Mobam✨ Profile picture
Jun 26, 2021 13 tweets 5 min read Read on X
........HAIKUA RAHISI ILA ILI BIDI....

Alisema Niko Pekeangu Alipata Alicho Hitaji,.Alijua Sina Kazi Na Pesa Ninazo Pata Ni Struggle Na Jitihada Binafsi Lakini Alipata Kiasi Alicho Hitaji Kwa wakati sahihi.

Niliamini Nimepata mtu sahihi wa kuja Jenga nae Familia na niki amini. Image
Atakua mlezi Bora wa Familia Tulio iwaza Tukiwa Tumelala na Kuijadili kwa Furaha tukisema "MUNGU AKIJAALIA TUWALEE WATOTO WETU KTK MISINGI BORA".

Sikua nafahamu moyoni mwake aliwaza nini japo nilijipa Umuhimu sana ktk maisha yake na kumfanya mwenye furaha.. Image
Alinikosea Sana Yamkini Sina Jazba Nili Muelekeza Kama Mzazi Mwenzangu Mtarajiwa Nili amini hakuna wakumkosoa zaidi ya mimi mwenyewe ili kujeng uhusiano imara.

Alifikia Hatua ya Kuni saliti,.nika waza mzee mmoja alisema mkeo akikusalit muite muulize kip anakosa... Image
Kwako kika mfanya atafute huko nje..nilifaya hivyo japo hakua na akili za mawazo ya mbele yetu Hakika aliwaza leo yake si kesho yake.

Alijibu dharau Nina imani ukijibiwa unaweza rusha makofi nili jarib kumuongoza kama pekee wa maisha.. Image
Nili Gundua Anahitaj Uhuru Ndipo Nilipo Sali Nakuomba MUNGU anipe Uvumilivu kwa Maamuzi Ninayo Kwenda Chukua japo yanakwenda niumiza ila hakuna jinsi.

Nili Muita Ilikua Ijumaa mwez wa 11/2019 nika muomba awe msikivu kwa ninayoendea kuya tamka. Image
Alijibu sema ulicho niitia nina haraka.😒

Nikamuomba sanaa awe makini na Dunia Ya Sasa Kwani Wengi Hutaman,Huona fahari kulala na Wanawake wengi Na Wachache sana Hupenda kwa dhati.

Naomba Nikupe uhuru usije ona nakuzuia mambo yako hivyo kuanzia sasa.. Image
Naomba Uwe Huru na Mambo Yako Hii nidhat ya moyoni mwangu wala sikuombei mabaya kwani nawe una stahili Amani Pia.

Nakutakia Safar njema ya maisha yako na ulie nae naomba awe mtu sahihi wa maisha yako.

Alijibu... Image
Nilisubir hili kwamuda mrefu sijui ulikua una subir ninii..!?!..Una jingine lakusema nataka ondoka nasubiriwa..

Nilimjibu sina jingine ila uendako ukitaka niongelea basi usiache na mema yangu sie ni binadamu. Image
Aliondoka Kwadharau ajabu 2020/06/14 iliingia sms ndefu sanaa(Gazeti)..ikieleza hisia za mtu anae umia mno na mwenye wivu wa kimapenzi maneno ya mwisho yalisomeka.

"sijui kama nitaweza kusahau ktk maisha yangu ww Mwanaume Nataman nijue ulie nae nimshauri asije kua na tamaa" Image
Nilijua tuu niyeye maana Toka pale sikua na mtu mwengine zaid ya kuishi maisha yangu.

Nili muambia "Amen kikubwa niombe MUNGU ajaalie Niwe Na Mke Mwema msikivu na Mvumilivu"

Alituma emoj za kulia nika msihi abak na kutulia alie nae ni sahihi kama ata mpenda. Image
Oyaa nyie maisha yako kasi sanaaa🤓🤓2021/06/19 ali nitumia sms akisema Mpenz wako hajambo Nilikosa Jibu Kwasababu.

Nilifikilia nika jibu Nashukuru MUNGU anajaalia utuliv na uvumilivu.

NB:-MAPENZI HAYANA UJUZI,YANA HITAJ URIDHIKE NA UTOSHEKE NA UVUMILIVU.

#Thanks Image
Follow me @iam_mobam
@Dotto58800642 karibu Tusome Story.😂

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Mobam✨

Mobam✨ Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @iam_mobam

Jul 29, 2021
#UZI

#NJIA_ZA_KISASA_ZA_KUZUIA_MIMBA
Eti Sister/Broo.
Unadhani Pesa anazo toa mzungu ili kutangaza dawa za Kupanga uzazi wa mpango yeye shida yake ni nini.? au ana faidika na nini oyaa mdada au mwana Mama get a lesson twendee chap chap.!?
Uzazi wa mpango ume gawanywa katika makundi ma2.
1.Wa Kizungu.
2.Wa Asili.

1:- Wakizungu hutumia Billions of money kuhakikisha jamii ina tumia njia izo lakin lengo la wazungu ni tofauti kabisa na wanavo fikilia Dada zetu na Wasimbe Wengine.
Mzungu yeye yuko Abroad ana watoto wa 2./3 wala hatumii hizi njia walizo tuletea sisi tutumie sasaa jiulize ana athirka nini na mtu wa Kwampalange anakula kwa jasho lake Mzungu ana faidika na nn kwa kutangaza kila sehemu mabango na..
Read 21 tweets
Jun 8, 2021
Unamjua #MGANGA_PAZI Wewee...😂🤣😂????

#UZI

Wakati ule wa enzi za usultani na ufalme, kulikuwa na nchi moja iliyoitwa Mkira.

Katika nchi hiyo, aliishi mtu mmoja aliyeitwa #Pazi. Mtu huyu alikuwa fukara sana lakini hakuridhika na hali hiyo.
Katika kufikiria mbinu itakayomfanya awe tajiri, aliamua ajifanye mgangd. Baada ya uamuzi huo, alipita kila sehemu akijitangaza.

Alitangaza kwehye masoko, mashamba, mdchungoni mpaka visiwani kuwa yeye ni mganga hodari, asiyeshindwa na lolote.
Wakati huo hakukuwa na hospitali wala madokta,shughuli zote za tiba zilifanywa na waganga.Ukunga ulifanywa na wakunga ambao siku hizi tunawaita waganga wa kienyeji

Habari za mtu aliyekuwa akijitangaza kuwa mganga hodari asiyeshindwa lolote, zilimfikia Mfalme wa nchi ya Mkira.
Read 30 tweets
Jun 7, 2021
#Simulizi_Uzi

SAFARI YANGU YA KUTO KUMWANI MWANAMKE KTK MAHUSIANO ILIPOANZIA.

Baada ya mahusiano ya miaka minne ya uaminifu na upendo kwa binti mmoja hivi jina kapuni, ndipo safari yangu ya kuto mwamini tena mwanamke katika mahusiano ilipoanzia kutokana na kile alichonifanyia.
Katika maisha yangu ya mahusino na huyo binti, nilikuwa mwaminifu sana pia nilimwamini kupita kiasi, siwezi sema labda sikuwa na uzoefu katika mapenzi laahasha,

nilikuwa na uzoefu kuliko hata binti mwenyewe yaani..🙌🏾
Kutokana na mazingira aliyokuwa ameyajenga kwangu ndio kilikuwa kichocheo kikubwa kilicho changia kumwamini kupita kiasi,

Kwa uaminifu niliokuwa nao hata kama ungempiga picha akiwa nyumba ya kulala wageni(guest)..
Read 20 tweets
Jun 6, 2021
BREAKING NEWS.
06/06/2021

#UZI

MWALIMU ADAIWA KUMPA MIMBA MTOTO WA MWALIMU MWENZAKE HUKO SAME.

Oyaaa Kichwa Ya Habari a.k.a Heading Mumeiona🤓🤓ila #DUNIA

Tushukee Waku Elewa Ni Suala La Kweli.
Same. Mwalimu wa shule ya Sekondari Lugulu iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro,.

Anadaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu, mwenye umri wa miaka 17 na kisha kutokomea kusikojulikana.
Mei 27 mwaka huu shule hiyo iliwapima wanafunzi wote wa kike ujauzito na mwanafunzi huyo alibainika kuwa na ujauzito wa miezi wa sita.

Akizungumza na Mwananchi juzi, Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Nduga Makenji ...
Read 9 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us!

:(