Mobam✨ Profile picture
~ Entrepreneur •Stand for TRUTH •#LifeSkills. •#Arsenal •#CancerSurvivor

Jun 26, 2021, 13 tweets

........HAIKUA RAHISI ILA ILI BIDI....

Alisema Niko Pekeangu Alipata Alicho Hitaji,.Alijua Sina Kazi Na Pesa Ninazo Pata Ni Struggle Na Jitihada Binafsi Lakini Alipata Kiasi Alicho Hitaji Kwa wakati sahihi.

Niliamini Nimepata mtu sahihi wa kuja Jenga nae Familia na niki amini.

Atakua mlezi Bora wa Familia Tulio iwaza Tukiwa Tumelala na Kuijadili kwa Furaha tukisema "MUNGU AKIJAALIA TUWALEE WATOTO WETU KTK MISINGI BORA".

Sikua nafahamu moyoni mwake aliwaza nini japo nilijipa Umuhimu sana ktk maisha yake na kumfanya mwenye furaha..

Alinikosea Sana Yamkini Sina Jazba Nili Muelekeza Kama Mzazi Mwenzangu Mtarajiwa Nili amini hakuna wakumkosoa zaidi ya mimi mwenyewe ili kujeng uhusiano imara.

Alifikia Hatua ya Kuni saliti,.nika waza mzee mmoja alisema mkeo akikusalit muite muulize kip anakosa...

Kwako kika mfanya atafute huko nje..nilifaya hivyo japo hakua na akili za mawazo ya mbele yetu Hakika aliwaza leo yake si kesho yake.

Alijibu dharau Nina imani ukijibiwa unaweza rusha makofi nili jarib kumuongoza kama pekee wa maisha..

Nili Gundua Anahitaj Uhuru Ndipo Nilipo Sali Nakuomba MUNGU anipe Uvumilivu kwa Maamuzi Ninayo Kwenda Chukua japo yanakwenda niumiza ila hakuna jinsi.

Nili Muita Ilikua Ijumaa mwez wa 11/2019 nika muomba awe msikivu kwa ninayoendea kuya tamka.

Alijibu sema ulicho niitia nina haraka.😒

Nikamuomba sanaa awe makini na Dunia Ya Sasa Kwani Wengi Hutaman,Huona fahari kulala na Wanawake wengi Na Wachache sana Hupenda kwa dhati.

Naomba Nikupe uhuru usije ona nakuzuia mambo yako hivyo kuanzia sasa..

Naomba Uwe Huru na Mambo Yako Hii nidhat ya moyoni mwangu wala sikuombei mabaya kwani nawe una stahili Amani Pia.

Nakutakia Safar njema ya maisha yako na ulie nae naomba awe mtu sahihi wa maisha yako.

Alijibu...

Nilisubir hili kwamuda mrefu sijui ulikua una subir ninii..!?!..Una jingine lakusema nataka ondoka nasubiriwa..

Nilimjibu sina jingine ila uendako ukitaka niongelea basi usiache na mema yangu sie ni binadamu.

Aliondoka Kwadharau ajabu 2020/06/14 iliingia sms ndefu sanaa(Gazeti)..ikieleza hisia za mtu anae umia mno na mwenye wivu wa kimapenzi maneno ya mwisho yalisomeka.

"sijui kama nitaweza kusahau ktk maisha yangu ww Mwanaume Nataman nijue ulie nae nimshauri asije kua na tamaa"

Nilijua tuu niyeye maana Toka pale sikua na mtu mwengine zaid ya kuishi maisha yangu.

Nili muambia "Amen kikubwa niombe MUNGU ajaalie Niwe Na Mke Mwema msikivu na Mvumilivu"

Alituma emoj za kulia nika msihi abak na kutulia alie nae ni sahihi kama ata mpenda.

Oyaa nyie maisha yako kasi sanaaa🤓🤓2021/06/19 ali nitumia sms akisema Mpenz wako hajambo Nilikosa Jibu Kwasababu.

Nilifikilia nika jibu Nashukuru MUNGU anajaalia utuliv na uvumilivu.

NB:-MAPENZI HAYANA UJUZI,YANA HITAJ URIDHIKE NA UTOSHEKE NA UVUMILIVU.

#Thanks

Follow me @iam_mobam

@Dotto58800642 karibu Tusome Story.😂

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling