Mobam✨ Profile picture
~ Entrepreneur •Stand for TRUTH •#LifeSkills. •#Arsenal •#CancerSurvivor
Jul 29, 2021 21 tweets 5 min read
#UZI

#NJIA_ZA_KISASA_ZA_KUZUIA_MIMBA
Eti Sister/Broo.
Unadhani Pesa anazo toa mzungu ili kutangaza dawa za Kupanga uzazi wa mpango yeye shida yake ni nini.? au ana faidika na nini oyaa mdada au mwana Mama get a lesson twendee chap chap.!? Uzazi wa mpango ume gawanywa katika makundi ma2.
1.Wa Kizungu.
2.Wa Asili.

1:- Wakizungu hutumia Billions of money kuhakikisha jamii ina tumia njia izo lakin lengo la wazungu ni tofauti kabisa na wanavo fikilia Dada zetu na Wasimbe Wengine.
Jun 26, 2021 13 tweets 5 min read
........HAIKUA RAHISI ILA ILI BIDI....

Alisema Niko Pekeangu Alipata Alicho Hitaji,.Alijua Sina Kazi Na Pesa Ninazo Pata Ni Struggle Na Jitihada Binafsi Lakini Alipata Kiasi Alicho Hitaji Kwa wakati sahihi.

Niliamini Nimepata mtu sahihi wa kuja Jenga nae Familia na niki amini. Image Atakua mlezi Bora wa Familia Tulio iwaza Tukiwa Tumelala na Kuijadili kwa Furaha tukisema "MUNGU AKIJAALIA TUWALEE WATOTO WETU KTK MISINGI BORA".

Sikua nafahamu moyoni mwake aliwaza nini japo nilijipa Umuhimu sana ktk maisha yake na kumfanya mwenye furaha.. Image
Jun 8, 2021 30 tweets 12 min read
Unamjua #MGANGA_PAZI Wewee...😂🤣😂????

#UZI

Wakati ule wa enzi za usultani na ufalme, kulikuwa na nchi moja iliyoitwa Mkira.

Katika nchi hiyo, aliishi mtu mmoja aliyeitwa #Pazi. Mtu huyu alikuwa fukara sana lakini hakuridhika na hali hiyo. Katika kufikiria mbinu itakayomfanya awe tajiri, aliamua ajifanye mgangd. Baada ya uamuzi huo, alipita kila sehemu akijitangaza.

Alitangaza kwehye masoko, mashamba, mdchungoni mpaka visiwani kuwa yeye ni mganga hodari, asiyeshindwa na lolote.
Jun 7, 2021 20 tweets 8 min read
#Simulizi_Uzi

SAFARI YANGU YA KUTO KUMWANI MWANAMKE KTK MAHUSIANO ILIPOANZIA.

Baada ya mahusiano ya miaka minne ya uaminifu na upendo kwa binti mmoja hivi jina kapuni, ndipo safari yangu ya kuto mwamini tena mwanamke katika mahusiano ilipoanzia kutokana na kile alichonifanyia. Katika maisha yangu ya mahusino na huyo binti, nilikuwa mwaminifu sana pia nilimwamini kupita kiasi, siwezi sema labda sikuwa na uzoefu katika mapenzi laahasha,

nilikuwa na uzoefu kuliko hata binti mwenyewe yaani..🙌🏾
Jun 6, 2021 9 tweets 3 min read
BREAKING NEWS.
06/06/2021

#UZI

MWALIMU ADAIWA KUMPA MIMBA MTOTO WA MWALIMU MWENZAKE HUKO SAME.

Oyaaa Kichwa Ya Habari a.k.a Heading Mumeiona🤓🤓ila #DUNIA

Tushukee Waku Elewa Ni Suala La Kweli. Same. Mwalimu wa shule ya Sekondari Lugulu iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro,.

Anadaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu, mwenye umri wa miaka 17 na kisha kutokomea kusikojulikana.