Cypher Smith Rowe ★🇹🇿 Profile picture
Jan 5, 2023 12 tweets 4 min read Read on X
CHUMA ASILI YAKE SIO DUNIANI
Unaweza ukaona sio serious lakini CHUMA inasemekana asili yake sio hapa duniani, inaonekana Chuma kimetokea Space kikatua Duniani.

Najua wengi mnajiuliza kama siyo ya Duniani mbona Kiini cha Dunia ni Chuma tena cha moto mno. Well tutafika huko
Chuma kinapatikana kwa Wingi kwenye tabaka la juu la ardhi,japokuwa hata hiko kiini cha Dunia bado inadhaniwa kuwa ni chuma/kimecompose chuma.

Chuma ni Muhimu sana hapa duniani. Nitagusa Agano la kale, Qur’an na Archeology kidogo ili twende Sawaa.
Historia na Tabia za Chuma.
Wanahistoria wanakadiria kwa kusema watu wamekuwa wakitumia chuma kwa zaidi ya miaka 5,000 huu ni utafiti wa Jefferson Lab.

Kiukweli inaonekana baadhi ya chuma cha kale kufahamika kwa Binadamu kimedondoka kutoka angani.
Katika jarida la Archeological Science la Mwaka 2013, watafiti wanasema walikisoma chuma kilichotumika Misri kikaonesha kina miaka 3,200 B.C. Na Kugundua kuwa kilitengenezwa kutokana na Vimondo.
Chuma kinatokana na Madini ya Hematite na Magnetite~Jefferson Lab
Agano la kale lenyewe limetaja tu Chuma basi lakini halijaonesha Asili yake ni wapi Hizi ni baadhi ya Aya 5 kutoka Agano la kale.
Matendo 12:10, Ufunuo 2:27,9:9,12:5 na 19:15
Ndani ya Qur’an tukufu inaonesha wazi kuwa Chuma kiliteremshwa.
Kabla sijaendelea kuna kitu Cha kushangaza nilipokuta chuma kimezungumziwa ndani ya Qur’an. Inaaminika kuwa kiini cha Dunia kimeundwa na chuma na kiini hiki kipo katikati ya Dunia.
Na hiyo Chapter yenyewe inayozungumzia chuma pia ipo Katikati ya Qur’an tukufu Yaani Qur’an una sura 114 ukigawa kwa 2 unapata 57.

Jambo la Kustaajabisha sasa ni jina la hiyo Surah ya 57 Surah inaitwa Al-Hadid yani Surah ya CHUMA🙌🏻 can you imagine??
Hapo tu nikapatwa na Msha
Ngao Kwani sura iitwe Chuma na uwe katikati ya Qur’an na Kiini cha Dunia ni Chuma! Anyway wenye Akili na kutafakari wataelewa.

Aya 25 inasema “Na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na manufaa kwa watu”
Kisayansi chuma ni Matokeo ya kupasuka kwa Nyota za angani ambazo ni kubwa kuliko Jua Hali hiyo ikitokea Ndiyo inasababisha duniani kupata vimondo/chuma
Nyota Hizi hufikia Hali ya Uzee(Nova stage) kipindi ambacho joto Huwa kubwa sana kufikia 100m degree Wakati huo chuma Huwa
Kina kuwa Kunguru sana katika Nyota hizo, Joto linapokithiri kwa Kiwango hicho Nyota hizo zinashindwa kuvumilia na hapa ndio zinapasuka mapande kwa mapande.

Kisha kutawanyika na baadhi yakipita karibu na Dunia huvutwa na gravitational force na hii ni Baada ya kupungua sana ukubw
wa wake Kisha hupita kama vumbi Wakati mwengine na hufikia ardhini hujikita na kujikusanya kutengeneza majabari.

Naomba niishie hapa kwa Leo. Nifollow kwa Contents kama Hizi kuhusu Astrophysics,Qur’an and Bible
@CypherSmitRowe
Marekebisho Kwenye Agano hapo ni Agano Jipya Pamoja na La Kale Chuma hakijazungumziwa asili yake zaidi ya Kutwajwa tu kuwa kitawapa watu utawala

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Cypher Smith Rowe ★🇹🇿

Cypher Smith Rowe ★🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @CypherSmitRowe

Sep 9, 2023
𝐉𝐄 𝐖𝐀𝐄𝐁𝐑𝐀𝐍𝐈𝐀 𝐖𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐁𝐈𝐁𝐋𝐈𝐀 𝐖𝐀𝐋𝐈𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐔𝐎𝐍𝐄𝐊𝐀𝐍𝐎 𝐔𝐏𝐈...!!?*

Pengine hili swali hujawahi kujiuliza tangu ukiwa mdogo juu ya muonekano wa wale unaowasoma kwenye Biblia walikuwa weupe kama wazungu au walikuwa weupe kama waarabu au walikuwa kama wachina au pengine walikuwa weusi kama wakazi wa afrika ya Leo.

Ni aghalabu sana (seldom) mtu kuwaza laiti hawa walikuwa weusi kama wakazi wa afrika ya leo kutokana na vile elimu tunayopewa tangu utotoni na vile mahubiri yalivyo makanisani, hivyo muda wote tumekuwa tukifikiria tu *"..aaaah hawa lazima watakuwa wazungu tu au kama waarabu wa leo..."*

Ili hili liweze kueleweka ni sharti ujue dunia ya leo si lazima iwe vile ilivyokuwa zamani. Mwaka 1800 sidhani kama wangoni walifikiria ifikapo mwaka 1900 watakuwa kusini mwa Tanzania, sidhani wamasai wa Kenya walidhania kama watasambaa hadi kaskazini mwa Zambia
Image
Maana yake kadri muda unavyokwenda na ndivyo mambo hubadilika. Watu huhama, huzaliana baina ya makabila na makabila, jamii huvamiwa, hutokomezwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe nk nk

Hivyo ukitaka kufikiria dunia ya zamani basi na akili yako ihame na iwaze huku ukitazamia mabadiliko ya watu, nyanja (seasons) na matukio.

Kabla ya kwenda mbali sana hebu tutazamie juu ya wale wanadamu wa kwanza kabisa kuumbwa duniani walikuwaje?

Kwa upande wa wataalam wa zamadamu (Archaelogy and Anthropology) wanasema mwanadamu wa kwanza aliitwa Zinjathropus hili neno zinjathropus ni kilatini na kwa kiswahili maana yake MTU MWEUSI

Naam, hicho walichokibaini wanazuoni wa zamadamu hakipo mbali na maelezo ya wanazuoni wa elimu ya viumbe hai (Microbiologists) nao wanasema kulingana na Mpangilio wa mifumo ya mwanadamu haiwezekani mtu wa kwanza kuishi duniani asiwe mtu mweusi na kigezo kimojawapo wanachokitoa ni uwepo wa melanin kwenye ngozi na viungo vya mtu mweusi.

Melanin ( C¹⁸-H¹⁰-N²-O⁴) ndicho kinachofanya ngozi yetu iweke utando(layer) mweusi unaozuia mwanga wa jua usiharibu mwili na kusababisha saratani, melanin husababisha mtu akionja ladha ya kitu iwe vile kile kitu kinavyokuwa, mtu akicheza muziki iwe vile mdundo ulivyo, kuongeza uwezo wa kubuni mambo na nk. Kiumbe aliye na uwingi wa melanin anaweza kuzaa kiumbe asiwe na uwingi wa melanin lakini kiumbe asiwe na uwingi wa melanin hawezi asilani kuzaa mtoto akiwa na melanin
Image
Kwa tafsiri ya kawaida, Mzungu, Mchina, Muarabu hawana uwezo wa kuzaa mtu mweusi lakini mtu mweusi anaweza kuzaa mtu asiye na utajiri wa melanin kupitia mitochondrial DNA yaani genes za mwanamke mweusi kitaalam hufahamika kama *"Eve Gene"*.

Hadi hapa sasa itasasaidia kuelewa Adamu na Eva walikuwa ni muonekano upi isingewezekana Eva na Adamu wawe weupe yaani wakose melanin halafu wazae viumbe vyenye melanin ni kitu ambacho hakiwezekaniki kabisa.
Image
Read 9 tweets
Jan 6, 2023
ASILI YA YESU SIO WEUPE
Kilichotokea Hapa Wazungu kutulisha Uwongo! Kama haitoshi Jews ambao ndio Waliishi na Bado ni Jamii aliyotokea Yeshua walikataa Kumuita Yeshua Mungu, ndipo Yeshua akasema “Sijaja Kutengua Taurat au Manabii Bali kulitimiza” na mpaka Leo Wayahudi hawamtambui
Yesu Kama Mungu Bali ni Mtu tu tena Nabii na Wanawadespise wakristo na kuwaita Waabudu Masanamu, hawakatai kuwa aliishi Nazareti na Kwenda Jerusalem Bali wanampinga kwakuwa Waisrael ni nature Yao kupinga kitu ambacho wanakifahamu/na Wanamjua Mungu kuliko Mtu yeyote Ulimwenguni🙌🏻
Kipindi Yesu anakuja Duniani kilikuwa ni cha kipekee.

Kwanini Nasema cha Kipekee ni kwa sababu Kila Nabii alikuwa anatumwa kwa watu wake kwa maana kila Jamii ilikuwa na teknolojia,uchumi na Utawala wake.

Mfano mzuri Ibrahim alitumwa kwa watu wake ambao walikuwa wanaabudu
Read 8 tweets
Nov 11, 2022
JINI CHEKETU NI NANI??

Huyu ni miongoni mwa mashetani hatari kabisa wanaotumiwa na kupendwa sana na wanga,jini huyu muhasi hutumiwa na wanga kwa kutumwa kwa mtu fulani ili amsababishie mambo yake yawe magumu,huwasaidia kuwapitisha wanga katika pembe za nyumba na kuingia ndani
Kuwanga, Kila ukianza Jambo linaishia njiani bila Mafanikio basi ujue Jini Cheketu ndio Mtaalamu wa Mambo. Ukiona ndoa yako haieleweki Migogoro mingi basi ujue ni jini huyu(sio Mahusiano ya Mpenzi ni Mume&Mke)

Mtu akikutumia Jini huyu na likafanikiwa Kukuingia basi Heshima yako
Itaporomoka, Utadharaulika bila sababu. Hata Kama una elimu kila unachokifanya atakiharibu ili mradi uoneakane Dhaifu na Hufai.

Pia ukiwa na jini huyu utageuka Nyumba ya Maradhi, utaumwa ukiponya hili linakuja lile ili mradi tu uteseke na magonjwa kila siku.
Read 13 tweets
Nov 10, 2022
VIBWENGO/ELVES
kwanza Muhimu kufahamu kuwa Kuna Malaika na Majini(Hawa hatuwaoni mpaka siku ya kufa). Vibwengo ni aina ya Mashetani wanaotokana na Majini. Vibwengo vina ukubwa wa 4'10" hadi 5'8" inadaiwa vibwengo ni vigumu kufahamu jinsia zao. Ila wakizeeka wanakuwa na Busara. Image
Na mtu anaweza kuishi na jamii hiyo aidha kwa kujua au kutokujua. Wakati mwengine mashetani haya yanaweza kujidhihirisha dhahran kwa mtu na ukavishuhudia kabisa kwa macho. Mara nyingi wanapenda kujionesha wakiwa watu wafupi sana na waliojaa. Maumbo ambayo wanapenda kujionesha Image
Nayo ni wanyama wanaofanana na Binadamu mfano Nyani, Ngedere. Mashetani haya yanaweza kusababisha kifo kwa mtu au Madhara kwa mtu. Halafu kuna vitu ambavyo mtu ukiwa unapenda kuvifanya unawakaribisha Mashetani ndani ya maisha yako ukiwa mtenda dhambi unafungua mlango mpana sana
Read 4 tweets
Nov 9, 2022
MJUE JINI EFREET";

Jini Efreet ndiye Aliyemwambia Nabii Suleiman kuwa Atamletea Kiti cha ufalme cha Malkia Balkisi kutoka Ethiopia Mpaka Jerusalem kwa Kufumba na Kufumbua Kiti kishafika.. Efreet ni Jini mwenye Nguvu sana Image
Huyu Jinni Ili uweze Kumwita Unatakiwa utumie Black Magic,ila akifika tu ujue kukufuru ni kama kupepesa macho lazima atakufanya ukufuru.

Na jini hili ukiliita linakuja linaweza kujitokeza au lisijitokeze. Na huo ni mchezo wake,na ukimwita hutakiwi kuonesha uoga maana Image
Atatumia advantage hiyo kukutisha,Anaweza kuja kama msichana mrembo/handsome au Ng'e/Nyoka/Muonekano wa Kutisha. Kikubwa usiogope.Pia muhimu sana kujikinga nao sababu Majini sio wote wazuri. Image
Read 7 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us!

:(