimiza kina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita “dokta ukimaliza njoo” #UZI #MEWATA2023 Nilipoenda akamchukua mwanae akanikabidhi mkononi akasema, “shogaangu hebu niangalizie mwanangu, maana mie sijielewi”
Nikamuuliza, “unajiskiaje” nikidhani labda ana shida ya mwili ili tuwaite watu wa wodi ya kina mama waje kumhudumia. Akasema, “yani nikimbeba hivi mtoto kumpa
Oct 3, 2022 24 tweets 7 min read
When I saw a stream of blood down my leg, I knew right there and then; it’s happening! My worst nightmare was coming true and I couldn’t believe it because it was already days after delivery. I have NEVER been that terrified ALL MY LIFE.
This is my story: SURVIVING PPH #Thread 🧵 I tried to be calm, but I could hear my heart pounding in my ears. It felt like someone ripped out my heart and put it in speaker right next to my ears. I felt dizzy, so I sat down. I can’t tell if I was dizzy because of blood loss or the fear of becoming a statistic.
Sep 26, 2022 16 tweets 10 min read
Kuna safari hata ziwe fupi vipi, hazisahauliki. Hazisahauliki kwa mengi; watu uliosafiri nao, watu uliokutana nao, experience ya safari na mengine mengi.
Mimi safari hii pichani sitaisahau.
Nilipata wasaa wa kushare na @buguzi @NormanJonasMD @DrArabiFrank na @JuliethSebbaMD #UZI Image Ilianza kama utani hivi, nikafahamishwa nimepata nafasi ya kufanya mafunzo Morogoro ambayo yaliandaliwa na @sikika1 na @tacaidsinfo
Na mimi mpenda safari na mpenda afya, naanzaje kukosa? Nikafungasha kibegi changu uelekeo mji kasoro bahari.
Moro bwana! Moro PAZURI NYIE! Basi tu. ImageImageImageImage
Apr 26, 2022 20 tweets 4 min read
Sura yake imeshafutika akilini kwangu, lakini namkumbuka vyema.
Alikuwa mama mtu mzima, mnene hivi, uniform yake ya gauni jeupe na kofia ya nesi zilimpendeza.
Aliketi kwenye kiti akifuta vioo vya taa ya chemli, pembeni ya miguu yake taa nyingine zikisubiri. #UZI
#DaktariMwandishi Image Hii ilikuwa ni ada kila jioni kwani taa hizo zilikuwa ndio chanzo cha mwanga usiku pale hospitali. Umeme ulikuwa haujafika bado.
Pembeni yake tuliketi sisi, mimi na mama yangu pamoja na wagonjwa wengine wa kila rika na jinsia.
Hii ilikuwa ni foleni ya kusubiria kuchoma sindano.
Jul 28, 2021 18 tweets 5 min read
SEHEMU YA PILI #IjueChanjoNaDaktariMwandishi
Leo, saa 3 asubuhi, Rais SSH atazindua chanjo pale ikulu kwa kupata chanjo hiyo.
Wakati huo, tuendelee kujifunza kuhusu chanjo za COVID19 haswa aina ya Johnson&Johnson ambayo ndio imepokelewa. #UZI FUATILIA
#DaktariMwandishi 3. JE, NIKIPATA CHANJO YA COVID19 KUTANIFANYA NIWE NA SUMAKU (MAGENTIC)?

Hapana. Chanjo za COVID19 hazina uwezo wa kutengeneza "electromagnetic field" (uwezo wa wewe kuwa sumaku) na chanjo zote hazina metals.
Unaweza kuangalia nini kimo kwenye chanjo katika ukurasa wa CDC.
Jul 28, 2021 24 tweets 6 min read
#IjueChanjoNaDaktariMwandishi
Bado naikumbuka siku ile ilipotangazwa chanjo ya kwanza ya COVID19, nilikuwa twitter, sikuwahi kufurahia matunda ya sayansi kama siku hiyo.
Wakati huo, tayari janga la COVID19 na upotoshwaji ulikuwa juu ...#UZI (SEHEMU YA KWANZA)
#DaktariMwandishi kitu ambacho sikutegemea, ni upotoshwaji mkubwa zaidi uliokuja na chanjo.
Lakini, siwalaumu wenye maswali dhidi ya chanjo. Yapo maswali muhimu mno ambayo, hatuwezi kuyasukumia uvunguni kwa kigezo cha upotoshaji.
Ni lazima yajibiwe hata kidogo.
Nitajitahidi kutoa majibu machache.
Apr 1, 2021 18 tweets 6 min read
Just laying on bed, my body aching and my head is literally on fire.
Scrolling through same 3 apps, seeing excitements of a "long weekend" ahead.
Ooh! It dawns on me. It's Easter weekend.
My bad. I haven't been oriented to days of the week, only dates for some time because, you know..work!
My work wants me to know date and time, I can barely differentiate a weekday and a weekend/holiday until I get on the road and wonder why the jam ain't like usual.
But, I love it here. I love this work. Maybe a lil' too much. Idk.
It's the one thing I've dreamt of all
Apr 1, 2021 21 tweets 6 min read
I have to disagree with him.
These changes are NOT going to happen over a year, or decade maybe not even century.
Suffragettes fought for votes over 100yrs ago.
Yet even today, studies have shown that in some areas, women don't really have the freedom to vote for who they want. I mean, there were cases the other year of divorces and DV because the wives voted for someone that their husbands didn't like. Actually, statistics show that DOMSTIC VIOLENCE cases go up during elections because of these incidents.
There are countries that allowed their women to
Feb 15, 2021 16 tweets 4 min read
BARUA KWA BINTI WA 🇹🇿 #UZI
#PARTONE
Binti,
Salaam zikufikie pale ulipo kama upepo uvumavyo kutoka baharini kwenda nchi kavu. Natumaini hujambo. Mimi sijambo.
Kila siku nakuwaza sana. Nafikiria nifanyeje kugusa maisha yako.
Kabla ya yote nijitambulishe, mimi ni #DaktariMwandishi Image Dhumuni la barua hii, ni kusema na wewe Binti. Natamani barua hii ningeiremba kwa maua, lakini naamini maneno nitakayoandika ni mbegu tosha.
Jana ilikuwa siku ya wapendanao, haijalishi ulipokea salamu au la, naomba pokea zangu; NAKUPENDA.
Enzi hizo nikiwa sekondari, ilikuwa siku
Oct 11, 2020 13 tweets 6 min read
Natazama picha hii nakumbuka mbali sana. Nafumba macho naisikia harufu ya kisiwani Mafia, hii ilikuwa kati mwaka 2000 na 2002. Nilikuwa chekechea, shule ya Upendo. Binti wa miaka 4-6. Nakumbuka enzi hizo Baba anatufundisha kutumia Computer #UZI #DayOfTheGirl
#DaktariMwandishi Image Sikuwaza kitu zaidi ya kucheza, kusoma, kwenda Dolphine, Mafia Lodge na Mnarani kuchezea maji na kuenjoy na familia. Tulikuwa tunafuga kuku, nilikuwa nawapenda sana. Nakumbuka tulivyokuwa tunasherekea sana Birthday, marafiki, mapambo, bustani zetu zilipendeza.
#DayOfTheGirl Image
Image
Image
Image
Oct 2, 2020 19 tweets 6 min read
Kwa mbali nilisikia mlio wa saa, nikafumbua macho yangu kiuvivu kuitazama siku mpya.
Ulikuwa ni wakati wa kukabili mapito yangu tena.
Nikatazama mikono yangu, shuka limeganda kwenye vidonda vibichi vilivyotokana na kujikuna usiku kucha. #UZI FUATILIA
#DaktariMwandishi Image Nikabandua kwa uchungu, nikaangalia ile damu iliyotapakaa kwenye mashuka. Nikayatoa, nikaweka kwenye nguo chafu, nitafua nikitoka darasani.
Nikaenda bafuni, mtihani mwingine wa kila siku.
Maji ya dettol kama kawaida, nikajimwagia, nikatulia kusikilizia maumivu ya vidonda. Image
Sep 22, 2020 16 tweets 4 min read
There is no need of that because girls are being taught that even before they attain menarche.
The question is, when are boys going to be taught how to actually be good husbands and their roles in marriage?
If you were a woman, you'd know that "ndoa" has been the backbone of everything women are taught to do.
Literally, a girlchild is being groomed to be a wife from a young age, being shown their place and "responsibilities" as mothers and wives.
But I don't see that happening to a boychild. They are just let "to be boys" and suddenly they marry and
Sep 20, 2020 20 tweets 10 min read
Oooh Mama Afrika! Tunakusifu kwa kuijaza Afrika. Kwa kutupa matunda bora ya mbegu zilizopandwa kwako.
Tumeona kilio chako kutoka nyikani. Kilio chako kwa matunda yako yaliyopotea kabla hayajaiva.
Mama Afrika, kilio chako tumekisikia. Futa machozi.
Kwani #MaamuziYakoKeshoYako #UZI Ni siku nyingine tulivu, baada ya purukushani za daladala kuwahi hospitali, nilimsalimu nesi wa zamu huku nikivaa koti langu tayari kuandaa meza kwa ajili ya kliniki ya kina mama wajawazito.
Mlipuko wa homa ya virusi vya Korona ulikuwa umeanza, na siku ile #MaamuziYakoKeshoYako
Sep 18, 2020 5 tweets 5 min read
NEW ARRIVALS 🔥💙💚💛
SEHEMU YA PILI: 17,000TZS ImageImageImageImage ImageImageImageImage
Sep 18, 2020 4 tweets 4 min read
NEW ARRIVALS 💙🔥
#UZI SEHEMU YA KWANZA.
17,000TZS per pair. ImageImageImageImage ImageImageImageImage
Sep 15, 2020 5 tweets 1 min read
Nilivyokuwa form 3, nilipendekezwa kuwa kiranja wa afya msaidizi, kiukweli nilikuwa sitaki, umoniter wa darasa ulikuwa unanitosha.
Tukaitwa ofisini kujinadi kwa staff, nikasema, "naitwa Kuduishe Kisowile, nimependekezwa kuwa kiranja msaidizi wa afya, na sitaki."
Nikasikia, (1/5) mwalimu anasema, "unasema?"
Nikarudia, "sipo tayari, sitaki kuwa kiranja."
Wote wakacheka. Hakuna aliyetegemea lile jibu nadhani.
Wakaniruhusu nikaondoka.
Matokeo yalivyotoka nikachaguliwa.😂😭
Nikaenda ofisini kwa mwalimu mkuu msaidizi nalia, sitaki kuwa kiranja. 😂😂😭 (2/5)
Sep 11, 2020 10 tweets 9 min read
#UZI : NEW ARRIVALS 🔥
Vile #ViwaloVyaKudu vimerudi tena! 😍🔥
-Ukipenda, screenshot tuma DM ulipie kama ipo.
-Nguo isiyolipiwa, haitotunzwa.
-Bei ni 17000Tshs, haipungui.
-Delivery J'PILI TU, Mikoani tunatuma, Unaweza kuja kuchukua KAIRUKI siku yoyote.
KARIBU💙
#DaktariMwandishi ImageImageImageImage Karibuni 💙🔥
Wale wa PAJAMA PARTY, SLEEP OVER, SLUMBER PARTY, 😋😋😋 ImageImageImageImage
Aug 31, 2020 12 tweets 5 min read
Akasimama Mama Victor, kila mtu alikuwa akisubiria maneno yake. Ni mama wa makamo, alipendeza sana. Akasema yeye ana funzo dogo, AINA TANO ZA MANENO.
Nimeona nisiwe mchoyo, niwashirikishe niliyojifunza jana kwenye #SisterhoodTeaParty by DinaMarious #UZI (MFUPI)
#DaktariMwandishi Image 1. Maneno matamu-
Yapo ya aina mbili
a)maneno ya faraja (maneno ya kutia moyo, maneno ya kuinua nafsi ya mtu)
b)maneno ya mapenzi (yamejaa huba, yanakufanya utekenyeke kabla hata hujaguswa, haya ni maneno ya kumpa umpendaye, maneno ya kutia hamasa)
#SisterhoodTeaParty