CHUMA ASILI YAKE SIO DUNIANI
Unaweza ukaona sio serious lakini CHUMA inasemekana asili yake sio hapa duniani, inaonekana Chuma kimetokea Space kikatua Duniani.
Najua wengi mnajiuliza kama siyo ya Duniani mbona Kiini cha Dunia ni Chuma tena cha moto mno. Well tutafika huko
Chuma kinapatikana kwa Wingi kwenye tabaka la juu la ardhi,japokuwa hata hiko kiini cha Dunia bado inadhaniwa kuwa ni chuma/kimecompose chuma.
Chuma ni Muhimu sana hapa duniani. Nitagusa Agano la kale, Qur’an na Archeology kidogo ili twende Sawaa.
Historia na Tabia za Chuma.
Wanahistoria wanakadiria kwa kusema watu wamekuwa wakitumia chuma kwa zaidi ya miaka 5,000 huu ni utafiti wa Jefferson Lab.
Kiukweli inaonekana baadhi ya chuma cha kale kufahamika kwa Binadamu kimedondoka kutoka angani.
Katika jarida la Archeological Science la Mwaka 2013, watafiti wanasema walikisoma chuma kilichotumika Misri kikaonesha kina miaka 3,200 B.C. Na Kugundua kuwa kilitengenezwa kutokana na Vimondo.
Chuma kinatokana na Madini ya Hematite na Magnetite~Jefferson Lab
Agano la kale lenyewe limetaja tu Chuma basi lakini halijaonesha Asili yake ni wapi Hizi ni baadhi ya Aya 5 kutoka Agano la kale.
Matendo 12:10, Ufunuo 2:27,9:9,12:5 na 19:15
Ndani ya Qur’an tukufu inaonesha wazi kuwa Chuma kiliteremshwa.
Kabla sijaendelea kuna kitu Cha kushangaza nilipokuta chuma kimezungumziwa ndani ya Qur’an. Inaaminika kuwa kiini cha Dunia kimeundwa na chuma na kiini hiki kipo katikati ya Dunia.
Na hiyo Chapter yenyewe inayozungumzia chuma pia ipo Katikati ya Qur’an tukufu Yaani Qur’an una sura 114 ukigawa kwa 2 unapata 57.
Jambo la Kustaajabisha sasa ni jina la hiyo Surah ya 57 Surah inaitwa Al-Hadid yani Surah ya CHUMA🙌🏻 can you imagine??
Hapo tu nikapatwa na Msha
Ngao Kwani sura iitwe Chuma na uwe katikati ya Qur’an na Kiini cha Dunia ni Chuma! Anyway wenye Akili na kutafakari wataelewa.
Aya 25 inasema “Na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na manufaa kwa watu”
Kisayansi chuma ni Matokeo ya kupasuka kwa Nyota za angani ambazo ni kubwa kuliko Jua Hali hiyo ikitokea Ndiyo inasababisha duniani kupata vimondo/chuma
Nyota Hizi hufikia Hali ya Uzee(Nova stage) kipindi ambacho joto Huwa kubwa sana kufikia 100m degree Wakati huo chuma Huwa
Kina kuwa Kunguru sana katika Nyota hizo, Joto linapokithiri kwa Kiwango hicho Nyota hizo zinashindwa kuvumilia na hapa ndio zinapasuka mapande kwa mapande.
Kisha kutawanyika na baadhi yakipita karibu na Dunia huvutwa na gravitational force na hii ni Baada ya kupungua sana ukubw
wa wake Kisha hupita kama vumbi Wakati mwengine na hufikia ardhini hujikita na kujikusanya kutengeneza majabari.
Naomba niishie hapa kwa Leo. Nifollow kwa Contents kama Hizi kuhusu Astrophysics,Qur’an and Bible
@CypherSmitRowe
Marekebisho Kwenye Agano hapo ni Agano Jipya Pamoja na La Kale Chuma hakijazungumziwa asili yake zaidi ya Kutwajwa tu kuwa kitawapa watu utawala
Share this Scrolly Tale with your friends.
A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.