Ijue Antonov AN-225
An-225 Mriya ni ndege ya Ukraine ambayo ni kubwa kuliko zote duniani miaka ya 1988 hadi 2020.Ina injini sita. Ilitengenezwa na kampuni ya Antonov. Imepengwa kwa shughuli za mradi wa usafiri wa anga-nje wa Umoja wa Kisovyeti.
#WajumbeFunFriday
#WajumbeTuinuane
Ndege ya kwanza ilikamilishwa mwaka 1988, nakala ya pili ilianzishwa bila kumaliza kutokana na kuporomoka kwa Umoa wa Kisovyeti mwaka 1989 .
Ndege ya pekee iliyokwisha iliwahi kupimzishwa kwa miaka kadhaa lakini ilirudishwa kuanzia 2001.
Matumizi yake ni ghali kwa hiyo haina ratiba ya kawaida inakodiwa pekee kama kuna haja kubeba mizigo mikubwa sana. Uwezo wake ni kubeba tani zaidi ya 253.
Mwaka 2019 taji la ndege kubwa zaidi limechukuliwa na
Lakini Mwaka 2019 taji la ndege kubwa zaidi limechukuliwa na Stratolaunch Roc.
Share this Scrolly Tale with your friends.
A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.
