My Authors
Read all threads
KESI MAARUFU
SISTI MARISHAY (N/F OF EMMANUEL DIDAS V THE BOARD OF TRUSTEE (MOI),
PARMANENT SECRETARY MINISTRY OF HEALTHY AND SOCIAL WELFARE AND ATTORNEY GENERAL

Hii ni kesi ya madai ambayo msingi wake ni uzembe wa kitaalamu uliyopelekea kupotea kwa uwezo wa kiakili na kimwili wa
Ndugu Emmanuel Didas.Majira ya 26/10/2007 Didas(mhanga) alipata ajali mbaya ya pikikiki maeneo ya Morocco jijini Dar es Salaam.Mhanga alikua ni fundi an dereva pikipiki,baada ya ajali mhanga alikimbizwa hospitalini na kupokelewa MOI ambapo alilazwa.Madaktari wakaingia kazini
Kupitia X ray wakabaini mhanga amepata majeraha kwenye goti na kuna mfupa imevunjika (patella).Madaktari wakajipanga na ikapangwa tarehe 1/11/2007 bwana Didas afanyiwe upasuaji hapo ndipo songombingo zilipotokea.Siku hyo hyo Bwana Emmanuel Mgaya sio masanja @mkandamizaji alitaki
Wa kufanyiwa upasuaji wa kichwa Mafaili yakachanganywa . Bwana Didas akafanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya goti na bwana Mgaya akafanyiwa wa goti badala ya kichwa.
Ndugu wa bwana Didas wakawa wakali wakandika barua ,wakajibiwa kuwa suala la linashugulikiwa na ndugu yao atapona
Hali ikawa mbaya ndipo wahanga wote wawili wakasafirishwa kwenda Indraprastha Apollo Hospital nchini India. Bwana Didas aliweza kurudi akiwa hai lakin bwana Mgaya alifariki. Didas alikaa MOI kisha akaruhusiwa kwenda nyumbani mnamo 2009.
Didas akafungua shauri mahakamani akidai
Fidia.Shauri likawekwa mikononi mwa Jaji nguli Madam Jaji Mruke , kwa umahiri wake akachambua na kuja na hoja shindaniwa 3
(1) Kama mdaiwa alifanya uzembe wa kitaalamu dhidi ya Mdai
(2) Kama jibu ni ndio,Mdai alipata madhara yoyote?
(3) Mdai anastahili nini?
Shughuli ikahamia kwa mawakili nguli,Mdai alikua alkiwakilishwa na Cornelius Kariwa na Frank Killian na Mdaiwa alikua akiwakilishwa na Benson Hosea wakili wa Serikali.
Ushaidi uliowasilishwa mahakamani uloonesha wazi kuwa mdaiwa alikua mzembe. Kizibiti namba 4 kilionesha wazi kuw
A mdaawa alifanya uzembe wa hali ya juu kwa kuchanganya mafile.Upande wa Jamhuri haukua na hoja za msingi hapa.
Jaji Mruke akakubali kuwa mdaawa alifanya uzembe dhidi ya mda
Hoja ya pili, kupitia kielelezo namba 4 na 5 na mbele ya mahakama vilionesha kuwa mdai anaongea kwa shida
Hawez kuongea kwa muda wa dk 30,hawez kukaa vzur,anaonekana amepooza upande mmoja na hawez kubalanc mwili wake vzur.
Hoja ya pili upande wa mdaawa ulipigwa vibaya sana kama Tyson na Bruno.

Hoja ya 3, Jaji Mruke alitazama kuangazia malipo stahiki kwa pande zote.Suala hili ni muhm
Jaji alikubali kuwa Mdai alipoteza muda mwingi na kipato cha kutosha tangu augue kwq uzembe wa mdaawa.Mdai hakuwa na uwezo tena wa kufanya kazi kama awaili.Ndugu zake walikua wanatumia muda mwingi kumuuguza na kumtunza. Madhara aliyopata mdai hayawez kurekebishika tena .
Mdaaawa alisababisha mdai akose raha ya tendo la ndoa,muziki,kusoma,kusikia na kuongea vzur.
Jaji Mruke akamzawadia fidia ya Tsh million 88,323,380 kwa maumivu na kuumwa.
Million 1,076,620 kwa kukosa kipato kwa miez 21 na Million 10,600,00. Kwa ajil ya gharama za kazi za nyumban
@threader_app compile
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with hamzaLule

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!